harmonize

  1. JamiiForums Tanzania Tuzo za Dullah Makabila zawavunja mbavu mastaa, Ruby, Ray the Boss wamaindi

    😂😂 hivi huyu Dulla Makabila ana nini kwani? Jamaa amekuja na tuzo zake "Makabila Awards" na ametangaza vipengele tisa vilivyojaa utani, kuna UVUMILIVU, FITNA YA MUZIKI, CHAWA BORA mpaka KUPENDA WAGANGA 😂😂 Sema Ruby na Ray the Boss kama hajapenda hivi. Wakasuka kwenye comments na kumpa vidonge...
  2. JamiiForums Tanzania Usiku wa leo Harmonize anaenda kuachia ngoma kali sana

    Harmonize jeshi katangaza balaa usiku wa Leo Kwa mashabiki zake wanaenda kufurahi kwakua anaenda kuachia ngoma Kali sana mbili harmonize ndio mfalme wa bongo fleva ukibisha download ngoma zake halafu Kaa home sikiliza
  3. JamiiForums Tanzania Harmonize ataimba nyimbo zote ila hizi ni hatari

    Kuna hizi ngoma za harmonize ambazo hazitokuja kuzidiwa na ngoma yeyote atakayoitoa Kwa upande wangu ni mpaka kesho,nishapona,Utanikumbuka,wote,sijui, Mtaje
  4. JamiiForums Tanzania Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

    Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rajabu Abdukahali Ibrahim almaarufu Harmonize ametiwa hatiani na mahakama kuu divisheni ya biashara tarehe 2 mwezi huu wa 8 kwa kushindwa kulipa kikamilifu mkopo wa kiasi cha shilingi milioni 300 alizokopa katika benki ya CRDB mwaka 2019. Mkopo huo uliokuwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Jamani moshi huo moshi huo!

    Jamani moshi huo moshi huo! Nikiona moyoo unadunda tena 🎶 Alimaanisha nini huyu Mmakonde Harmonize? 😂
  6. JamiiForums Tanzania Harmonize anazingua kinomah!

    Hahaha! Soma alichokiandika hapo.
  7. JamiiForums Tanzania BASATA hawakuelewa matusi ya Harmonize mbele ya viongozi wa nchi?

    Katika vitu vya kushangaza ni hili la msanii harmonize kutaja matusi kwa makusudi tena kwa kurudiarudia bila ya kujali uwepo wa viongozi wa nchi siku ile ya yanga day. Nilitegemea angenyang'anywa kipaza sauti na waandaaji lakini ajabu haikua hivyo. Akaendelea tena na tena kutamka lile neno...
  8. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi Harmonize kutumia hili neno BOMBOCLAT? Mbele ya viongozi

    Harmonize katika show ya yanga ilikuaje akatumia huu msamiati wa kijamaika wenye maana ya Mother ***** BOMBOCLAT
  9. M

    JamiiForums Tanzania Harmonize kutumbuiza Yanga Day

    klabu ya Yanga imemtangaza msanii harmonize kutumbuiza katika kilele cha siku ya wananchi tarehe august4 siku ya jumapili na tayari msanii huyo ametambulisha nyimbo yake mpya atakayo tumbuiza siku hiyo ya wananchi. Huyu ni miongoni mwa wasanii wengi watakao tumbuiza siku hiyo, huu ni ushahidi...
  10. JamiiForums Tanzania Harmonize na Rayvanny ndiyo wasanii wangu bora

    Yaani Hawa jamaa ndio WASANII ninaowasikiliza Tanzania Leo wameachia Ngoma Kali sana ya Harmonize inaitwa sherehena ya Rayvanny inaitwa namtaka. Aisee hii weekend ni kuvibe nazo tu ni Ngoma Kali sana nafikiri mmeona wadau au nyie mmezionaje Hawa jamaa wako vizuri sana nasema ndio WASANII WANGU...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Natamani kwenda Marekani na Rais Samia

    Kada wa CCM na mwanamuziki wa Kizazi kipya mh Harmonize amesema baada ya Rais Samia kwenda Korea na Wasanii wa maigizo ni Imani yake safari Ijayo atasafiri na Wanamuziki wa Kizazi kipya. Harmonize amesema yeye anatamani kwenda Marekani na Rais Samia. ========== Msanii Staa wa Bongofleva...
  12. JamiiForums Tanzania Taji Liundi: Tumshabikie Diamond kama mungu mdogo

    Taji Liundi Diamond Platnumz Akizingumza na vyombo vya habari mtangazaji na msema chochote maarufu Dar es Salaam Taji Liundi amesema Diamond anatakiwa kushabikiwa kama mungu mdogo. Ameyasema hayo akisisitiza support kwa diamond na kuappreciate juhudi anazofanya. Watanzania wamekusikia bro...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Furaha yatawala ujio wa wimbo mpya wa Harmonize na Rayvanny

    Mashabiki wa kiwanda cha BongoFleva wameshuhudia upendo uliotamalaki kati ya msanii Harmonize na Rayvanny, ambao wanatarajia kutoa wimbo wao mpya (Walioshirikiana) baada ya kuwa na ugomvi kwa muda mrefu. Harmonize ameweka video kwenye mtandao wake wa IG akiwa na msanii mwenzie Rayvanny...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuanza kusafiri na Wasanii kwenye ziara zake nje ya nchi

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao. Rais...
  15. JamiiForums Tanzania Harmonize avunja record ya dunia ya kuachia Album inayosifia tu Mamlaka

    Ni wazi kwamba hakujawahi kutokea msanii aliyewahi kuachia Albamu yenye nyimbo zinazosifia tu Mamlaka. Wasanii wengi uachia tu Single track za kusifia mamlaka au kiongozi wa juu wa serikali, lakini Mmakonde huyu ameenda mbali zaidi na kuachia Album yenye nyimbo zote zinazosifia Mamlaka na...
  16. JamiiForums Tanzania Mwamposa ahudhuria uzinduzi wa Album ya Harmonize

    Mchungaji Mwaposa ameonekana Katika tamasha la uzinduzi wa Album ya Harmonize kitu kilichozua maswali. Mwamposa ni mchungaji kitu ambacho kinamfanya asiwe mpenzi wa nyimbo nyingi za Harmonize kwa sababu haziendani na maadili ya kikristo, licha ya hilo Harmonize ni Muislam tofauti na mwamposa...
  17. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Kutaka kupigana kati ya Harmonize na Mwakinyo katika mazingira yake waliyokutana hamna logic!

    salamu wanandugu, Kama kichwa cha uzi . Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale hakuna ngumi labda ni kick , hawakuwa serious. Tuangalie kwanza mazingira waliyokutana. kama...
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Harmonize sio authority yoyote katika uislamu. Harmonize alisha ukana uislamu kwa vitendo tangu alipo ingia kwenye kazi ya muziki kwa sababu kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu muziki ni haramu kama ilivyo nyama ya nguruwe. Kwahiyo kwa hermonize kuingia kwenye muziki tayari...
  19. JamiiForums Tanzania Sawa Harmonize kakososea, ila mungu wako sio mungu wa Harmonize

    Yaani sisi huwa tunarudi palepale, tunamtetea sana Mungu kwa kuhisi Mungu hawezi kujitetea. Binadamu huwezi kusimama mbele na kumtetea Mungu, maybe kama Mungu huyo hana nguvu. Kuna vitu ni vya kawaida tu, nachukuliaga poa sana, Mungu ninayemuabudu mimi, anayenibariki na kunipa afya njema huwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ushauri: Harmonize acha kuandika Kiingereza

    Harmonize wewe ni msanii Mkubwa Tanzania lakini unafeli sana anapolazimisha kuandika English lhali bado hujakijua vizuri. Harmonize unaonekana haupo Serious kwenye post zako kwa kuandika Ngeli Mbovu na zisizo na maana kwa wanaojua English pekee. BADILIKA MKUU.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…