hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tukubaliane watanzania wana akili mbovu kuliko hata hao ccm kuwatetea ni kazi ngumu sana.

    GT Eti hawa wana akili timamu kweli. Bodaboda na machinga ni maabomu yaliyopakwa rangi ya nanasi na CCM.
  2. JamiiForums Tanzania Polisi: hata ukikimbia nchi tutakusubiri ukirudi hata ukiwa mzee tutakukamata na utatumikia kifungo

    Jeshi la polisi limetangaza kuwa hakuna atakaeachwa kwa kosa aililofanya hata akiwa mzee tutamkamata.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Muda mzuri wa Polisi kupiga hela; Tafteni chambo hata Copro atoe tamko la kuunga mkono maandamano ili wakuu waje mezani watoe mpunga

    Haya mambo ni kufa kufaana! Upande wa polisi hawajui kuitumia fursa! Huu ndiyo ulikuwa muda sahihi wa kutengeneza hata copro mmoja kama chambo atoe tamko (halafu mnazuga kumkamata na kumhoji huku mkimlinda kwa kufikisha ujumbe) Wakuu lazima waje meza ya mazungumzo waweke dau! Wote hawawezi...
  4. JamiiForums Tanzania Yawezekana Tanzania ikawa ya MwiSho kukombolewa, hata Burundi watatutangulia

    Nchi vijana wanakusanyika kuangalia tamthiliya kwenye cinema Vijana wanakubali haki yao kuporwa kwa sh elfu 5 tu Vijana ambao hawako committed wanatupa mpira kwa wengine kuwafanyia maendeleo Katika Afrika Mashariki Nchi itakayochelewa kukombolewa ni Tanzania , wananchi wamelala sana hasa...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Ali Khomen: Kipigo tulichompiga Israel hatathubutu tena kugusa Iran

    Habari ndio hio Ayatollah Ali Khomen baba lao, anasema Rais wa marekani Trump alienda israel ili ku raise morales zao sababu zipo chini sana baada ya kipigo walicho pokea tokea Iran, sababu tuliwapiga kwenye mishono kabisa https://youtu.be/rQUxgNIqK4I?si=DCx0a1ZAmEPUrVwy
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati utahitajika kuusikia UKWELI hata kama utakuwa ni mchungu

    Andiko hili ni kwa hisani ya ndugu Vareliano Ulrick Mtundu "..........mfalme akamwambia Yeremia, nataka kukuuliza neno, nawe USINIFICHE neno lolote. Basi Yeremia akamwambia Sedekia, kama nikikufunulia neno hilo, je! Hutaniua wewe? Tena mimi nikikupa shauri wewe hutanisikiliza." (Yeremia...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mssada: Gearbox leakage hata baada ya kubadili seal

    Wadau salam. Poleni na shughuli za kulijenga taifa. Nina Suzuki Swift 2008 gearbox ni CVT. Nimebadili gearbox,seal ya kwenye pump pale mbele ikawa inavuja.Tukaibadili tena kama mara tatu lakini bado inavuja. Maoni yamekuwa mengi. Moja,naambiwa pump imekufa.Na naambiwa kufa kwa pump ni bush...
  8. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hata wakizima Mtandao tutawasiliana. Jinsi ya Kuwasiliana kwa Bluetooth, Kwa njia ya Mesh Network

    Tuna faida kubwa kuliko wakati wowote—ambayo ni mabadiliko ya teknolojia. Maandamano yatafanyika, hata wakizima mtandao au kuzuia SMS, bado tunaweza kujipanga na kutumiana ujumbe bila intaneti, bila Wi-Fi, bila SIM card. Leo nataka tujikite kwenye ujumbe wa nje ya mtandao (offline messaging)...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Ulega: Hata mkiyaona magari ya polisi yanapita msiogope, tokeni mkapige kura

    Mgombea ubunge wa Mkuranga kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdallah Ulega "Serikali imejipanga vizuri kuhakikisha kwamba watu watakwenda watapiga kura kwa salama na amani, ukishamaliza kupiga kura yako rejea nyumbani subiri mambo mengine. Hata mkiyaona magari ya polisi yanapita...
  10. JamiiForums Tanzania Hata Nyerere angekemea Hawa wahuni, Bado angetekwa, Bila kelele na kuwawahi Wangemuuua TUNDU LISSU Kwa Sumu akiwa Gerezani!!

    Hawa Wahuni kama tusingepaza sauti mapema za kustukia mpango wao dhidi ya TUNDU LISSU , Wangemuua Kwa sumu . Sasa fikiria BRAIN ya TUNDU LISSU iuwawe na Vichwa maji kama Akina Mafwele , Muliro, Samia, Makonda na genge lao !!.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kuna sehemu ukienda ofisi nzima haina hata mtu mmoja mzawa, kazi zote zinachukuliwa na wageni wa mbali, hii sio sawa, kuwepo na affirmative action

    Kwa muundo wa serikali yetu ilivyo hakuna serikali za majimbo hivyo kila kitu kipo chini ya kuu. Unaweza kwenda sehemu flani kwenye taasisi flani kubwa tu lakini humo maofisini hamna hata mzawa moja, kazi zote zimechukuliwa na wageni wa sehemu za mbali, wazawa hawana chochote. Sababu inaweza...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa sasa nimeamini utekaji unaoendelea una baraka za wakubwa. Kiranja mkuu hajawahi kufikria hata kumwambia IGP ajitazame kwa yanayotokea na kuendelea

    Kilanja mkuu anajuwa utekaji huu maana wengi wamepotea hakemei wala IGP hamwajibishi , kilanja mkuu anaona haya yako sawa kabisa! Aisee hatar sana
  13. JamiiForums Tanzania Nina uhakika 100% hata ikitokea Samia akalazimisha kuingia ikulu, hatokamilisha miaka mitano

    Kwa hali hii iliyopo,Na kwa experience ya miaka minne iliyopita, Hata endapo ikatokea mgombea huyu wa CCM akapita kimagumashi, itakuwa vigumu mno kutoboa miaka mitano, lazima kutakuwa na chaos hapa katikati. Mark this thread. TUTAKUWEPO
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hata Capt. Traole awali alipingwa sana na wahuni wanaoitafuna nchi lakini Mungu almsaidia: Hivyo Msiwashangae hawa

    Mnamo mwaka 2022 jina la kapteni Traore liliibuka huko Nchini Bukina faso baada ya utawala goigoi wa rais DAMIBA Malalamiko ya wananchi kushambuliwa yalikuwa makubwa sana jambo lililoibua taharuki kubwa sana wakati huo! Vijiji na miji mbali mbali ilishambuliwa pasipo serikali ya Damiba...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Hata ajira hawa wanazo wamezificha wanasuburi wabustiwe

    Salamu, Ya Mwendokasi mmeyaona ? October 29 Twendeni tukawaboost. Ajira Zipo.
  16. D

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kivuruge-nandy remix made by AI hata Nandy haoni ndani

    Sikiliza kionjo tu cha dakika moja kisha toa maoni.
  17. JamiiForums Tanzania Yani nchi ilikuwa hata wanaCCM wenyewe wakitekwa ndugu au rafiki zao wanaogopa kukemea na watu waalikuwa wanaona sawa tu??

    Hili nililiona kwa yule Chonchori nikashangazwa zaidi mpaka wenyewe wanaogopa hili genge alafu wanataka kutuaminisha hiyo ni amani mko sawa nyie??? Mzee haki yako pia itapiganiwa na sisi raia, kitu ambacho haikutegemea ila ndiyo maisha yalivyo hao uliohisi ni ndugu na watasimama na wewe kila...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Mchungaji Amoni: Tangu mwaka 2019 hatujawahi kuwa na uchaguzi unaoeleweka hata kidogo

    Mchungaji Amoni Mwashitete Atoa Wito wa Kijasiri kwa Viongozi wa Dini na Wastaafu Katika hotuba yake ya hivi karibuni kupitia Mwanahabari digital Mchungaji Amoni Mwashitete alitoa wito mzito kwa viongozi wa dini nchini Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kusimama kwenye misingi ya haki bila...
  19. JamiiForums Tanzania Ujumbe wa Hamas kwa Netanyahu; Mateka wametawanywa ndani ya vitongoji vya Gaza, operesheni ya uhalifu inamaanisha kuwa hautapata mateka hata mmojo

    Wanaukumbi. ⚡️BREAKING: Taarifa ya kijeshi iliyotolewa na uongozi wa Brigedi ya Martyr Izz al-Din al-Qassam: "Tunauambia uongozi wa kijeshi na kisiasa wa adui: Gaza haitakuwa sehemu rahisi kwa jeshi lako linalotetemeka. Hatuwaogope na tuko tayari kupeleka roho za askari wako kuzimu...
  20. JamiiForums Tanzania Kikubwa upate pesa ya halali hata kama inabidi kujitoa akili

    Baba kaenda kazini, alisema akirudi atarudi na zawadi yangu. Kikubwa ni kazi hata kama inakubidi kujitoa akili. Neno moja kwa Mpambanaji
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…