Ninaomba mamlaka husika ziangalie kero za Wafanyakazi kwenye baadhi ya kampuni za ujenzi wa barabara nchini. Mimi ni mmoja wa wafanyakazi kwenye kampuni ya ujenzi wa barabara na tunakutana na changamoto zifuatazo:
1. Kufanyishwa kazi nje ya muda uliopangwa kisheria bila kulipwa malipo ya muda...
Anonymous (c9be)
Thread
hatua
kampuni
katika
kuchukua
kuchukua hatua
n.k
serikali
wazawa
Utapeli unaohusisha uchawi na uganga nchini Tanzania umekuwa ukichukua sura mpya, ambapo matapeli hutumia hofu, imani za kishirikina, na teknolojia kuwaibia wananchi. Kufikia Machi 2026, Jeshi la Polisi na mamlaka mbalimbali zimeongeza jitihada za kudhibiti vitendo hivi ambavyo mara nyingi...
Hivi kwanini daladala za Mbande Kisewe - Buza zinaishia Tandika na mamlaka hazichukui hatua yoyote? Yanatakiwa kuishia Buza lakini hayafiki yanaishia Tandika.
Hali hii imekuwepo kwa muda wa miaka miwili sasa nah atua hazichukuliwi kama nilivyosema.
Kuna tabia ya kukata umeme ovyo kila mara kulikoni sehemu zingine tunaomba tanesco wachukue hatua maana kukatika ovyo kwa umeme imekua kero ya muda mrefu
Anonymous
Thread
halmashauri
hatua
kero
kero ya umeme
kila mara
kukata
kukatika
maana
manyoni
mara
muda
ovyo
sehemu
tabia
tanesco
umeme
wilaya
Baada ya Wananchi mbalimbali kupitia Jukwaa la JamiiForums.com kuweka wazi malalamiko yao ya kutopata taarifa ya kujua lini hasa kitambulisho cha NIDA kinakuwa tayari kwa wale wapya waliojisajili na wale ambao wamefanya mchakato wa kupata vitambulisho vipya, Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa...
DAH tulipo FIKA SIO pazuri, Kuna HUYO Binti MTANDAONI huonyesha uchi wake live insta, ALAFU anafunika, SIJUI ni WA bongo hapa, KWA KWELI SERIKALI YETU msichekee HAYA MAMBO tuelekeako WATOTO wetu WA kike wataharibikiwa
Kama tunaweza kulalamika acc za wanasiasa FULANI zifungiwee tunaomba na acc...
Nimefuatilia sana mienendo ya nchi yetu na nikagundua jambo la kusikitisha:
Tanzania imekuwa kama 'shamba la bibi'. Yaani ni nchi pekee ambayo mgeni anaweza kuingia kama mtalii, akapanga nyumba, akafungua kijibiashara au kuanza kazi za 'consultancy', na akaishi miaka mitano bila kuguswa na...
Kusanya ushahidi kwa kupiga picha na kuredi video za kamera hizo ulizogundua, andika muda, tarehe na eneo ulipogundua kamera hizo.
Funika kamera kwa tepe, karatasi au kitambaa bila kushika kamera hiyo ili usiache alama zako za vidole "Fingerprints" wala usiichomoe.
Ondoka eneo hilo ili...
Kila mahali tumezungukwa na hatari za kila aina . Lakini hii Changamoto ya ajali za barabarani limekuwa ni donda sugu.. barabara zetu hizi ni kama zile za kwenye filamu ya kutisha ya Final destination.Watu wanapoteza wapendwa wao kila uchao. Na kinachonisikitisha ni kwamba hapahapa duniani...
Habari wana JF,
Kuna jambo watu wengi hawalielewi kuhusu biashara - mafanikio ya kweli huanza rohoni kabla hayajaonekana kwenye akaunti ya benki.
Watu wengi wanapomwona mfanyabiashara aliyefanikiwa, wanaona majengo, magari, ofisi na mtiririko wa pesa. Lakini hawaoni maombi ya usiku, wasiwasi...
Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii?
Rais wa Zanzibari chukua hatua
1)Utambulisho wako..hutakuwa na haja ya kutembea na KADI wala KITAMBUKISHO(kadi ya benki,kitambukisho,kadi ya bima,kadi yoyote..n.k
2)VYETI na HATI..certificates...vyeti vya elimu,hati za umiliki,hati ya utambulisho wa umiliki,leseni za biashara n.k
3)PESA ZA MAKARATASI..zitaondolewa..itaanza...
Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa, amemwelekeza Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kuchukua hatua za kinidhamu dhidi ya Mtendaji wa Kata ya Kipunguni ‘B’ kwa kuchelewa kufika kazini na kushindwa kutoa huduma kwa wananchi...
Na Mchambuzi Chura wa Siasa za Kimataifa
Januari 7, 2026, itakumbukwa kama siku ya kihistoria katika diplomasia ya ulimwengu baada ya Rais Donald Trump kutangaza rasmi kuiondoa Marekani katika mashirika ya kimataifa 66. Hatua hii, inayokuja chini ya sera ya "America First", si pigo kwa...
Akitumia ukurasa wake wa X madam president ameandika
Ninaipongeza timu yetu ya Taifa ya mpira wa miguu, Taifa Stars kwa kufuzu hatua ya 16 bora ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu.
Heshima hii kubwa kwetu ni matokeo ya maandalizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.