hatma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hatma za Watekwaji: mamba, chatu, vinu vya saruji, risasi, shimo la Mungu......

    Shimo la Mungu lipo Mtwara, wilaya ya Newala jirani na makazi ya alyewahi kuwa Waziri wa Utawala Bora ndg Mkuchika.... Hatma ni nyingi kwa watekwa nyara na serikali hii...
  2. JamiiForums Tanzania Ali Kamwe Afunguka; Hatma ya Dickson Job na Clement Mzize Yanga SC, Wapewa ‘Green Light’ Yanga SC

    Kikosi cha Yanga SC kimepata ingizo la nguvu kuelekea mechi zinazofuata za msimu baada ya beki Dickson Job na mshambuliaji Clement Mzize kupona kikamilifu na kuruhusiwa kurejea uwanjani. Meneja wa Habari na Mawasiliano wa klabu hiyo, Ali Kamwe, amethibitisha kuwa idara ya matibabu imewakagua...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uanaharakati Usioyumba: Maria Sarungi na Kivuli cha Tundu Lissu wa Zamani. Nini Hatma ya Mapambano Haya?

    Leo naomba tujikite kumwangalia kwa kina mwanaharakati nguli wa haki za binadamu na demokrasia nchini, Maria Sarungi Tsehai. Katika mazingira yetu ya sasa ya kisiasa, kumekuwa na mjadala mkubwa kuhusu uimara wa sauti huru. Hivyo, nawakaribisha wanajamvi wote kutoa maoni, kufanya uchambuzi, na...
  4. JamiiForums Tanzania Hii miezi 18 ijayo inabeba hatma ya Tanzania!

    Amani ya Bwana iwe nanyi, Nakuja kwenu na tathmini yangu ya haraka haraka kuhusu mwenendo wa hali ya siasa wa Tanzania na inayoonekana kama hatma ya taifa hilo. Nikiangalia mwenendo wa mambo mbalimbali yanayoendelea ndani na nje ya nchi ya Tanzania, naona kwamba miezi 18 ijayo inaweza...
  5. JamiiForums Tanzania Hatma ya nafasi ya Makamu Mwenyekiti fisadi wa CHADEMA Taifa kuamuliwa na mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA taifa Septemba 15,2026.

    Hii ni kutokana na baadhhi ya wajumbe wa kamati kuu ya chadema taifa, kuapa kuongoza azimio la kuhakikisha kwamba makamu mwenyekiti wa chadema taifa anabanduliwa kwenye nafasi yake, baada ya kukiuka katiba na tuhuma za ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi kwa manufaa yake binafsi na familia yake...
  6. JamiiForums Tanzania Hatma, Tujifunze kuishi kwa upendo na haki, ili hatma yetu iwe nzuri

    Hatma ni neno linalomaanisha mwisho, matokeo, au mustakabali wa jambo lolote. Ni kile ambacho kimepangwa kutokea katika uhai wa mwanadamu au katika kuwepo kwa kitu chochote. Katika mtazamo wa kifalsafa na kidini, hatma inaeleweka kama mpango uliowekwa tayari ambao hauwezi kubadilishwa na nguvu...
  7. JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu hatma ya Humphrey Polepole

    1. Je Yuko hai? 2. Kama Yuko hai anafanywaje? Kula na kulala milele au ? 3.Je anayemtunza kama Yuko hai Huwa anaongea nae? 4. Au anampa Chakula na kuondoka? 5. Je kama Yuko hai anawaza nini? Kwamba kuna siku nitaliona jua? 6. Je anayemtunza/mfuga anamwambia maneno gani? 7. Kwamba pengine...
  8. JamiiForums Tanzania Watu waliovamiwa usiku pwani ni ipi hatma yao?

    Salama! Kuna taarifa niliiona kati ya Mei 1_5 mwaka huu watu wanaosadikika kuwa zaidi ya 300 Waliingia na coaster usiku na kuvamia eneo lililopo pwani na kuanza kubomoa nyumba za watu na kuwaamuru watoke na waondoe vitu vyao ili wabomoe. Kuna mama mmoja anasema mpaka kanga yake aliyokua amevaa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Hatma ya mkopo wa Benki baada ya mkopaji kufariki

    Je, nikiwa nimekopa Mkopo katika Benki yoyote nchini Tanzania (NMB as case study) alafu kabla sijamaliza kulipa Mkopo huo, Nikafariki. Je, Mkopo huo bado utatakiwa kulipwa ? Kama ni ndio, je ni nani atawajibika kulipa ? Naomba Ufafanuzi pamoja na msimamo wa Sheria katika jambo hilo
  10. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tusikubali kuchochewa na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu, wenye maslahi binafsi kuvuruga tunu ya amani

    "...Watanzania tusikubali kurubuniwa kuharibu nchi yetu. Tusikubali kuchochewa, iwe na wanasiasa, wanaharakati, wahalifu au watu wenye chuki na wenye maslahi binafsi kwa njia yoyote ile kuvuruga tunu ya amani yetu. Tusimame imara na kwa umoja tulijenge taifa la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  11. JamiiForums Tanzania Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka

    Kwa macho yangu Leo ijumaa SAA SITA mchana mitaa ya AMANI KILIMAHEWA BONDENI chini ya msikiti, vibaka wamemtolea mtu VISU nakuchukua hela na kuondoka. Nina muomba kiongozi mwenye dhamana ya USALAMA ZANZIBAR awajibike ziende fenda za polisi kukamata wale vijana WOTE wenye tattoo na wanao vuta...
  12. JamiiForums Tanzania Mjadala unaendelea hatma kesi ya Lissu Mahakama kutoa maamuzi, kutopewa chakula, Kamwaga na Pascal Mayala wanazungumza...

    https://www.youtube.com/live/yY-Fra_HBiY
  13. JamiiForums Tanzania Haya mambo yanawachanganya sana watu kiroho. Call (Wito) Destiny (hatma ) na fate

    Haya mambo matatu yamekuwa yakiwachanganya sana watu wengi 1 .Call , (Wito 2. Fate 3 . Destiny (Hatima) Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha either kwa kutoelewa haya mambo matatu kwa kujua au kwa kutokujua. Kwa kuelezea haya mambo matatu nitatumia mfano wa Yusufu wa kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Oktoba 29: Hatma ya Watanzania na Mustakabali wa Tanganyika Yetu

    Tarehe 29 Oktoba imebeba uzito mkubwa katika historia ya Watanzania. Ni siku inayochochea hisia, matumaini, hofu na maswali mengi kuhusu mwelekeo wa taifa letu. Kwa uhalisia, hatma ya Watanzania haitegemei tukio lenyewe pekee, bali namna tunavyolielewa, tunavyolishughulikia, na maamuzi...
  15. JamiiForums Tanzania Mwaka wa mawasiliano kati ya watu wa China na Afrika kuhimiza ujenzi wa Jumuiya yenye Hatma ya Pamoja

    Mwaka wa 2026 wa Mawasiliano kati ya Watu wa China na Afrika umezinduliwa hivi karibuni katika makao makuu ya Umoja wa Afrika yaliyoko Addis Ababa, mji mkuu wa Ethiopia. Mwaka huu, takriban shughuli 600 za mawasiliano kati ya China na Afrika zitafanyika, na kuleta uhai na nguvu zaidi kwa ujenzi...
  16. JamiiForums Tanzania Hii nchi tunaiepeleka wapi? Mbona kama Tumepotea na Tunaendelea kupotea Hatma Tanzania ni hipi?

    Tanzania nchi yangu imekutwa na nini na hii nchi tunaiepeleka wapi? Baada ya uchaguzi huu na uchafuzi nilitegemea sasa ni mda wa kuombana msamaha na kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi Nilitegemea vijana wote waliokamatwa kuachiwa huru pamoja na yule binti Mdogo Niffer nakupewa onyo kali...
  17. JamiiForums Tanzania Kama CCM wataendelea kubaki madarakani, Nini hatma ya mamia ya watu waliotekwa?

    Habari Wana bodi, kama tittle inavyojieleza, kuelekea uchaguzi mkuu tumeona mamia ya watu wakitekwa na kwa isivyo bahati, serikali ya CCM haijatoa ushirikiano katika hili jambo, aidha mgombea wao amechagua kukaa kimya. Je, watu ambao wanatamka kulinda utu wa Mtanzania kwa maneno tu bila vitendo...
  18. JamiiForums Tanzania Wito wa kususia nyuzi zisizo na uhalisia kisiasa kuelekea hatma ya Taifa hili

    Comrades, Natoa wito kususia mada ambazo ha,ina uhalisia kisiasa. Mada zinazoikweza ccm katika mazingira haya ya sasa. Mada kama zifuatazo 1. Kusifia nyomi 2. Kusifia ilani, hasa hama kilichopo madarakani 3. Kusifia misafara ya mvombea wa ccm 4. Kuaminisha watu ccm kina nguvu ya hoja 5...
  19. JamiiForums Tanzania Inasemekana watu wengi wenye hii alama kwenye sikio wana hatma ya kuwa matajiri

  20. JamiiForums Tanzania Miaka 20 - 25 mbele naiona hatma ya ulaya kuamuliwa na UISLAM. mark my post!

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…