hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua kwa wakuu wa idara na taasisi za umma waliokacha sherehe za Uhuru kiwilaya, hao ndio wapinzani ndani ya serikali

    Mhe Waziri Mkuu, juzi nilikusikia ukisema maadhimisho ya sherehe za miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara zitaadhimishwa ngazi ya mkoa na Wilaya. Hata hivyo leo nimemsikia mkuu wa Wilaya ya Moshi akilalamika kuwa wakuu wa idara na taasisi za umma hawakushiriki kwenye mdahalo wa uhuru huko Moshi...
  2. JamiiForums Tanzania SGR inahujumiwa au ni uzembe tu unaotokana na watu kutochukuliwa hatua?

    Wanabodi (kwa sauti ya paskali), Leo tarehe 4 nimefanya uzinduzi wa kupanda treni yetu pendwa ya SGR. Kwa bahati mbaya leo asubuhi kulikua na shida kwenye gridi ya taifa hivyo kujikuta treni karibu zote kuchelewa kwa angalau saa moja, na vyombo vyote vya habari vilitangaza. Baadae umeme...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

    Mimi na wenzangu kadhaa tunaosomea Shahada ya Uzamili (Master of Public Health - MPH) katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) tuna changamoto moja kubwa ambayo imekuwa kero kwa muda mrefu na kuendelea kuifumbia macho itakuwa ni sawa na kuendelea kufuga mtatatizo. Tatizo letu kubwa ni kuhusu...
  4. JamiiForums Tanzania LGE2024 Manyoni: Jeshi la Polisi linamshikilia Askari aliyesababisha kifo cha mgombea wa CHADEMA

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira ya saa 5:00 usiku huko katika Kitongoji cha Stendi, kata ya Mkwese Wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida...
  5. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kuangamiza/kuharibu Maisha Yako kwa Hatua 15 Rahisi

    Kama unavyoweza kudhani, kuharibu maisha yako ni rahisi sana. Hii inaweza kufanyika kwa kufuata hatua 15 rahisi ambazo mtu yeyote anaweza kufanya. Hatua ya 1: Fanya Kilicho Rahisi Kila wakati Chagua kufanya vitu rahisi. Acha mambo magumu kwa baadaye. Kwa kuwa kila wakati ni "sasa," utaepuka...
  6. JamiiForums Tanzania Hatua hii ikifika unafanyeje?

    Wakongwe mtego kama huu unachomokaje?
  7. JamiiForums Tanzania ACT: Tunaitaka SMZ ichukue hatua stahiki kwa Maafisa wa MIMCA na KMKM waliohusika na udhalilishaji Watembeza Utalii

    TAARIFA KWA UMMA SMZ ichukue hatua stahiki kwa maafisa wa MIMCA na KMKM, waliohusika na udhalilishaji Watembeza Utalii Hivi karibuni kupitia Mitandao ya Kijamii tumewaona Askari wa Kikosi cha Kuzuia Magendo (KMKM) wakiwadhalilisha na kuwapiga watembeza Watalii katika Bahari ya Kisiwa cha Mnemba...
  8. JamiiForums Tanzania Israeli kusitisha mapigano na Hezbollah, je ni hatua ya Israeli kujiimarisha zaidi au ni mbinu na mkakati wa kumfifisha Iran?

    Israel kupitia Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu imetangaza kukubali kusitisha mapigano dhidi ya kundi la Hezbollah la Lebanon, hatua inayodhaniwa kumaliza vita hivyo vilivyodumu ndani ya mwaka mmoja na kuua takriban watu 3,800. Rais Joe Biden ametangaza kuwa Marekani imesaidia kufanikisha...
  9. JamiiForums Tanzania LGE2024 Ukipiga Kura, Wananchi Washuhudie Hatua Zote, Ndiyo Kanuni ya Productivity

    Kuna kauli za kipuuzi zimetolewa na baadhi ya watu eti mtu akipiga kura aondoke, asishuhudie hatua nyingine, eti aende nyumbani asubirie kuambiwa nani ameshinda uchaguzi! Wengine wakathubutu hata kusema eti baada ya kupiga kura, wananchi wasipoteze muda, waende wakafanye kazi! Yaani leo ndiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Rafiki yangu anasumbuliwa na shoga. Je, achukue hatua gani za haraka ?

    Wakuu niwape pole kwa maafa yalioikumba nchi yetu kufatia kuporomoka kwa jengo la biashara mjini dar es Salaam mitaa ya kariakoo na pia natoa wito kwa vyombo kuharakisha uokozi ili watu walio chini wafikiwe haraka na wakutwe wako Hai Sasa baada ya utangulizi huo niende kwenye mada kama...
  11. JamiiForums Tanzania Aandika ujumbe akiwa amefukiwa na ghorofa Kariakoo, "Leo ni siku yangu ya mwisho"

    Daaa hii post ya mdau imenifikirisha na kuniwadhisha Sana daah mungu aingilie kati aisee maana sio poa kabisa wana Wana struggle sana! Mungu aingilie kati 👇👇👇 Pia soma > Ghorofa limeporomoka Kariakoo asubuhi ya leo Novemba 16
  12. JamiiForums Tanzania Je, watumiaji wa Kisimbusi cha Dstv na Sisi safari hii tutaziona Live Yanga SC (CAFCL) na Simba SC (CC) katika hatua zinazokuja za Makundi au?

    Tafadhali kama huna Dstv Kwako na una Visimbuzi vyako vya Kipuuzi Kipuuzi cha Bamaga na Tabata huu Uzi haukuhusu.
  13. JamiiForums Tanzania Kamati ya PIC: Tunaelekeza Wanaohujumu Mradi wa SGR wachukuliwe hatua kali za kisheria

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeelekeza Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuendelea kuweka teknolojia za ulinzi ili kuthibiti uhalifu kwenye mradi wa Reli ya SGR huku ikisisitiza hatua kali za kisheria kuchukuliwa kwa wanaobainika kuhusika na vitendo vya kuhujumu...
  14. JamiiForums Tanzania COP29: Wadau wahimiza hatua za kuongeza Ushiriki wa Wanawake katika Uongozi wa Mipango ya kukabiliana na Mabadiliko ya Tabianchi

    Katika Mkutano wa COP29, unaofanyika huko Baku-Azerbaijan, suala la athari za mabadiliko ya tabianchi kwa wanawake limepewa umuhimu mkubwa, hasa kuhusu jinsi wanavyoathiriwa zaidi na majanga ya mazingira kama ukame na mafuriko. Wanawake, hasa kutoka jamii zenye kipato cha chini na zile zilizo...
  15. JamiiForums Tanzania Gamondi atema cheche,adai kuna wachezaji wanakesha kitambaa cheupe na uongozi hauwachukulii hatua

    Kumekucha kumekucha,Gamondi ametema cheche,adai kuna baadhi ya wachexaji wake wanakesha klabu ya usiku pamoja na baa ya kitambaa cheupe na kesho yaje wakija mazoezini wamechoka ,huku uongozi ukilifumbia macho suala hilo. Amedai wengine usiku kucha wapo mtandaoni wakichat na kupata muda kidogo...
  16. JamiiForums Tanzania Omba huku ukichukua hatua ya kuwa vile uombavyo uwe imani pekee haitoshi

    Kutamani pekee haitoshi lazima uchukue hatua kuyafikia hayo matamanio yako. Vitu vizuri huja kwa wenye subira ila vitu vizuri zaidi na vilivyo bora humilikiwa na wale watu wanaothubutu kuvifaata vile wavitakavyo vilipo au kuvivutia Mara nyingi vitu vizuri zaidi vina ushindani na wakati mwingine...
  17. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, acheni kulia lia. Chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma

    Kwa mara nyingine tena napenda kuwaasa ndugu zangu CHADEMA kwamba, punguzeni kulia lia, chukueni hatua kali dhidi ya dhuluma. Ebu jiulizeni, mmeanza kulia tangu lini? Baada ya kulia mmepata faida gani? Amini, Amini nawaambia, msipokubali kujitoa SADAKA kwa ajili ya kutafuta HAKI, mtalia...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Hatua gani napaswa kufuata ili nimiliki muhuri wa Architect?

    Nahitaji kuwa na muhuri wa Architect ambao naumiliki mimi mwenyewe ni hatua zipi nifuate ili niweze kupata Muhuri wa Archotct?
  19. JamiiForums Tanzania Hatua kali zichukuliwe kwa watoa Mikopo wa mtandaoni kama SWIFT FUND LOAN

    Nimesikitishwa na taarifa niliyopewa na jamaa mmoja aliyekopa kwenye hizi application zinazotoa mikopo kama hawa SWIFT FUND LOAN huenda hawana nidhamu, pia wanao waajiri ni vijana wasiojua namna ya ku handle wateja wao. Jamaa anasema walimdai kwa matusi siku 2 kabla ya deadline ya kulipa mkopo...
  20. JamiiForums Tanzania Napambana sana niwatoe hatua moja ndugu zangu

    Watoto wakiume naona kama ni ngumu sana kusaidiana. Nahisi kama Mungu ananijalia kipato ili niwainue ndugu zangu. Yaani ninahisi nina jukumu hilo mabegani kwangu, Ila kuna mkubwa wetu mmoja wa kiume aliyetoka simuoni akipush hata kwa kidogo wenzake. Mimi ndo wakike pekee na ninataka ndugu kaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…