hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Nigeria wazuia tozo za simu, Vodacom Tanzania wapata hasara ya bilioni 103 sababu ya tozo, bado mabenki kilio chao very soon

    Naam waziri wa mawasiliano na uchumi wa kidigital Isa pantami ilibidi aunde kamati ku review proposal ya kuongeza asilimia 5 ya Tozo hiyo ni mbali na VAT 7.5 wanayopigwa makampuni hayo ya simu ikaonekana ni OVER over taxation, waziri kaamua kuachana nayo. Hapo ni baada ya kuona kilio kikubwa...
  2. JamiiForums Tanzania ATCL imepata hasara ya Tsh. Bilioni 27 mwaka 2021/2022

    Taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma, Jerry Silaa imeonesha kuwa hasara ya shirika Shirika la Ndege Nchini (ATCL) imepungua kutoka Tsh. Bilioni 36 mwaka 2020/21. Aidha ameishauri Serikali kuharakisha mchakato wa utekelezaji wa kuhamisha umiliki wa...
  3. JamiiForums Tanzania Benki za Russia zaanza kupata hasara

    Mnaodai vikwazo havina madhara kwa Russian mnajidanganya ,ni vile media za Russia zimefungiwa ila hali ni tete ,hakuna anayetaka kuwekeza Russia ,alafu limeongezwa rungu lingine mataifa zaid ya 22 ya ulaya yamefuta VISA kwa raia wa Russian yaan mtanywea kombe lenu la vikwazo humohumo...
  4. JamiiForums Tanzania Wanaume tuna siri sana ila siri hii, hapana

    Tukiendelea kungoja makarani wafike Wakuu kuna suala nalitafakari nakosa jibu nisaidieni! Iko hivi wengi wetu tunachangamoto za ndoa hasa kutokumwamini mwenza kwa matokeo ya mbeleni kwa ndoa kuvunjika kwa dalili unazoziona. Wanaume nafikiri tunaweka usiri ambao mwishowe ni hasara za mali...
  5. JamiiForums Tanzania Vunja Bei adai kupata hasara ya zaidi ya Tsh Milioni 300 Jezi za Simba

    WAKATI wanachama na mashabiki wa Simba wakianza kusahau machungu ya pilikapilika za kugombea jezi mpya za klabu hiyo, mwenye dili na uzi za Simba, Fred Ngajiro ‘Vunjabei, amevunja ukimya na kufichua hasara ya kupoteza Dola 150,000 (zaidi ya Sh349 milioni). Vunjabei alisema hasara hiyo imetokana...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Vunjabei apata hasara ya 350M kutokana na jezi za Simba

    Mzabuni wa jezi za klabu ya Simba Fred Ngajiro 'Vunjabei, amevunja ukimya na kufichua kuwa amepata hasara ya Dola 150,000 (zaidi ya Sh349 milioni). Hasara hiyo imetokana na kubadilisha mfumo wa jezi za awali kufuatia kubadilishwa kwa mdhamini kutoka SportPesa na kuwa M-Bet. https://t.co/BZyTXc5Ux3
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Pelosi katika sehemu ya Taiwan yaleta hasara kwa pande zote

    Spika wa Baraza la Wawakilishi la Bunge la Marekani Nancy Pelosi hivi karibuni alifanya ziara Taiwan, China, na kuongeza hali ya wasiwasi ya kikanda na ya kimataifa. Kitendo hiki cha kisiasa kinacholeta hasara kwa pande zote kimeonyesha kuwa, mfumo wa kisiasa wa Marekani ni kama mgonjwa. Kwanza...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Hasara ya kujiajiri ilinifanya nisiamini vyombo vya dola tena

    Kujiajiri si jambo rahisi kama wengi wanavyodhani.Wanasiasa na viongozi wanasisitiza kujiajiri wakisahau wajibu wao wa kuweka mazingira wezeshi ya kujiajiri.Japo wakati mwingine tunawajibika kujiajiri kwa sababu ya ukosefu wa ajira uliopo.Andiko hili linalenga kuainisha uzoefu wangu binafsi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha tuliyoishi na Telephone Operators

    Ninakumbuka zile enzi za kusubiri line, line ikipatikana unakuta namba iko engaged. Sisi tuliokulia vijijini simu ilikua inaunganishwa na operator Wilayani. Zile familia maarufu hata habari walipata kutoka kwa operator. Ilikua ni rahisi kumpata operator na kumpa taarifa za kifo, uzazi au...
  10. JamiiForums Tanzania Mbowe anajadiliana na serikali namna anaweza kufidiwa hasara zake na serikali alizozosababishiwa na Anko. Ya kitaifa yanaitaji kusukumwa mwingine tu.

    Baada ya hasara ya kuporwa jengo kibabe ukumbi wa mziki, kuharibiwa mashamba, kufungiwa account zake. Kufunguliwa mashitaka na kubaki hoi. Mambo ya haki za watu kama maswala ya Arthi, Migogoro ya wafugaji, ukosefu wa Ajira, Wabunge vitimaalumu, haki za watumishi, Sera za kiuchumi, mfumuko wa...
  11. JamiiForums Tanzania SoC02 Mtazamo usio na tija, maumivu yake ni majuto

    Nilikua nasoma kitabu, nikakuta sehemu muandishi anasema, mwanajeshi anaenda vitani sio kwa ajili ya kuua adui bali kwaajili ya kufia nchi yake. Likanijia wazo la ni kwanini mwanajeshi anaapa kufia nchi yake na sio kuishi kwaajili ya nchi yake (to survive for his/her country). Na je akifa vitani...
  12. JamiiForums Tanzania Urusi hana hamu na HIMARS, ghala la silaha lafyekwa na kupelekea hasara kubwa

    Urusi wanasaka hizi silaha za HIMAS usiku na mchana maana zinawatesa zaidi ya balaa, na bado Marekani wanaendelea kuziongeza, ni aina ya silaha yenye uwezo wa maangamizi makubwa na ikipiga wanaiondosha ilipofyatulia, hivyo hata ukijibu unaambulia kupiga mapori bila chochote cha maana humo...
  13. JamiiForums Tanzania Anguko la Euro; Je, ni fursa au hasara kwa nchi za kiafrika?

    Habari wakuu nawasalimu, Siku za hivi karibuni kumeshuhudiwa pesa ya ulaya ikipoteza thamani na kuwa sawa na dola ya kimarekani. Huku Urusi wakiendelea kupokea malipo yote kwa pesa yao, na India wakitaka kuanza kufanya miamala yote kwa pesa yao(rupee). Je, hili linatafsiri gani kwa nchi za...
  14. F

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Napata hasara kila siku

    Wakuu kwema, naombeni ushauri. Mimi nimeajiriwa na kaka yangu kwenye biashara yake hapa ila kitu kinanisumbua akili yangu ni hiki nafanya mauzo ila kwenye mahesabu hela haifiki tena hela kubwa mno halafu situmii hata senti 5, nimekuwa nalipa hii hasara kila siku siendelei. Wakuu nifanyaje au...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi amjulisha Rais Putin kuhusu hasara za hivi punde za Ukraine

    Katika muda wa wiki mbili tu, Ukraine imepoteza karibu wanajeshi 5,500, wakiwemo zaidi ya 2,000 waliouawa, Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu alisema Jumatatu alipokuwa akitoa taarifa kuhusu mzozo kati ya Ukraine kwa Rais Vladimir Putin. Waziri alitoa ripoti yake ya pili kwa kiongozi wa...
  16. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Wakulima wapata hasara mazao yakauka mashambani

    Katika hali isiyo ya kawaida wakulima mkoani Kilimanjaro wamepata hasara ya mazao yao baada ya Kukosekana kwa mvua za kutosha mwaka huu. Wakulima hao wamesema wameingia hasara kutokana na gharama kubwa walizotumia katika manunuzi ya mbegu, mbolea nk. pamoja na utayarishaji wa mashamba yao...
  17. JamiiForums Tanzania Ngono (kuzini), faida na hasara zake

    Nitajitahidi nieleze hili kwa kifupi nisiwachoshe, naomba wakosoaji mje na ushahidi usije kukosoa hapa kwa vijimaneno ulivyobebeshwa na katekista au shehe wako huko bila kusoma mwenyewe. Nianze kwa andiko la Bwana wetu Yesu kristo alipoulizwa kuhusu kuzini. Mathayo 5:27-28 [27]Mmesikia kwamba...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ni lini majasusi wa Tanzania wataanza kuzuia (prevent) uhalifu badala ya Sasa ambapo wanafichua maovu baada ya serikali/wananchi kupata hasara?

    Naamini Kila Mkoa, Wilaya, na maeneo mbalimbali miradi ya serikali inapotekelezwa Wapo majasusi wanalipwa Kwa Kodi za wananchi kumulika miradi ya serikali itekelezwe Kwa mujibu wa sheria. Kinachofanywa na majasusi WETU naamini kilishakosa nguvu duniani na Sasa Dunia ipo Kwenye ujassusi unaozuia...
  19. JamiiForums Tanzania Hasara kubwa mbegu za alizeti (ASA)

    Habari wana jamvi, Naomba kujua waliolima alizeti kwa kutumia mbegu za Serikali za ASA mafuta zimetoa kiasi gani maana, hasara tuliyopata sye huku tuliolima Songea sio mchezo. Gunia la kilo 45 mafuta yametoka lita 7 tu, hivi hawa watafiti wa hizi mbegu mlisomea chini ya zizi la nguruwe au?
  20. JamiiForums Tanzania Rais Biden atoa angalizo Virusi vya Monkeypox, asema vikisambaa itakuwa ni hasara kubwa

    Rais wa Marekani, Joe Biden amesema Dunia inapaswa kuwa na uangalifu kuhusu maambukizi ya Virusi vya Monkeypox ambayo yanazidi kusambaa na unaweza kusababisha athari mbaya ikiwa utaendelea kusambaa. Amesema Wanasayansi walioo Marekani wanaendelea kupambana kutafuta dawa na ikiwezekana kuwe na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…