hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, asisubirie kulazimishwa kuchukua hatua. Mwitikio wa Umma wa 'No Reforms No Election' ni ujumbe tosha

    Rais Samia, CCM na Serikali yake, wasisubirie kulazimishwa kwa nguvu kuchukua hatua za kujirudi, yaani kuachana na sheria, mifumo na kanuni za kishetani katika kuendesha chaguzi. Inafahamika wazi kuwa mtu mshenzi au jambazi ambaye hulishibisha tumbo lake kwa ujambazi, si rahisi kwake kuacha...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Sengerema asema changamoto ya usafiri Kivuko cha Kigongo-Busisi inatokana na Gugumaji jipya, Serikali yachukua hatua za haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema, Senyi Ngaga, amesema kumekuwa na changamoto ya usafiri katika kivuko cha Kigongo-Busisi kutokana na kuibuka kwa gugumaji jipya linalosababisha hitilafu kwenye injini za vivuko. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya vivuko vililazimika kusitisha safari ili kufanyiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Nchi za kusini mwa jangwa la Sahara waanze kutafuta uhuru wao hatua ya 2 kama wenzao wa Afrika ya Magharibi

    Nchi za kusini mwa jangwa la Sahar mpaka sasa ndio zimebaki chini ya ukoloni mamboleo na hawajaonesha dhamira ya kuachana na ukoloni huo. Eneo hilo lenye utajiri mkubwa unaokodolewa macho na mataifa yote duniani ndizo kila siku zinazoshikilia mkia katika takwimu za maendeleo na ndio za mwanzo...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Hatua Kuu Tatu Ambazo Kampuni Inabidi Ipitie Ili Ikamilike

    Watu wengi Hufikiria kua ukishapewa Certificate of Incorporation na Brela basi Kampuni imekamilika na unaweza kufanya biashara. Ila ukweli ni kwamba ni lazima Kampuni Ipitie hatua hizi Tatu. 1. Registration Stage Hapa unasajili Kampuni Yako kupitia mfumo wa Brela, kama kila kitu kitakua sawa...
  5. JamiiForums Tanzania Ni vigezo gani hutumika kusema kuwa China ni nchi ya pili kiuchumi duniani ikiwa raia wake wanahangaika na Maisha kufika hatua ya kukimbilia Afrika?

    Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ? Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili. Je kuna siri gani hapa ? Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
  6. JamiiForums Tanzania Ulichukua hatua gani? ulipo alikwa halafu ukateleza kwenye matope

    Umealikwa mtaani penu Kuna shughuli umbali wa km 1 kutoka kwenu unatembea kwa miguu mara baada ya mvua kuisha, kwa bahati mbaya wakati unakaribia kwenye tukio ukateleza na kukaa chini topeni nguo matope yamejaa, ulifanyaje?
  7. JamiiForums Tanzania Hivi Ni Mpaka Wafe Watu Wangapi Mbagala Ndio Serikali Ichukue Hatua?

    Hii barabara ya mwendokasi ya kupita Mbagala Kila uchwao inaleta ajali, watu wanakufa kila mara bila sababu za msingi na serikali ya mtaa, kata, wilaya, kuu zote zipo na zinajua kinachoendelea. Maana ni wao ndio wameifungulia hii barabara ili gari zipite. Hii barabara haina alama yoyote ya...
  8. JamiiForums Tanzania Usafiri wa Mwendokasi DSM ni tatizo kubwa. Mamlaka zichukue hatua za Dharura

    Watu husubiri mpaka masaa 2 kwenye vituo vikubwa na muda mwingi vituo vingine, mfumo wa watu kugombania kupanda gari za mwendokasi kwa vituo vya kimara, Morocco, Gerezani na Kivukoni ni mfumo hatari sana kiusalama. Watu wanaumizana sana na hata kuvunjika. Gari linaweza fika kwenye hivyo vituo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Mkuranga tutapata msiba wa Taifa endapo hatua za haraka hazitachukuliwa.

    Niende kwenye hoja yangu moja kwa moja! Kumekuwa na ongezeko kubwa sana la viwanda katika wilaya ya Mkuranga hususani maeneo ya Kisemvule na Dundani.Kwa namna moja ama nyingine hii ni fursa kwa vijana kupata ajira. Kutokana na ongezeko hili la viwanda, kumesababisha ongezeko kubwa la watu hada...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba kuonyeshwa barua ya TPBL waliyowajibu Yanga kama haipo tuelezwe hatua walizochukuliwa waliozusha.

    Ally Kamwe amefungiwa miaka 2. Wote tukaamini Taarifa hiyo. Ghafla anajitokeza Ally Kamwe na kukanusha na mpaka Leo hatujaona barua na walioeneza uongo huo wako mitaani wanaendelea kueneza mengine yasiyothibitishwa na Mamlaka. Leo tumeambiwa na wanaojiita wachambuzi kwamba Bodi ya Ligi imeijibu...
  11. JamiiForums Tanzania Mamlaka zisipochukua hatua za haraka mataa ya Morocco damu zitamwagika sio mda mrefu

    Nimemuona mzee wa kiarabu akishuka na silaha pale baada ya kijana kuchafua gari lake kwenye kioo cha mbele kwa madai ya kusafisha ingawa alikatazwa kabla. Wale vijana pale ni wasumbufu kupita kiasi mara nyingi sana wanachafua magari ya watu, wakati mwengine mtu ametoka car wash kabisa, ila...
  12. JamiiForums Tanzania Mzazi akigoma kumpeleka mtoto sekondari mnamchukulia hatua. Huyo mtoto akimaliza degree hamumuajiri. Leo hii mnawaambia warudi kusoma VETA!!!

    Enzi zetu wakati tunasoma, kwenda shule ilikuwa ni kwa lengo la kujua kusoma na kuandika tuu. Baada ya hapo ilikuwa ni optional kwako either urudi nyumbani ukaendelee na michakato mingine ya maisha, ama uendelee na shule mpaka utakapokomea. Enzi hizo ilikuwa "utafika mbali endapo una akili"...
  13. JamiiForums Tanzania Hatua anazopitia binti wa kisasa kutoka usichana hadi utu uzima

    Zifuatazo ni hatua ambazo mabinti wa kisasa a.k.a watoto wa 2000 wana possibility kubwa kupitia kwasababu hata dada zao watoto wa 1980’s na wa 1990’s wamepitia tayari na sasa wanalipia hesabu yao ya kukengeuka kama wendawazimu. UMRI KUANZIA MIAKA 16 HADI MIAKA 26. Hii ndio stage nyeti na...
  14. JamiiForums Tanzania Wilaya ya Chalinze haina Mpinzani kwenye ajali za Barabarani. Ni eneo hatarishi sana kwa Maisha. Mamlaka zichukue hatua.

    Nadhani hii ndo wilaya pekee Tanzania inayokunywa damu.za kutosha. Ukiingia youtube au google uka search Chalinze Taarifa 3 za kwanza ni ajali ajali miaka nenda rudi ni eneo hatari sana na watu wanapaswa kuwa makini. Check hii ni ya leo leo Bwilingu nadhani na ufinyu wa barabara unachangia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Upuuzi wa Makonda na Gambo ni matokeo ya kukosa viongozi wanaochukua hatua

    Kuna wakati unajiuliza mbona kama hatuko serious? Inawezekanaje viongozi wakawa wanafanya mambo ya kipuuzi na hawawajibishwi? Hili ni tatizo. Inasemekana Ulega aliwahi kuwaita akawapatanisha, lakini kwa hatua iliyofikia ilitakiwa hatua zichukuliwe ili huu ugonjwa tusiendelee kusambaa. Wapo...
  16. JamiiForums Tanzania Fikiria mara 2 au zaidi kuhusu elimu kisha chukua hatua

    Ikiwa wazazi wako walikushauri uende chuo kikuu ili uweze kuhitimu, upate kazi nzuri na uishi maisha mazuri, walikukosea. Ikiwa unafikiri ulisoma chuo kikuu ili upate kazi nzuri, utachukizwa milele. Pia, hakuna kozi inayoitwa 'inayofaa sokoni'. Hiyo haipo. Kitu cha pekee kinachofaa sokoni ni...
  17. JamiiForums Tanzania Mamlaka husika mchukulieni hatua huyu mzungu amewatukana dada zetu wa Kitanzania na Watanzania kwa ujumla

    https://youtu.be/9ebMOVI87h0?si=sJm0h1XJPQDVVuaQ Jana nimetumiwa hiyo link na rafiki zangu ambao sio watanzania wakishtushwa na kukasirishwa na huyo mzungu akiwadhalilisha Watanzania hasa Wanawake, Kwenye comments nimesikitishwa na baadhi ya wanaume wa Kitanzania wakimsapoti na kujichekesha...
  18. JamiiForums Tanzania Ifikie hatua Yanga iheshimiwe kama ndio klabu bora ya soka afrika mashariki na kati

    Ukiiona yanga inacheza hata kama wewe sio mpenzi wa yanga na pengine labda bado unasumbulia na ule ushabiki maandazi lakini hata kimoyomoyo utakubali kua yanga ndio timu inayocheza kandanda la kuvutia..pira la kitabuni...pira la kideoni...yani zike pattern za soka unaziona na hata zile B tatu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Kamati ya masaa 72 yaifuta kadi nyekundu ya Derick Mukombozi

    Ligi inazidi kunoga, Kila mtu ashinde anavojua... Kamati ya Masaa 72 imefuta kadi nyekundu aliyopewa mchezaji wa Namungo, Derick Mukombozi, katika mchezo dhidi ya Simba SC. Uamuzi huu umefikiwa baada ya kamati kupitia kwa kina ripoti ya mwamuzi na kulinganisha na picha za video za tukio husika...
  20. JamiiForums Tanzania Mhe. Katimba: Serikali Imeendelea Kuchukua Hatua Kupunguza Uhaba wa Walimu

    MHE. KATIMBA: SERIKALI IMEENDELEA KUCHUKUA HATUA KUPUNGUZA UHABA WA WALIMU Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Zainab Katimba, amesema serikali inaendelea kuchukua hatua za kukabiliana na upungufu wa walimu kwa kuajiri kila mwaka kulingana na upatikanaji wa fedha, huku kwa sasa ikiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…