Nimegundua mita yangu haikati umeme hata unit zikiisha, ni mpya kabisa na imefungwa kwenye nguzo yao ya umeme. Wamefunga mita za nyumba kama 4 kwenye nguzo hiyo, kwahiyo tunatumia vile vi remote ku control.
Sasa baada ya kubaini hitalafu hiyo jana nikaenda kwenye ofisi yao kuripoti, mhudumu...