hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uzito uliopitiliza ni hatari kwa afya yako

    UZITO ULIOPITILIZA Mgawanyo wa uzito kwa BMI hapa chini Uzito ulio mdogo <18.5 Uzito wa kawaida 18.5-24.9 Uzito uliozidi 25-29.9 Uzito uliopitiliza(obesity) 30-39.9 Uzito uliopitiliza na hatari zaidi BMI Huu ni mfumo wa ukokotoaji wa uzito wa mtu(KG) chini au ugawe kwa urefu wake(urefu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kati ya Nape na Kolimba, nani ametoa kauli hatari zaidi kwa chama cha CCM?

    Marehemu Horace Kolimba: CCM imepoteza dira. Nape: Chama kina wenyewe Tukumbuke hawa wamekuwa viongozi wakubwa tu ndani ya CCM hivyo kauli zao sio za kuchulia mzaha. Japo Kolimba aliongea ukweli, tunasikia aliitwa kujieleza; je, Nape nae hastahili kuitwa na chama chake ili ajieleze?
  3. JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Rais Samia na Rais Kenyatta kuhusu makazi na ardhi ni hatari Sana kwa Watanzania

    Salama wandugu, nimesikitika eti huyu mama amesaini makaratasi kuhusu uhuru na suluhu za kibiashara Sasa Jambo moja linanipa ukakasi ni Juu makaratasi ya makazi na ardhi wandugu wakenya siyo wa kuwachekea watahodhi ardhi ya Watanzania, kwanini asiwapeleke Zanzibar wakamiliki ardhi .
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sala za Mbowe kwa Rais Magufuli

    Hapa Mh. Mbowe akiongoza sala. Hii ikiwa ni pamoja na kumwombea yote ya kheri Rais Magufuli katika utendaji wake: Hapa mwamba alikuwa katika ubora wake, kwa maana imeandikwa: "Ombeaneni ninyi kwa ninyi." Mbowe aliwaombea mema hata waliokuwa watesi wake. Uthibitisho wa wazi kuwa Mh. Mbowe si...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Wasiochanjwa ni kichocheo kwa Virusi Hatari zaidi

    Sayansi ya virusi ni mtambuka kama zilivyo zingine. Virusi vinafahamika kubadilika hata kuwa hatari zaidi, visipotokomezwa mapema. Virusi vya corona katika miili ya wasiochanjwa ndiko yaliko maeneo wezeshi ya kupatikana aina konki zaidi. Kwa kuutambua ukweli huu wenye kuelewa wanaelekea...
  6. JamiiForums Tanzania Aina mpya, hatari zaidi, ya Kirusi cha Corona yagunduliwa Afrika Kusini

    Mamlaka nchini Afrika Kusini zimeripoti kuwepo kwa aina mpya ya Virusi vya Corona, B.1.1.529, ambavyo ni tofauti na aina zingine za virusi vinavyofahamika. Mkuu wa Kitengo cha Magonjwa ya Mlipuko nchini Afrika Kusini, Prof. Tulio de Oliveira amesema kuwa kirusi hicho kipya kina zaidi ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Dalili tatu hatari za Covid-19

    Shirika la Afya Ulimwenguni limeweka bayana dalili tatu za hatari za #coronavirus ambazo zinahitaji uangalizi wa karibu wa wataalamu wa afya . Inaelezwa kuwa dalili hizo ni kupata tabu ya kupumua, kupoteza uwezo wa kuzungumza na kupata maumivu kifuani. Dalili hizi zinakadiriwa kuanza kuaonekana...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Fanya yafuatayo ukitaka usivamiwe sana na vibaka au hata wakuokoe kwenye hatari

    1. Penda Kujichanganya nao kupiga stori ukiwa na muda 2. Ukibakiza vichenji chenji wape 3. Ukijua wanavuta Bangi au Pombe siku ukiwa nazo mfukoni wanunulie 4. Ukisikia Mmoja wao kakamatwa onyesha hata kinafiki tu kuwa unampambania Kumtoa 5. Wakosoe kwa kuwajenga na siyo kwa Kuwadhalilisha na...
  9. JamiiForums Tanzania Mfahamu Daktari Aliyegundua Dawa Iliyotibu Ugonjwa Hatari wa Polio na Hati Miliki Ya Dawa Hiyo likapewa Jua

    MFAHAMU DAKTARI ALIYEGUNDUA DAWA ILIYOTIBU UGONJWA HATARI WA POLIO NA HATI MILIKI YA DAWA HIYO LIKAPEWA JUA. Jonas Salk alikuwa mtafiti na mgunduzi wa dawa ya ugonjwa wa polio alizaliwa October 28, mwaka 1914 New York , marekani . polio ni Ugonjwa wa kuambukiza kutoka kwa mtu mmoja kwenda...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa madarasa nchi nzima; Kuna hatari naiona mbele juu ya fedha za IMF

    Habarini wadau. Nimejaribu kupitia juu ya miradi inayoendelea wilaya Mbinga na Songwe. Kama Tanzania nzima ndio inatekelezwa kwa utaratibu wa namna hiyo lazima basi uzalendo wetu upo kwenye matumbo yetu. Na ni hatari sana kuwa na watu wa aina hii katika taifa letu. Miongoni mwa mambo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo hazina viambata hatari na sumu

    Je, chanjo zina viambato hatari na sumu? Hapana. Ingawa viambata vilivyo kwenye lebo za chanjo vinaweza kutisha, (k.m. zebaki, alumini, na formaldehyde) kwa kawaida hupatikana katika mwili, chakula tunachokula na mazingira yanayotuzunguka - kwa mfano, katika tuna. Kiasi katika chanjo ni kidogo...
  12. JamiiForums Tanzania Kila viongozi wetu wawapo nje, wanaomba wageni waje kuwekeza na siyo kutuombea tukawekeze. Hii ni hatari kwa vizazi vikavyo

    Ukweli usemwe sasa,ukichelewa tumekwisha. Ni nini kimetipata sisi Watanzania? Hasa viongozi wetu? Nimemsikia Raisi akiwa Scotland, Kenya, Misri nk. Nimemsikia Makamu wa Rais majuzi hapa akiwa nje, nimemsikia Waziri Mkuu akimkaribisha na kumweleza mcheza filamu maarufu wa India aje kuwekeza...
  13. JamiiForums Tanzania Pikipiki bila vioo vya pembeni (side mirror) ni hatari kwa abiria!

    naona hili nalo ni tatizo!
  14. JamiiForums Tanzania Ghetto la Bernard Morrison ni hatari

    Hivi ndivyo wenzetu wanavyojali wachezaji wao... Ona ghetto la mchezaji wao wa kimataifa linavyo fanana. Yanga SC mna mengi sana ya kujifunza...kutoka kwa Boss Mo Dewji.
  15. JamiiForums Tanzania Uwepo wa waandishi wa habari makanjanja ni hatari ndani ya jamii/ nchi

    WAANDISHI MAKANJANJA NI HATARI NDANI YA NCHI. Anaandika Robert Heriel. Leo nitatumia lugha ngumu kidogo, nafahamu nazungumzia kazi za watu ambazo zinawaingizia kipato. Hata hivyo Nia yangu sio kuonyesha ubinafsi, kuwaonea kijicho, isipokuwa kuwataka wabadilike, ili tujenge jamii Bora na taifa...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ni kemikali hatari iliyomo kwenye plastic

    Kwenye plastic kunakundi moja la kemikali linalipatikana kwa wingi ndani yake. Linaitwa biphenols. Hii ni kemikali hatari sana sababu ni carcinogenic. Na mbaya zaidi kemikali hii inafanana na hormone inayopatikana kwa wanawake iitwayo estrogen na inaweza fanya kazi za estrogen. Hii inaweza...
  17. JamiiForums Tanzania Urefu wako unakuweka katika hatari ya kupata saratani, ufupi wako unakuweka katika hatari ya kupata kisukari

    Kuna mabadiliko makubwa ya urefu wa watu duniani leo ukilinganisha na enzi za mababu zetu, kwa sasa wastani wa urefu wa watu umeongezeka kulinganisha na miaka 1,00 iliyopita na moja ya mambo yaliyochangia hilo ni kuboreka kwa maisha ya watu katika maeneo mengi duniani. Watu leo ni warefu zaidi...
  18. JamiiForums Tanzania Ukorofi: Wanajua hatari yake ila wakifungiwa ili kuzuia maafa wanafoka tena

    Jaribu kuangalia hii makala iliyoandaliwa na chombo cha habari cha WION . Tatizo langu halipo kwenye news outlet hii but nashangaa pale serikali inapoamua kuchukua hatua kudhihiti machafuko yanayochochewa na mitandao ya kijamii " Social Networks" hawa hawa ndo wa kwanza kusema serikali...
  19. JamiiForums Tanzania WHO: Uhaba wa bomba za sindano unaweza kuathiri harakati za utoaji chanjo barani Afrika

    Jitihada za Bara la Afrika kuwachanja Raia wake huenda zikaathiriwa na uhaba wa bomba za sindano. Shirika la UNICEF linakadiria Uhaba wa hadi Bilioni 2.2 Mkuu wa Shirika la Afya (WHO) Afrika, Matshidiso Moeti amesema mwaka 2022 Chanjo zitaanza kuja Barani humo kwa kiwango kikubwa, lakini uhaba...
  20. JamiiForums Tanzania Wanatakiwa kuweka tangazo kuwa unywaji wa soda kupita kiasi ni hatari kwa Afya yako

    Soda na Soft drinks zote ni hatari kwa afya ya binadamu. Binadamu hakuumbwa kubugia sukari nyingi namna anayobugia leo. Sukari nyingi huleta unene wa kupitiliza, kitu ambacho huleta kisukari, magonjwa ya moyo nk. Ni wakati sasa, kama ilivyo kwenye bia; Kwa matangazo yote ya vinywaji laini na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…