Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.
Nimewaza sana kuhusu CCM inavyoendesha nchi bila kukubari ukweli.
Mfano lile la afande muriro video zinaonekana polisi wanabeba watu mahakamani na kukana kusema sio polisi.
Tarehe 22/06/1986 Diego Amando Maradona alifunga goli kwa mkono dhidi ya timu ya Uingereza.
Goli hilo alilofunga dhidi ya Kipa mahiri wa England zama hizo Peter Shilton, mpaka leo limeacha gumzo kwenye dunia ya mpira wa Miguu.
Lakini mwisho wa siku goli hilo ambalo kwa picha za marejeo...
Damu zilinisisimka namna Kayombo na mwenzake walivyohangaika kuhakikisha kuwa timu ya wanajeshi, Mashujaa inafumgwa na Simba bila kuhofia jambo lolote. Inatisha na kuogofya,
Makosa haya ya kibinadamu Sasa ni kiboko. Hakuna ligi hapa, imeoza. Kuna timu kwenye ligi zitashushwa na waamuzi sio...
Wazungu si kizazi cha Yesu wala Muhamad ( Wabarikiwa kama wanavodai wenyewe) lakini ndo wameidominate dunia na ndo wenye utahiri na wanavuna utajiri wadunia nzima…..
. SWALI LILIULIZWA
"Swali kwann watu wanaokula sana nyama au wanaotoka jamii ya wafugaji wengi wao wanakuwa na mitetemo ya chini yaani nguvu za chini za kiroho wanakuwa na vurugu, hasira,utata,ugomvi, hawana utulivu hata ukiangalia wanyama wanaokula nyama the same tabia.
MAJIBU YA KIROHO...
Nimeanza kushtuka kuwa tunapoteza muda wetu bure kumuita muongo Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Muliro anaposema viongozi wa Chadema waliotekwa, kupigwa na kwenda kutupwa Ununio sio polisi wake halali.
Hali hii iliwahi tokea March 2017 wakati RC wa Dar Paulo Makonda alipovamia Studio za Clouds na...
==
Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha ubia nchini Tanzania PPPC Bwana David Kafulila amewataka Watanzania waache kutishwa na watu wanaosema kupanda au kushuka Kwa shilling ya Tanzania kunaashiria Uchumi wa Tanzania kuwa legelege.
Bwana Kafulila amesema Uchumi wa nchi yoyote Ile duniani ni...
Yaani ukiona wanavyoumiza Watu, ukienda kituoni wanavyokujibu Vibaya, wakipita kwenye yale magari wanavyodhani wako mbinguni, KUMBE hata Taulo za Kike hawawezi kununua! What a shame!
Mnadhulumiwa hadi pesa za Pedi but kucha kuchwa mko na CHADEMA Tu kuwateka, kuwatesa na kuwaua...
Hii Ndio Inaitwa hakuna jiwe litaachwa limesimama, kilichobaki labda Trailers Tu !
Ukiomba ushauri wa movies za genre unayoipenda unakuta kila movie ulishaivamia kitambo
Hadi upate muvi mpya ni shughuli pevu
Maisha ya Cairo ni tofauti na Dar es salaam au Nairobi kijiografia na uoto wa asili. Ni jiji wakazi milioni 23 na ukame wa nyasi hadi miti. Hali ya hewa ni joto kali na Bado wenyeji wana utamaduni wa kunywa kahawa na chai mchana bila kusahau shisha..Ni Bora zaidi kuishi miji ya East Africa kwa...
Maumivu unayoyapata ndiyo maumivu tunayoyapata sisi ambao hatujaweza hata kuupata mwili wa Ben Saanane ili tumzike kimila na kwa taratibu zetu.
Israel walipambana for 10 years kuupata mwili wa Eli Cohen one of the great Spy ever lived on this planet ili tu kumzika kimila za kiyahudi.
Israel...
Sikilizeni Wapinzani,
Naomba mfanye utafiti mdogo tu ili muamini kwenye uchaguzi wa Oct 2025 hakuna wa kupambana na Rais Samia,
Fanyeni hivi,
Piteni kwenye kila Kijiji kwenye vijiji vyote 12,333 kama hamtakuta mradi wowote wa maendeleo ulianzishwa ndani ya miaka hii minne ya Rais Samia...
GT.
Yule jamaa alipendwa sana. Watu walilia sana, pmoja.na kupakazwa sana lakini alikuwa mioyoni mwa watu wengi.
Huyu wa sasa ndo kashaharibu kila kitu watu haesjui nini anafanya kiufupi ni bora liende tu yupo upande wa wachache wenye maslahi binafsi.
Na kwa hali ilivyo kashashindwa...
WAKUU HABARI. NIMEKANDWA SAILI TATU MFULULIZO KWENYE WRITTEN TU TOKA NIANZE KUFANYA USAILI AISEE. ADMINISTRATIVE OFFICER YA BUNGE CHALI. MDA & LGAs CHALI, TRA CHALI, MACHUNGU YAKE SIO KITOTO AISEE BORA NIKIMBIE TU😂😂😂🤣😂.Hapa tunashauriwa kuto kukata tamaa lakini mmh hii ni moto unakosa marks 5...
Kikundi cha Chadema ambacho kimedhamiria kufanya fujo na kukaidi amri halali ya Jeshi la polisi kinadhani kitachekewa na Jeshi la Polisi.
Hakuna kitu kama hicho. Polisi wapo kwaajili ya kulinda usalama wa raia na mali zao, ikitokea wakaidi lazima watqchezea kichapo cha mbwa koko.
Sasa Chadema...
Tunaelekea wapi kama wanaume?
Kuna kundi la wanaume ambao kwa namna ya kushangaza wamezoea kuishi ndani ya unyonge—unyonge wa kutokuwa na hata shilingi mfukoni. Hali ni mbaya kiasi kwamba hata mtu ambaye humjui binafsi, ukimuangalia tu unajisikia kero. Kwa nini? Kwa sababu umaskini wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.