hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania So, hata baada ya zile drama zote, ambao hawakuchoma sindano za COVID19 bado hawajafa hadi leo!! Inahuzunisha!.

    Nakumbuka kulikuwa na kelele nyingi sana hata hapa nchini kwetu zikitia watu hofu ili wachomwe chanjo ya korona. Nguvu nyingi sana ilitumika kupitia matangazo ya medias, serikali hadi wanaharakati uchwara. Mfano hata media kubwa duniani kama CNN na The New York Times yalitumia propaganda sana...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Haiwezi kutokea hata kidogo urusi ,china , na korea kuingiza raia wao katika vita vya nuclia kisa iran

    Kuna watu wana comment kwa post hii kuwa usa akimpiga iran kwa nuclia sijui urusi, china , korea zitajibu Thubutu hakiwezi kutokea icho zaidi sana ni malalamiko urusi ,china na korea watalaumu usa sio kumshambulia maana katika hawa hakuna ambaye atakuwa tayari kupoteza raia wao pia kwasababu...
  3. JamiiForums Tanzania Hii level siyo ya Kila Mtu, Hata nikielezea hutaielewa

    Hii Level Sio Ya Kila Mtu, Hata Niki-Explain Hutaielewa 😮‍💨💼 Wakuu, kuna maisha unayaishi hadi unajishangaa kama ulikuwa unaishi au ulikuwa unavumilia tu kabla 🤷🏽‍♂️ Juzi nilikuwa napitia account zangu, nikajiuliza hii ni balance au ni namba ya simu ya mtu 😂💰 Sio hata flex, ni reality tu...
  4. G

    JamiiForums Tanzania Binafsi niwapongeze Pro Iran wanafanya kazi ngumu sana kutetea Iran ambayo hata intelligence inashindwa kulinda mkuu wa Intelligence

    Kiukweli Iran imewangusha sana wafuasi wake kote duniani Kwa aibu kubwa aliyoipata ya kushindwa kulinda viongozi wao Wanazidiwa hadi na mchwa wanaolinda Malkia wao Kwa gharama kubwa Pili intelligence Yao imeonyesha udhaifu mkubwa Hongereni sana team Iran mmeamua kufa na tai shingoni msife...
  5. JamiiForums Tanzania Ukichunguza deeply, unakuja kugundua hata wasioamini katika Mungu wana roho nzuri kuliko hawa fanatics wanaojitapa kumjua Mungu vizuri

    Ninaamini katika Mungu wa chanzo na balance ya uwepo huu duniani na beyond ila siamini katika idea ya Mungu iliotangazwa karne na karne maana imekuwa twisted na mis-interpreted Idea ya Mungu inayoeleweka sawa sawa na wanadamu inatembea sambamba na mambo ya kufikirika, yasioeleweka na yasio na...
  6. JamiiForums Tanzania Mitandao isikudanganye, watu bado wanaoana na wapenzi waliopigika, wafupi, single mama na hata wenye tabia za hovyo

    Mtandaoni kila mtu anadai hawezi date single mama, mwanaume mfupi, asiye na hela, au mchafu. Ila gizani nje ya mtandao single mama wengi wanaolewa kuliko hata wasio na watoto. Wanaume wafupi wenye sura personal wanang'oa pisi kali kuliko masharobaro. Kuna wale wanasema "I cannot date a broke...
  7. JamiiForums Tanzania Ashukuriwe hata kwa hiki kidogo

    Amen! Hilo ni neno la hekima na shukrani ya kweli. Kuna baraka kubwa sana katika kuridhika na kutoa shukrani kwa kile ulichonacho mkononi, hata kama kinaonekana ni kidogo kwa macho ya kibinadamu.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtu alikua anauwezo wa kumnyanyua Ng'ombe, Ni rahisi nitawafundisha. hata wewe unaweza ukiamua

    alichofanya ni hivi: alianza kumnyanyua ndama akiwa bado mdogo kabisa alivozaliwa, akawa anamnyanyua huyo ndama kilasiku. siku zilivyokua zinaenda ndama anazidi kukua. nayeye uwezo wake wa misuli unazidi kukua, alikua anamnyanyua kilasiku bula kukosa. baada ya muda ndama alikua na kufikia kua...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaoponda watumishi wanaochukua mikopo wengi wao unakuta hawana hata hiyo kazi, mtu asiyeogopa mikopo ni risk taker kutoboa ni suala la muda tu

    Watu wanaoponda watumishi kuchukua hela benki na kwenda kujenga lipagara na kununua kigari chake cha kumzungusha wengi wao hawana hata hizo kazi na Hawajui kuwa mishahara ni midogo hata usipokatwa marejesho bado hela yake haitoshi tu. Unaweza ukaajiriwa na take home ya laki 6 wewe ukakopa let's...
  10. JamiiForums Tanzania Nimetoa ngoma mpya. Naomba sapoti yenu

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏... Support...
  11. JamiiForums Tanzania Support, support support

    I have released my newest song for the first time. Hata kwenye game bado sijaingia. Nawaombeni support yenu wadau, judge if I can or not, au nikalime tu ndizi🥹🥹 I hope you will not let this past over🙏🙏🙏 Release on my YouTube channel, please subscribe, share, comment and like. 🙏...
  12. JamiiForums Tanzania Kauli mbiu ya Rais gani iliwahi kufanikiwa hata kidogo tu?

    1. Ukweli na Uwazi-Mkapa 2. Maisha Bora kwa kila Mtanzania-JK 3. Tanzania ya Viwanda-Magufuli 4. Kazi na Utu-Samia
  13. JamiiForums Tanzania Msemaji wa IRGC: Uzalishaji wa makombora unaendelea hata wakati wa vita

    Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran amesema: "Hakuna wasiwasi katika uwanja wa makombora kwa sababu tunazalisha makombora hata wakati wa vita, jambo ambalo linashangaza, na hakuna tatizo maalumu katika suala la hifadhi ya makombora yetu." Brigedia Jenerali Ali...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa nini Kifo Cha Ali Ralijani Kimetikisa Mitandao Kuliko hata Cha Ayatollah Ali Khomenei?

    Swali. Ilikuaje Kiongozi Aliyejinadibisha kuipinga America/Israel harafu mtoto wake akawa anaishi na kufanya kazi USA?https://www.instagram.com/p/DWAlA28Ct05/?igsh=ejFsZW1zeGR0NW82
  15. JamiiForums Tanzania Hivi mashabiki na wapenzi wa Donald Trump wako sawa kichwani?

    Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu. Anaongopa hata bila kuona aibu wala kupepesa macho na bado kuna watu wanamuamini. Napata shida sana kumuelewa na...
  16. JamiiForums Tanzania Je! Ni vitu gani ukiambiwa ufanye unaweza kufanya wakati wowote hata ukikurupushwa usingizini saa 7 usiku?

    Swali limenyooka hio wakuu, yaan halijapinda kabisa. Sasa nakuuliza wewe hapo ni kitu gani unaweza kufanya hata ukiwa usingizini yaan umelala ila ukaambiwa ufanye na ukafanya saa 7 usiku bila shida na ukakifanya kwa kukinyoosha kabisa. Mimi nina vitu km vitatu ila kwa leo nitataja vitu viwili...
  17. JamiiForums Tanzania Plot inauzwa kwa dharula: Kama uko na hela hata nusu Njoo inbox!

    Sqm400; Kiluvya, 3km from mainroad, msingi ni vyumba viwili+sebule+jiko. Hati ipo. Mil 7, pesa nusu inapokelewa.
  18. JamiiForums Tanzania Kuna mambo yanayoendelea duniani yanaweza kuwaathiri watu hata kama hayafanyiki kwenye nchi yao moja kwa moja.

    Sijiui wenzangu ila mimi na kuwa muhanga sana. Kipindi cha ugaidi kimetufanya wasafiri kunyimwa viza sana. Ilipokuja kuanguka kwa uchumi wa dunia sehemu niliyokuwa nafanya kazi ofisi walifunga. Ilipokuja ugonjwa wa COVID-19,biashara nyingi zilishindikana kutokana na mipaka. Ilipoingia vita...
  19. JamiiForums Tanzania Azam/UTV jaribuni kubadilisha wachambuzi wa habari za kimataifa angalau mara moja moja

    Inashangaza sana Azam/UTV ambacho inawezekana kikawa ni kituo kikubwa cha kitanzania kwa habari za kimataifa za Kiswahili nchini kumtumia mchambuzi mmoja tu wakati wote kijana aitwaye Rahby ambaye ni mnazi mkubwa wa Iran na Ayatollah na ni anti-west wa kutupwa. Tunaelewa kuchambua siasa za...
  20. JamiiForums Tanzania Hata Bokoharamu walianza kwa mzaa mzaa kama TFF. Uonevu huleta chuki katika jamii

    Hawa wanaojiita Tff unaweza kuwadharau. Kumbe uonevu umezalisha chuki
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…