Siasa za nchi za Afrika zikeshindwa kuleta maendeleo ya kweli kutokana na mitazamo ya harakati za wanasiasa.
Kabla ya kupata uhuru, wanasiasa wa kipindi hiko walijikita katika kuleta ukombozi wa kweli kwa nchi zao. Hivi walielekeza nguvu katika kuleta umoja wa kitaifa. Baada tu ya ukombozi watu wanaotaka uongozi wa nchi wakiziteka siasa za nchi zao hivyo kusaka uongozi kwa kila namna.
G-55 wanataka uongozi na siyo ukombozi wa nchi. Wao wanataka wapate nafasi za uongozi hata kwa njia ambazo siyo za haki.
Niwatakie heri wote wanaotafuta ukombozi wa nchi. Iwe ni ndani ya CCM au nje ya CCM.