hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Serikali yataja hatua nane kudhibiti mfumuko wa bei

    Serikali imetaja hatua nane zilizochukuliwa katika kudhibii mfumuko wa bei ili kuhakikisha unaendelea kubaki ndani ya wigo wa tarakimu moja. 1. Imeimarisha sekta za uzalishaji ili kuongeza upatikanaji wa bidhaa unaoendana na mahitaji. 2. Kutoa ruzuku kwa ajili ya kupunguza bei ya nishati ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya anga ya juu wapiga hatua mpya

    Mwezi Septemba vijana katika sehemu mbalimbali za Afrika, walifanikiwa kufanya jambo ambalo hawakuwahi kufikiria hata siku moja, kuwasiliana moja kwa moja na wanasayansi wa China walio kwenye kituo cha anga ya juu cha China. Mbali na kustaajabu kuwasiliana na watu walio kwenye anga ya juu...
  3. JamiiForums Tanzania Mtu mzima anatakiwa kutembea hatua 10,000 kila siku

    Kutokana na ongezeko la magonjwa yasiyoambukiza nchini, Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Profesa Mohamed Janab ametoa angalizo kuwa licha ya kuharibu bajeti ya afya kila mwaka, maradhi hayo yataathiri uchumi wa familia na nguvukazi ya Taifa. Profesa Janab ametoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni yanga na simba kwa ushindi wa leo lakini michuano mtaianza hatua itayofuata

    Nawapongeza kwa kufanya vizuri kwenye mechi za mwanzo ni mwanzo mzuri kwa timu zote mbili itawajengea hali ya kujiamini na kujipanga vizuri kwa michezo ijayo,. Pamoja na kushinda timu zote 2 zimekutana na timu ambazo zina viwango vya chini, ukianzia Nyassa big bullet ya malawi ni timu...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania bila tozo inawezekana

    TANZANIA BILA TOZO INAWEZEKANA. Leo 12:15hrs 10/09/2022 Tozo ni makato yanayofanywa katika kila hatua ya mtu kutaka kuitumia fedha yake, jambo ambalo halishauriwi kwenye kodi,chukulia kwa mfanyakazi aliyelipwa mshahara wake benki,akitoa anakatwa tozo wakati tayari ameshakatwa kodi ya...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Uchafu unatukwamisha sana watanzania kupiga hatua kimaendeleo katika nyanja zote. Hakika sisi ni wachafu sana

    Uchafu ni maudhui, matendo au mata inayopatikana mahali pasipotakiwa kwa wakati usiotakiwa. Hatuwezi kutenganisha maendeleo na usafi au mpangilio wa kila kitu, kila siku katika mambo yote yanayotuzunguka. Uchafu katika nchi yetu sio jambo geni kabisa maana uchafu upo kila mahala. Uchafu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa: Wanunuzi wa tumbaku ambao hawajawalipa wakulima wachukuliwe hatua

    WANUNUZI WA TUMBAKU AMBAO HAWAJAWALIPA WAKULIMA WACHUKULIWE HATUA - MAJALIWA WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza wanunuzi wote ambao wamechukua tumbaku za wakulima na hawajawalipa fedha zao wachukuliwe hatua za kisheria ikiwemo kufikishwa mahakamani kwani Serikali inataka kuona wakulima...
  8. JamiiForums Tanzania Makamishna wa ardhi wasaidizi kuanza kuchukuliwa hatua za kinidhamu

    Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Makazi ametakiwa kuhakikisha anachukua hatua ya kinidhamu mara moja kwa Makamishina wasaidizi wa ardhi Mikoa ambao wanafanya kazi kwa mazoea na wameshindwa kukidhi matarajio ya Wizara. Maagizo hayo yametolewa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Chukua hatua dhidi ya maradhi ya ulaji mbovu

    Wapendwa afya ni mtaji kwa kila kitu ukitaka kufahamu hilo umwa hata mafua tu ndio utajua afya ikipata shida kidogo tu hakika mwili ndio unaumia na hatimaye kudhoofu na kuchoka kabisa na mhusika kukosa furaha/amani. Ukitaka kujua afya ni mtaji angalia ule msafara kwa kwenda kwa Babu...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Hatua na Mchakato wa kuapishwa kwa Ruto Septemba 13, 2022

    Naibu Rais William Ruto anatarajia kuapishwa kuwa Rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Juu zaidi wa kuidhinisha ushindi wa uchaguzi huo. Kwa mujibu wa Katiba ya Kenya ya 2010, Ruto ataapishwa mnamo Jumanne, Agosti 13 katika uwanja wa Kasarani. Kifungu cha 141 kuhusu...
  11. JamiiForums Tanzania Mfululizo wa ajali bila hatua kuchukuliwa ulimng'oa waziri

    Ni Mwigulu alipotumbuliwa uwaziri wa mambo ya ndani. Namnukuu hayati JPM. "nimechoka kutoa salamu za rambirambi kwa sababu ya ajali kila siku, nimechoka, it's too much (kwa uchungu with a very serious tone). Mbaya zaidi ninayetoa ni mimi tu huku waziri akiwa anazurula bila kuchukua hatua...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Samia chukua hatua dhidi ya TAKUKURU; Wanatumia taarifa za rushwa kwa manufaa binafsi

    Ukiangalia mtandao wa TAKUKURU kuna njia nyingi za mawasiliano ambazo wanazitaja kama njia mojawapo ya kutoa taarifa za siri kuhusiana na rushwa/ufisadi. Tumefanya majaribio tukiwa watu watatu kwa kuwapa taarifa tofauti nne; tatu zikieleza matatizo ya rushwa ktk idara za serikali na moja ndani...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Tanzania na urafiki bado tuna hatua ya kupiga

    Tanzania ni nchi ambayo imekua na mahusiano mengi na nchi mbalimbali tangu miaka ya mwanzo. Baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere aliipa kipaumbele urafiki baina ya nchi yetu na mataifa ya nje.Aidha, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendeleza tamaduni hii ambapo mpaka leo tuna...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanga inayo nafasi kubwa ya kutinga hatua ya makundi

    Napenda niseme tu bila kupepesa macho ya kuwa yanga wanayo nafasi kubwa ya kutinga hatua ya makundi klabu bingwa msimu huu. Nimepata ujasiri wa kusema hivyo baada ya kuwaona Al hilal iliyocheza na simba, ni timu ya kawaida ambayo kwa jicho la kiufundi nimeona bado inatafuta muunganiko baada ya...
  15. JamiiForums Tanzania Huwa unachukua hatua gani kuhusu hili

    ...
  16. JamiiForums Tanzania Hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(mke wa pili)?

    Habarini wana JF. Naomba msaada je, ni hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(kuoa mke wa pili)? Hapa nazungumzia wale wasio waislam. Karibuni.
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatua 10 zinazoweza kumuondoa Chebukati ndani ya Tume ya Uchaguzi

    Baadhi ya wanasiasa wa Azimio la Umoja one Kenya wanataka Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi (IEBC), Wafula Chebukati, kujiuzulu baada ya kutokubaliana na Matokeo ya Urais, huu ndio mchakato pekee unaoweza kufuatwa. - Ibara ya 251(2) ya Katiba inatamka kwamba mtu anayetaka kumwondoa Mwenyekiti...
  18. JamiiForums Tanzania Unachukua hatua gani biashara inapodorora?

    Nimeanzisha biashara ya bisi(popcorn) kwa packaging lakini inaenda wiki mbili sasa inatoka taratibu sana na siku nyingine haitoki kabisa. Nichukue hatua gani maana nategemea nipate faida ili niendeshe maisha. Najikuta nakula tu hela inayopatikana kidogo kama ni 1000/= naipigilia tu, yani I wish...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Hatua za kufuata ili kupunguza au kumaliza matatizo ya Ndoa katika jamii zetu

    Ndoa ni muunganiko wa mtu jinsia ya kiume na mtu mwingine jinsia ya kike na kwa muunganiko wao husababisha pia familia zao kuungana na kuwa na mahusiano baina yao.Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la ukatili katika ndoa nyingi kwenye jamii zetu za kitanzania ambao husababishwa...
  20. JamiiForums Tanzania Hatua zilizochukuliwa na Serikali kudhibiti mfumuko wa bei nchini

    Tathmini zinaonyesha kwamba kuna uhimilivu mkubwa wa bei kwa bidhaa zinazozalishwa hapa nchini, huku hatua kadhaa zikichukuliwa na serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Suluhu kupunguza athari zitokanazo na kupanda kwake kwa wananchi. Serikali ya awamu ya sita imefanya jitihada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…