hasara

Karen Hasara is a Republican member of the University of Illinois Board of Trustees and a past member of the Illinois General Assembly (1986-1995) as well as the Mayor of Springfield, Illinois for two terms from 1995-2003.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini kujiondoa CCM na kujiunga upinzani ni hasara na mwanzo kujimaliza mwenyewe kisiasa?

    Ni sababu zipi hasa, hufanya mwanasiasa anaetoka upinzani na kujiunga CCM kufaidika, kushamiri na kuneemeka kisiasa, kijamii na kiuchumi, tofauti na mwanasiasa anaetoka CCM na kujiunga upinzani ambao daima hudumaa zaidi kisiasa, kijamii na kiuchumi? Unadhani kuna muujiza gani wa hali hizo za...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Hasara ambazo taifa linaingia kwa kesi ya lisu!!. Mamilioni yanateketea kwa jambo ambalo halina uhalisia.

    Hii kesi ya ndugu lisu ni kesi inayopoteza fedha za walipa Kodi zilizopaswa kuelekezwa kwenye maendeleo. Nikiwa naandika hapa kuna watoto hawana madawati kuna hospital hazina dawa, kuna maeneo hayana maji kama hapa goba ninapoishi tangu October hatuna maji, kuna maeneo umeme haupo haya ni kutaja...
  3. JamiiForums Tanzania Azam fc kubaki na Fei Toto ni hasara kwao kuliko faida

    Ujio wa Fei Toto kwenye timu ya Azam kutoka timu ya Yanga hakujaiongezea thamani timu ya Azam. Kiwango cha Azam kwenye ligi kimebaki kilekile kabla na baada ya kuja Fei Toto. Aliyefaidika ni Fei kuliko timu. Azam fc inashika nafasi ileile ya tatu nyuma ya Yanga na Simba hata baada ya Fei...
  4. JamiiForums Tanzania Hasara za Kufanya Kazi Vijijini Huku Ukiishi Mjini

    Kufanya kazi katika maeneo ya vijijini huku makazi yako yakiwa mjini kunaleta changamoto nyingi za kifedha na kijamii. Baadhi ya changamoto hizo ni: 1. Gharama kubwa za kununua usafiri Watumishi wengi wanaofanya kazi katika maeneo ya pembezoni hulazimika kumiliki usafiri binafsi, hasa pikipiki...
  5. JamiiForums Tanzania Itamfaidia mtu nini kuupata ulimwengu wote, akipata hasara ya nafsi yake?

    [Luk4:1]Na Yesu, hali amejaa Roho Mtakatifu, alirudi kutoka Yordani, akaongozwa na Roho muda wa siku arobaini nyikani [Mat4:8]Kisha Ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake [Luk4:6]Ibilisi akamwambia, Nitakupa wewe enzi hii yote, na fahari...
  6. JamiiForums Tanzania Uongozi: Klabu ya Azam kwetu ni hasara sana. Haina faida yoyote ndo maana ni bora tujitoe tu

    "Pesa nyingi tunawekeza Azam. Nyingi sana lakini hamna la maana. Mashabiki wa Azam ni mashabiki wa Simba na Yanga. Huwa wanakuja kwetu kwa Mkopo na pia wanajua wanalipwa hawana moyo wa upendo kwa Azam. Kiukweli hakuna faida kwa hii team. Tumefanya uwekezaji mkubwa sana kwa team lakini ndo...
  7. JamiiForums Tanzania Acha kuuza mchanganyiko unapoteza muda, akili na Pesa zako, shtuka

    Wazeee twende speed muda wa salamu hamna tutasalimiana kwenye comment.. Asee Biashara ni nzuri sana kama ukiwa umetuliza akili ukajua unaingia kufanya biashara gani na biashara ya nini... Kuna mambo mawili naomba nirudie 1.Kufanya Biashara 2.Kujua naenda Kufanya biashara ya Kuuza nini Watu...
  8. JamiiForums Tanzania Hasira hasara

    Hasira. Kuna maana nyingi ya neno hasira na mojawapo ni Ile inayoeleza kuwa ni hali ya moyo wa mtu ulioumia au kujeruhiwa,hivyo huweza kusababisha hasira. Inakuja pale mtu anapohisi amedhalilishwa, amedanganywa, amenyang’anywa haki, au mtu kavunja ahadi yake. Ni kitu fulani kinacholeta...
  9. JamiiForums Tanzania SIMU ZA MKOPO MAKAMPUNI MMEZUIA VITU VINGI MNO MTAKULA HASARA

    Simu za mkopo zimezuiwa features nyingi mno za muhimu ambapo kibongo bongo ni ngumu mtu kutumia simu bila kuzigusa. Njia kuu wanayotumia wakiona mtu analazimisha kufikia features hizo ni kuzuia kabisa simu yenyewe isitumike Kinachotokea ni kwamba mtu anatumia simu siku chache akiivuruga inakuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Je, ulishawahi kupata hasara kwenye kilimo hadi ukahisi kuzimia?

    Mwaka Jana baada ya kutoka chuo niliona ni Bora nijiajiri kwenye kilimo . Nilipanda viazi mviringo mwezi wa saba na nikavuna mwezi wa 12 hapa nilipata faida asilimia 120%. Mara ya pili nilipanda viazi vya msimu mwezi wa 11 mwaka Jana na nimevuna mwaka huu mwezi wa tatu . Hapa nilipata hasara...
  11. JamiiForums Tanzania Kama Taifa tuna hasara kubwa sana kama wanasiasa hawatajifunza baada ya kuwaharibia vijana wa Serengeti boys

    Guys Huyu dada na akili mara mia ya Makonda. kiufupi Makonda ni empty head kabisa sijui huwa anatumia ubongo upi kutekeleza mambo yake. Mara nyingi amekuwa ni mtu wa papara na mipango mibovu mibovu kwa kweli kama Taifa tuna hasara kubwa sana. Acha tu Nchimbi aitwe YUDA maana namba moja...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Overdrive ON vs OFF: Ipi ni bora katika mazingira ya mjini ya kuendesha kwa speed ndogo na Kusimama simama.

    Katika mazingira ya mjini ambapo mara nyingi tunaendesha kwa mwendo mdogo chini ya 45 km/h na kusimama-simama kutokana na matuta, mashimo, wapita njia, foleni, bodaboda, bajaji, makutano ya barabara, n.k. je ni bora kuacha Overdrive ikiwa ON au kuizima (OFF)? Overdrive (O/D) ni gia ya juu...
  13. JamiiForums Tanzania Uharibifu Miundombinu Wasababisha Hasara Kuu Kiuchumi

    Uchumi wa maeneo mengi ulidorora pakubwa. Biashara zilifungwa, mapato yalipungua na ajira nyingi zilipotea. Tume ilibaini kuwa uharibifu wa miundombinu ulisababisha hasara kubwa ya kiuchumi kwa taifa kwa ujumla. #AmaniNaUwajibikaji #TumeYaUchunguziReport Sauti Ya Wananchi
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eastleigh Inalia! Barabara ya Second Avenue Yaleta Hasara kwa Wafanyabiashara na Wasafiri

    Hii mambo ya infrastructure jamani imezidi sasa . Wakazi wa Eastleigh especially along Second Avenue extension wanapitia tough times sana. Barabara imeharibika vibaya mashimo, matope, na flood kila mahali, especially saa hizi za mvua Watu wa transport kama bodaboda na mkokoteni wanasema kazi...
  15. JamiiForums Tanzania Unapojenga kazi kubwa nunua mchanga kwa gari kubwa sio canter kuepuka hasara

    Nitaeleza leo umuhimu wa kununua mchanga kwa gari kubwa kama unaproject kubwa ya ujenzi UMUHIMU WA KUNUNUA MCHANGA KWA GARI KUBWA UKIWA NA PROJECT KUBWA 1. Unaokoa pesa nyingi FAW/Mende trip 1 = TZS 350,000 inaleta 18 cubic metre Canter kuleta 18 cubic metre = trip 6 × 60,000 = TZS 360,000...
  16. JamiiForums Tanzania Hasara za Taifa

    Wabunge wa (covid 19) walisababisha hasara ya shilingi bilioni 16+🙄 Hawa covid 19 walifukuzwa uanachama na chadema , CCM kwa masilahi yao wakalazimisha wakae bungeni kwa miaka mitano kinyume na katiba ya Tanzania na hivyo kusababisha hasara ya bilioni 16+🤔
  17. L

    JamiiForums Tanzania Vita vilivyosababishwa na Marekani vimeipa hasara Afrika

    Wakati makombora ya jeshi la Marekani yalipochana anga la Iran mwishoni mwa Februari, watu wa Afrika labda walikuwa hawaujui kwa undani zaidi mlango bahari wa Hormuz. Hata hivyo, wamejua haraka madhara ya vita hii – kupitia kupanda kwa bei ya mafuta, upungufu wa mbolea, na vyakula vinavyozidi...
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Iran viongozi wameuliwa, miundombinu imelipuliwa na kupata hasara ya 700Trilion, ila hawajasusia maridhiano na US. CHADEMA tusigomee maridhiano

    Mimi ni Chadema pure kabisa, katika watu top 5 waliohamasisha MO29, hapa jamii forum na Mimi nimo. Nimekaa nkatafakari je tutasongaje bila kukaa meza moja?? je tukisusia maridhiano ajenda zetu tutazipataje? Mbona Raila aliridhiana na Kibaki Akaridhiana na Kenyatta,the same to Ruto. Je Raila...
  19. JamiiForums Tanzania Kama kila kitu kina faida na hasara zake. Je, kuna faida gani za kuwa masikini?

    Kama kila kitu kina faida na hasara zake je, kuna faida gani za kuwa maskini?
  20. JamiiForums Tanzania SI KWELI John Heche nikiteuliwa kuwa CAG nitashauri sekta zenye hasara kufanya kazi bila usimamizi

    Kumekuwepo na machapisho kadhaa yanayosambazwa kwenye kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii hususani facebook kufuatia kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, alipozungumza na vyombo vya habari. Mojawapo ya machapisho hayo linadai kuwa amesema:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…