harusi

  1. JamiiForums Tanzania Kwanini tuangaishane na michango ya harusi na tujitaabishe kwa kukusanya pesa za michango. Mbona shughuli ndogo kwa pesa yako mfukoni inawezekana

    Africans, we are poor, lakini we are acting rich. Kwamba unaogopa kusemwa? Unaogopa kuitwa masikini? Unaogopa lawama za kutoarika watu? Unaogopa kutoendana na mila tulizozizoea? Au ndio njia mbadala ya kupatia pesa za michango kujiboost maisha kidogo? Muda mwingine hadi tunageuka kero pale...
  2. JamiiForums Tanzania Mchango wa harusi sio deni. Usipange bajeti zako kwenye mifuko ya wenzako

    Habari waungwana wa humu. Bila shaka hakuna aliye mgeni wa kadhia hii kwenye maisha yetu ya kila siku kwenye jamii zetu.. Kama kawaida ya watu duni umoja wetu ndio nguvu yetu ya kufanikisha yale yanayoonekana yako nje ya kimo chetu kiuchumi. Mshikamano ni jambo la msingi sana lakini inakuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Achana na kamati za harusi kodisha Events management company

    Punguza stress na kutafutana maneno na ndugu. Ukitaka kuoa kodisha kampuni ya event management wakuandalie sherehe
  4. JamiiForums Tanzania Magari ya kukodi

    Uko tayari kuanza safari? Kodi gari kwetu kwa safari isiyo na usumbufu, iwe ni safari fupi au ya mbali! Weka nafasi sasa na uendeshe kuelekea uhuru wako +255 655 633 302
  5. JamiiForums Tanzania Cameroon: Bibi harusi anguka ghafla na kuaga Dunia wakati sherehe za harusi zikiendelea

    Katika hali kuendelea kufurahi lakini ghalfa watu wanadondosha machozi na vilio vingi baada ya kupokea au kushuhudia mmoja wao anapata tatizo ambalo linampelekea kufariki dunia. Sikia hiki kisa kutoka huko Cameroon ========= Katika hali ya kushangaza Jumamosi ya Oktoba 26, bibi harusi...
  6. JamiiForums Tanzania Harusi bora ya mwaka 2024

    Tunawapongeza kwa hatua hii njema. Hakika ninyi ni mfano mzuri kwa wengine.
  7. JamiiForums Tanzania Daaaah, juzi nilikuwa kwenye harusi nikakanyaga waya kwa bahati mbaya Mziki ukazima

    Daaaah juzi nlikua kwenye Harusi nkakanyaga Waya kwa Bahati mbaya Mziki uka zima X wangu Aka lopoka Huyo ndio Alivyo Akiona Chakula atulii sehemu moja Mni follow basi jaman 😌
  8. JamiiForums Tanzania Meza za Sherehe, Viti vya Harusi, Mapambo na mahitaji mengine ya sherehe

    1. Meza ya Sherehe 450,000 (ya mzunguko wa viti 10 -12) 2. Kiti cha sherehe 80,000 (ni kiti cha kilo 7, sio vile vya 50,000) 3. Vitambaa vya Meza 50,000 (rangi mbalimbali) 4. Kreti ya Glasi 100,000 (zipo za kuhifadhi glasi 25, 36 na 49) 5. Viti vya Maharusi 2,500,000 (kutoka nje) 6. Stuli za...
  9. JamiiForums Tanzania Nikikuchangia Laki Bwana Harusi Ukumbini nitegemee kupata nini?

    Habari wadau? Kuna jambo linanikwaza sana. Unakuta mtu ana harusi. Anaomba mchango kama deni vile! Unamchangia mtu laki ukiingia ukumbini mtu unapewa kifungashio cha juice na soda hata elfu kumi haifiki. Inakuwa tena kama tunampa mtaji bwana harusi. Jipange bwana harusi ndo uombe hela.
  10. JamiiForums Tanzania Kizimkazi Imelipa: Hii pesa aliyoitaja Dotto Magari kuandaa harusi yake ni sahihi?

    Habari zenu wakuu. Mko vizuri? Nimekutana na video Instagram ya Dotto Magari akiwa na bosi wake Issa Tambuu ambapo Dotto ametangaza kuwa harusi yake itagharimu Milioni 60 kama bajeti. Dotto alifunga ndoa juzi juzi hapa na mkewe Bi Aisha, harusi ikija siku chache tangu amalize dili la ubalozi...
  11. JamiiForums Tanzania wanaosema siku yao ya harusi ni siku ya pekee siwaelewi

    kipi cha kufurahia hasa, mimi sioni maajabu ya hiyo siku
  12. W

    JamiiForums Tanzania Umewahi kushuhudia Harusi ikikosa Wageni kutokana na Michango iliyowekwa?

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida kwenye mazingira ya Jiji la New York nchini Marekani, Wanandoa Wawili (Nova na Reemo Styles) walijikuta na Wageni wachache harusini kutokana na kuweka Kiingilio cha zaidi ya Tsh. 700,000 kwa kila mwalikwa. Uamuzi wa kuweka kiwango hicho ulitokana na wao kubaini...
  13. JamiiForums Tanzania Ex wangu anataka niende kwenye harusi yake

    Hii wiki mbaya kwangu Naandika hapa x wa mama mkwe wangu kaninyima chakula🥺 Tuachane na hayo Huyu X wangu Eliza mchaga wa rombo macho kama anakula kungu shingo mithili ya twiga wa nyalandu shape kama bajaji mapenzi hajui ila anajua kupenda na kutoa hela tatizo la kuachana naye baba yake...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Nimewagomea Wanafamilia tusichangie Harusi ya Kaka bali tuchangie mdogo wetu masomo na Nyumba tumalizie. Wamefura nimelikoroga

    Kama mnavyojua ndugu zangu sisi ni wanyong mpaka pale sisiemu itakapotoka madarakani. Hivyo maisha yetu ni ya kuunga unga na kusaidian ili siku zisonge. Na mtu pekee wa kukuinua ni mwanafamilia mwenzako Dada au Kaka. Mimi nilimaliza masomo baada ya kuhangaikiwa sana na Dada yangu na Kaka...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana aliyetelekezwa na mke siku ya harusi atunukiwa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na Waziri Gwajima

    Yule mwamba aliyenyimwa mke siku ya harusi kwa kisingizio cha kwenda kwenye send off akiwa chakari,amepewa tuzo. Amepewa tuzo ya mwanaume bora wa mwaka na waziri Doroth Gwajima Kwa kweli jamaa anastahiki tuzo kweli maana mimi mwanamke anikatae siku ya harusi nyumba yao ningeichoma moto...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Anayehoji pesa zote za harusi ya mwanangu nimepata wapi aoe na yeye tutamchangia

    Wakuu, Rais Mwinyi amjibu aliyehoji kapata wapi hela za kufanya harusi ya kifahali hivyo. Ila hili nalo lilikuwa jambo la kuaddress kwenye Mkutano wa CCM, au ndio kiki apate kuongelewa kipindi hiki tunapoeleka kwenye uchaguzi mkuu 2025...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje kwenye sherehe za harusi Kwa wazazi waliotengana?

    Kwanza nitoe pongezi ziende Kwa wazazi wote pastor John shusho na Christina shusho Katika sherehe ya kumuaga binti Yao wa kwanza .. swali hivi wazazi wakitengana nani ana haki ya kusimamia shughuli za kumuoza Binti na je vipi kuhusu kuwapa nafasi ndugu wa pande zote... Mimi naona Kuna haha ya...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Harusi na Michango yake chimbuko jipya la mitaji ya biashara Kwa vijana

    Nimeona niongelee hili jambo, kwani linatrend sana, tatizo la ajira limekuwa kubwa sana, kiasi kwamba vijana wengi wameshindwa kuajiriwa au kujiajiri Kwa ukosefu wa mitaji. Nafurahi pia Kusema kuwa ,utaratibu uliopo Tanzania wa kuchangiana Kila Kijana anapotaka kuoa imekuwa ni mkombilozi Kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Harusi yageuka msiba baada ya fumanizi

    Bwana harusi abdoulatif nchini Cameroon katika Jimbo la bafoussam akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kuleta maafa kwa kumjeruhi na kumuua kijana Ernest ademilo kwa kumfania akiwa na mama yake mzazi abdoulatif. Aidha mtuhumiwa huyo anadaiwa kufanya hayo ikiwa ni siku yake ya harusi...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ndoa itadumu kweli?Baba wa bibi harusi amruhusu mkwe wake kurudi saa nane usiku mbele ya waalikwa

    Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini.. Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa mumewe amerudi saa nane za usiku... ,akaendelea kudai kuwa hiyo ni kawaida sana kwa wanaume, Kichaa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…