hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania "UTU" unavyonirudisha kwenye hatari

    Achana kitu kinaitwa utu aiseeeeh Pamoja na mateso yoote ya mapenzi niliyopitia lakini ngoma ya "utu" ya Ali kiba unanipeleka mbali saana kihisia Asikwambie mtu kupenda raha saaana hasa ukimpata mwenye utu na utulivu.... Big up Ali kiba japo nimechelewa wimbo wa kitambo kidogo ila acha niseme...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano haramu kati ya kisiwa cha Taiwan na Jimbo la Somaliland ni hatari ya kidiplomasia

    Na Fadhili Mpunji Katika siku za hivi karibuni kiongozi wa Taiwan Bibi Tsai Ingwen na anayejitaja kuwa ni waziri wa mambo ya nje wa Jimbo la Somaliland Bw. Essa Kayd, walikutana huko Taipei katika ziara ambayo Bibi Tsai Ingwen ameitaja kuwa ina lengo la kuimarisha urafiki na ushirikiano kati ya...
  3. JamiiForums Tanzania Ngorongoro sio sehemu ya makazi ya binadamu bali ni hifadhi ya wanyamapori

    #NGORONGORO SIO SEHEMU YA MAKAZI YA BINADAMU BALI NI HIFADHI YA WANYAMA POLI Naa Joseph #Yona Mwaka 1960 Ngorongoro Ilikuwa na Tembo zaidi ya 2000! Ila leo hii Tembo waliobaki Ngorongoro ni 30! Moja ya utajiri wa kipekee duniani ni kuwa na wanyama Mwitu kama hawa ambao sisi wabongo...
  4. JamiiForums Tanzania Maeneo hatari kutembelea duniani, hasa kwa watalii

    Duniani kuna baadhi ya maeneo ukiyafikiria tuu huwa yanakutamanisha sana kiasi ukatamani siku uende kuyatembelea.. lakini kiuhalisia ni maeneo hatarishi zaidi hapa Duniani. Kiuhalisia Dunia ina maeneo mengi ambayo ni hatari kuyatembelea lakini kwenye uzi huu nitayaongelea machache tuu ambayo...
  5. JamiiForums Tanzania Knights of Templar: Moja ya makundi hatari duniani

    Kuna makundi mengi ya siri ambayo ni hatari sana kama KNIGHTS OF MALTA, KNIGHTS OF EULOGIA (SKULL AND BONES), KNIGHTS OF COLUMBUS, KNIGHTS OF MALTA Japo Kundi hatari zaidi ni The Jesuits ambao wanacontrol the Knights Templar, Knights of Columbus and the Knights of Malta. CIA, FBI, NSA, ASIO...
  6. JamiiForums Tanzania Mwanadamu ata-survive kwa muda gani kama kukitokea janga hatari duniani kote..?

    Wakati wowote janga lolote baya linaweza kutokea na kutukumba hapa duniani,kila taifa na jamii itapambana kwa kadri iwezavyo. Najua akina sie huku hatutachukua muda tutapukutika kama pori lililoshika moto!. Mfano wa majanga hayo yanayoweza kutokea ni kama dunia kuangukiwa na kimbuka kikubwa...
  7. JamiiForums Tanzania Tahadhari: Tembo ni hatari sana

    Kwa wale tunaosafiri sana huko maporini tujue kuwa Tembo akiwa amechokozwa au kapoteza mtoto wake anakuwa na hasira sana. 1. Tembo anakimbia sana kuliko binadamu, speed yake 40 km/hr 2. Tembo hategemei sana kuona yeye ananusa zaidi 3. Ukimuona Tembo kaa kimya 4. Uhai ni muhimu kuliko kilimo 5...
  8. JamiiForums Tanzania Ndoa ndiyo taasisi hatari kuundwa duniani kwa lengo kutesa maisha ya binadamu

    Ni hivi, hakuna msomaji yoyote yule wa uzi huu ndani ya JF aliyepata furaha ya maisha kutokana ya yeye kuoa au kuolewa na hii inatokana na ukweli kwamba lengo lililojificha la ndoa ni kufarakanisha watu na sio kuunganisha watu kama watu wengi walivyoaminishwa. Baada ya kifo kitu kingine...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Yanayoendelea wilayani Songwe kwenye ujenzi wa madarasa kutokana na pesa za Covid. Ni hatari tupu pesa zimeliwa

    Kwa heshima na taadhima ujumbe huu mhe: Rais ukufikikie popote uliopo.Mhe Raisi umekuwa mstari mbele kuhakikisha Nchi yetu inakuwa salama na tunapata maendeleo katika nyanja mbalimbali. Na umefanya jitihada za dhati kuhakikisha Nchi yetu inasonga mbele.Lakini watendaji wako wanakuangusha...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia achana na siasa za watemi na machifu, ni hatari, hazikusaidii na hazilisaidii taifa

    Tangu Rais Samia ashike madaraka amekuwa busy sana kuzing'ang'ania na kuzipigia debe siasa za kuwaenzi na kuuenzi utamaduni wa machifu na watemi hapa Tanzania. Hapa nitaweka kweli kadhaa kuhusu ubaya wa siasa hizo kwa nchi yetu na vizazi vijavyo. 1. Utamaduni wa watemi na machifu ni utamaduni...
  11. JamiiForums Tanzania Upinzani kwa Tanzania ni kazi ngumu na ya hatari

    Ukisha kuwa na fikra mbadala nchini mwetu basi utachukiwa sana na wakalia kiti cha enzi na vibaraka wao. Utafanyiwa fitina, manyanyaso, dhihaka na ubaya wa kila aina ndiyo maana kila mtawala wa CCM akingia madalakani chakwanza huanza ku-dill na Wapinzani. Ona sasa Hoja ya KATIBA MPYA iliyo...
  12. JamiiForums Tanzania Kilichotutokea jana Bambalaga - Dodoma

    Tukiwa tunapta vinywaji tukiwa na jamaa zangu, mmoja wetu alimtaka demu mmoja mbaye inaonekana alikuwa muuzaji wa K, jamaa alimwimbisha demu akakubali akajumuika na sisi. Yule demu alikuwa anafanya movement ambazo nizitilia shaka, mara kadhaa alikuwa anaenda kuongea na mabaunsa sikujua walikuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Nikiendesha Gari inakula mafuta hatari

    Wakuu nisaidieni kuelewa kitu nikiendesha gari inakula mafuta sana tofauti na mtu mwingine akiendesha gari hiyo hiyo, Nashidwaa kuelewa ni nakanyaga vibaya pedel ya mafuta au kuna kitu nakosea, msaada wenu wakuu.
  14. JamiiForums Tanzania Denilison left winger hatari (Kwenye kizazi cha Dhahabu cha Brazil)

    Huyu winger alikuwa anasepa na kijiji. Alikuwa winga hatari kwenye kizazi cha dhahabu cha Brazil. Huku namba 10 akicheza Rovaldo, Mzee ilikuwa hatari. Ilikuwa Brazil kweli kweli.
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu mwanamke huyu kwenye mzunguko wa hedhi, siku zake za hatari ni zipi?

    Hedhi anakaa siku 3 hadi 4, Mara nyingi kwenye siku anaingia kati ya tarehe 26, 27 na 28 kila mwezi. Je, kwenye mzunguko huu hapana tatizo?, je mzunguko huu ni wa siku ngapi? Je, kwenye mzunguko huu siku zake za hatari ni zipi?
  16. JamiiForums Tanzania Barabara ya kivule Kuelekea banana ni hatari kwa usalama wa afya za abiria

    Moja kwa moja. Siku za hivi karibuni nilipanda usafiri wa daladala kutoka banana hadi kivule kwenye harakati zangu ,Kwa kweli Ktk Maisha yangu sijawahi shuhudia barabara mbovu kama ile na kila siku hali ile ile miaka nenda miaka rudi Kutokana na ubovu wa barabara uliopitiliza nilipata...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Museveni anaeonekana kuifahamu sana Tanzania, hii sio hatari kwa usalama?

    Nimekuwa namsikiliza rais wa Uganda mara kwa mara akitoa hotuba zake hasa akiwa hapa nchini, kwa kweli huyu mheshimiwa kijiografia anaijua vizuri sana Tanzania. Unakuta anaelezea maeneo ya ndani ya nchi yetu yaani vijiji na mpaka makabila ya maeneo husika tamaduni zao, lugha zao nk. Sasa ikiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu Jamaa Kabakiza Siku Chache Kupoteza Uhai. Hatari Sana...!

  19. JamiiForums Tanzania Kuangalia pono ni hatari kuliko kimelea cha ugonjwa

    Kuangalia pono husababisha yafuatayo: 1. Pre-ejaculation ama kumwaga kabla ya dakika ya kutakiwa kufanya hivyo. Hii husababisha kutopata watoto ama kutomridhisha mwenzi 2. Husababisha ndoto nyevu na pale semen inapotakiwa kusababisha mimba basi huwa ina mbegu dhaifu 3. Mtu huyu huathirika...
  20. JamiiForums Tanzania Uzito uliopitiliza ni hatari kwa afya yako

    UZITO ULIOPITILIZA Mgawanyo wa uzito kwa BMI hapa chini Uzito ulio mdogo <18.5 Uzito wa kawaida 18.5-24.9 Uzito uliozidi 25-29.9 Uzito uliopitiliza(obesity) 30-39.9 Uzito uliopitiliza na hatari zaidi BMI Huu ni mfumo wa ukokotoaji wa uzito wa mtu(KG) chini au ugawe kwa urefu wake(urefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…