hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. NHIF na hasara ya zaidi ya Bilioni 204 ndani ya mwaka mmoja tu

    Kwa mujibu wa CAG, shirika la bima ya afya ya Taifa limepata hasara ya zaidi ya 204B, kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kufanya malipo hewa, na marudio ya malipo kwa huduma ile ile kwa mtu yuleyule na kwa wakati ule ule. Kwa mimi mdau wa afya NHIF wamekosa mfumo maalumu wa kuhakiki taarifa...
  2. Hasara za Teknolojia ya kisasa

    Teknolojia ya kisasa pia ina hasi zake. Kwa hivyo, maendeleo hayo pia yameunda hali ambazo sio faida sana kwa wanadamu, tunaona.
  3. Kuamini Google na ufinyu wa maarifa: Teknolojia ina faida chache ila hasara kibao

    Sasa hivi watu vichwa vyao vimekuwa vyepesi kama mchuzi wa yai, uvivu umetawala mtu akiulizwa swali anakimbilia Google ili apate jibu haraka na aje kujibu mtu. Huyo aliyeandika Google ni nani? Katika uandishi kuna typing error uwaga zinatokea ila unakuta mtu anasema kasome Google tunawasomi...
  4. Wanalalamika biashara ya usafirishaji ni hasara ila kila siku wanazidi kuleta magari

    Bila salamu, Haya makampuni ya usafirishaji kila siku barabarani wanaleta chuma mpya, mfano unakuta mtu alianza na fuso moja anatoa ndizi Moshi anashusha Dar baada ya miezi sita analeta chuma nyingine. Mtu alikuwa anagari mbili route ya Iringa to Dar baada ya mwaka ana gari sita. Bado sisi...
  5. Maswahiba wa Fr. Kitima SAUT waiisababishia SAUT hasara

    Wakati akiwa makamu mkuu wa chuo SAUT Fr. Kitima aliwalela na kuwaingiza kwenye ajira vijana aliowaamini ambao walikuja kutengeneza mchongo wa kuiba ada huku wakitoa risiti bandia za chuo. Mchongo huu ndio chanzo cha kesi iliyoamuliwa na mahakama ya rufaa na kuitalka SAUT ilipe fidia ya 30M...
  6. O

    Kukokotoa faida na hasara kwenye biashara ya jumla na reja reja na namna nzuri ya kuuza

    Natambua mpaka mzigo uishe ndo tunaweza pata hesabu za faida na hasara vinginevyo itakuwa tuna assume tu. Ila kama inawezekana unaweza nipatia formula ili nione inavyokuwa. Kuna hizi bidhaa hapa Bidhaa zinazokuwa kwenye package moja ila zinauzwa moja moja labda ndani ya package ziko mia na...
  7. Mashirika 14 yameitia hasara Serikali kiasi cha Tsh. Bilioni 183.6

    Mashirika 14 ya umma ya kibiashara yamepata hasara katika uendeshaji. Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha. Akizungumza wakati wa uwasilishaji wa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, CAG Charles Kichere amesema utafiti huo ni katika...
  8. Ripoti ya CAG 2021-2022: Mfuko wa Bima ya Afya Umepata Hasara ya Shilingi Bilioni 189

    Mfuko huu ukiacha hasara wanayoingiza Serikalini pia wametajwa na TAKUKURU kwenye ubadhirifu. Aidha Huu mfuko.unaongozwa na yule anayejiita Kamisama WA sensa na Spika Mstaafu Anna Makinda. Mh.Rais watu Hawa walioshindwa kazi Fukuza mda wa kuleana Kwa kuwakomoa Watanzania umekwisha.
  9. Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta akadiria hasara ya Tsh bilioni 1.2

    Familia ya Kenyatta inakadiria hasara ya bilioni 1.2 pesa za Tanzania (sawa na milioni 70 za Kenya) kufuatia uvamizi wa shamba lake na watu wasiojulikana hapo Jana. Wavamizi waliiba kondoo zaidi ya 1,400 aina ya Dorper mchana peupe, ambapo kondoo mmoja aina ya Dorper huuzwa kwa takriban tsh...
  10. Kwanini Mo Dewji anavumilia hasara Simba?

    Kila Simba inapoingia robo finali mashindo ya CAF Tajiri Mohamed Dewj anajitokeza hazarani kudai anapata hasara kwelikweli kwa kuidhamini Simba, Ni kwanini hasara anazopata zinatangazwa kwenye sasa na kwanini avumilie hasara zinazomkera? Je, unapogharamia kitu unachokipenda sana hiyo inaitwa...
  11. Eng. Hersi 2021: Yanga inajiendesha kwa Hasara

    Mkurugenzi wa Uwekezaji wa Kampuni ya GSM Eng. Hersi Said amewashukia baadhi ya wadau wa soka nchini Tanzania walioibua hoja inayogusa udhamini wa kampuni hiyo kwenye klabu za Ligi Kuu Tanzania Bara. Hoja hiyo imeibuka kufuatia Kampuni ya GSM kuwa mdhamini ya Young Africans, Namungo FC na...
  12. Hasara nyingine kwa Adidas, Mkataba wake na Beyoncé wavunjwa

    Mkataba huo unavunjika ikisalia miezi 9 ya kumalizika kwake na sababu zikitajwa kuwa ni kutofautiana kwa masuala ya Ubunifu kati yao pamoja na kushuka kwa mauzo ya Bidhaa za 'Ivy Park' kutoka kwa #Beyoncé. Jarida la Wall Street limeripoti kuwa mauzo ya #IvyPark yalishuka kwa zaidi ya 50% hadi...
  13. Mo Dewji: Simba inanipa hasara, ningenunua hata Ndege

    MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE. “Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia" “Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana...
  14. Uliuza nini kwa bei ya hasara ili utatue shida iliyo mbele yako?

    Katika harakati za utafutaji nakumbuka niliamua kutoka Singida kwenda Mbeya na baiskeli, nilikuwa sina hata mia mfukoni. Nilipofika Itigi baskeli ikapata pancha, jumlisha njaa nikauza simu yangu niliyo inunua 70,000 kwa 10,000, power bank niliyoinunua kwa 20,000 nikauza 7,000, nikapata pesa ya...
  15. T

    CAG, utaainisha hasara inayotokana na siku ya leo 17 Machi kwa Serikali na Taasisi zake!

    Ilitakiwa angalau masaa kadhaa kuwa muda maalumu ya kukumbuka kifo cha JPM Wafanya kazi Karibu sector zote wapo mapumzikoni na ingawa wapo maofsini! Wamefanya mgomo wa chini chini! Binafsi kiwanda changu nimepiga marufuku wafanya kazi kuingia kazini! Mimi nikaenda kazini kwa unyonge...
  16. Wafanyabiashara Kariakoo wanapata hasara kwa kutokujua kiwango cha kubadilishia pesa cha dola kwenda Yuan au shilingi kwenda Yuan

    Mfanyabiashara unaweza kupata taarifa ya viwango vya kubadili fedha kupitia simu yako, una-google, kutembelea mabenki n.k lakini cha muhimu zingatia utofauti wa kiwango cha kubadilishia fedha hiyo, Wafanyabiashara wengi mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka anakuwa haelewi kwa sababu hajui...
  17. O

    Unajiamini kupita kiasi mpaka unatia hasara na hasira kwa wenzio

    Kuna watu wa ajabu sio siri ni wasumbufu. Jamaa flani huwa na tabia ya ajabu yaani yeye akienda garage na gari yake, anauliza kutatua tatizo fulani ni shingapi anaambiwa basi anasema okay fanyeni marekebisho alafu jamaa anakaa pembeni anaagiza bia na ile pesa ya ufundi kinachobaki ndo anawapa...
  18. Kanye West kuipa hasara Adidas, hatarini kupoteza Pauni milioni 450

    Kampuni ya Adidas ipo hatarini kuzidiwa na wapinzani wao, Puma katika kutawala soko la biashara ya mchezo wa soka kutokana na kuelekea kupata hasara ya Pauni Milioni 450. Adidas inatarajiwa kupata hasara hiyo kubwa kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 30 kutokana na kutouza mzigo wa bidhaa...
  19. M

    Hasara ipi ningepata nisingekuwa Mtanzania?

    Nimekuwa najiuliza ni hasara ipi ningeweza kupata nisingekuwa Mtanzania au ni faida gani special ambazo napata kuwa Mtanzania. Nikitazama maisha ya nchi nilizowahi kupita naona zina fursa zaidi ya Tanzania kwa utafutaji mfano Malawi, Zambia, Botswana, South Africa, huku biashara zinalipa kuliko...
  20. Mjadala: Zipi Faida au Hasara za kuzaa watoto wengi?

    Faida ni ipi na hasara ni ipi? Karibu kwa mjadala kwa ajili ya kuwasaidia vijana wanaotegemea kujenga familia.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…