Juzi nimefika Zanzibar nimeshangaa maendeleo ya kasi uwanja wa Ndege wa kisasa na nasikia terminal 2 na terminal 3 zaja.
Hali kadhalika juzijuzi kumefanyika mkutano wa wawezekaji katika sekta ya Utalii na siku zijazo ndege za kutoka Ulaya na kwingine zitakuwa zikitua Zanzibar zikileta watalii...
Ni wazi kabisa ACT wazalendo walisaini maadili ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 mwezi October kuonesha kuwa walilidhia kanuni hizo, wanajua kanuni hizo ziliwaelekeza kuwaelimisha wafuasi wao kuwa hawataruhusiwa kuwa na simu eneo la uchaguzi wakat uchaguzi ukiendelea, pia wanajua wazi kuwa...
By AFPToday, 8:39 pm
French President Emmanuel Macron (L) meets with Iran's President Masoud Pezeshkian (R) on the sidelines of the 79th Session of the United Nations General Assembly at the UN headquarters in New York City on September 24, 2024. (Ludovic Marin/AFP)
Share
PARIS, France —...
Unajua kama ukianza kusave milion moja kila mwezi maisha yako yote yaliyobaki hutapata bilion?
Chatgpt ameshauri hivi
Kupata bilioni moja au zaidi kwa haraka nchini Tanzania si rahisi, lakini inawezekana kwa mbinu sahihi, bidii, na maamuzi ya busara. Hapa kuna mikakati halisi ambayo...
Wadau hamjamboni nyote? This is so serious, the man should be taken into jail Ni mtu anahatarisha Usalama wa ndani na kuharibu tashwira nzuri ya Rais wetru, he's so deadly dangerous judging by his statements . the law enforcement agency should do the needful before it's too late. It's now...
Wadau hamjamboni nyote? Gwajima aitwe haraka mbele ya kamati husika , going against taratibu husika ni dharau kubwa, he disregard party tradition, needs to be fixed Angewasikisha hoja zake mamlaka husika. Has enough experience with party tradition hence should not have gone Public. A...
ANAANDIKA Mh Heche makamu mwenyekiti CHADEMA TAIFA
Huyu kijana Kenani Kehongosi ni Sabaya mwingine.. Huyu ni kijana amedhuru watu wengi sana.
Ameruhusu madaraka yamvae na kwasababu hana uwezo anafikiri kujipendekeza kufanya hujuma kwa wapinzani kunampa sifa kwa boss wake.. namkumbusha tu...
Nina week sijala Kipapiro je inaweza saidia kukuza gobole? Je nikikaa mwezi litakua zaidi? Au niendelee tu kuchakata vipapiro?
Nimeuliza hivi kutokana na kuwa nimekuwa tight hii week nchi ya ugenini huku Morocco. Sijafanikiwa pata kipapiro. Naona kama gobole limeongezeka. Na sijacheza pool...
Wakuu habari!
Wanaume siku zote kazi yetu ni kutafuta pesa, kutatua changamoto na kuhudumia familia
Ikitokea mtu anataka sex ya haraka basi wanawake wenye hasira za karibu na mdomo ndio chaguo sahihi
Kikawaida hawa ni watu wa mihemko wao muda wote huhisi wanadharauliwa, suala la kufikiria...
GT
Nawashauri uongozi wa chadema Taifa kupitia nafasi zote zilizoachwa wazi na G55 ili vijana wazalendo tuje tujaze haraka sana.
Tanzania haijawa na Tatizo la nguvu kazi kwa hiyo msiwe na shaka vijana tupo tayari kwa kazi.
Jambo hili msichelewe kulifanyia kazi haraka iwezekanavyo mara tu...
Nimeachwa na Wanawake wapatao Sita Sasa wakidai Kuwa nawakomoa sana wakati Wa tendo Maana nimekua sifiki kileleni nafanya kwa muda mrefu mno mpaka inakua kelo kwao,
Mwanzo niliona sifa Lakini Sasa naona siyo sifa nzuri tena, nilimtembelea dokta mmoja nikamueleza jambo hili private aliniambia...
Habari wakuu,
Bwana YESU atukuzwe na ufalme wake uje na mapenzi yake yatimizwe...
Leo naomba niwape Siri iliyopo kwenye maombi ya Kushukuru na kujitabiria...
Tumezoea Kushukuru kwa sadaka zaidi ila Leo naomba tujifunze maombi ya Kushukuru na kujitabiria...
Maombi ya Kushukuru na kujitabiria...
Hapa nikiwa na ile safari ya kutafuta wa kuwowa ,bado nipo nahangaila ila ,imenijia ,kuna makabila wanawake wakielekea uzeeni huvurugika sura zao na ..Uzuri wao wa sura huondoka na itakuwa mshanielewa..
Pengine alikuwa mrembo na tabia nzuri ila kuelekea uzeeni eeei ndio hivyo,
ila nasikia...
Nawasalim wote wakuu
Ushauri unahitajika kwa huyu dada yangu .Dada angu anafanya kazi kwa wahindi za madawa (medical sales) dar es Salam. Kuna kampuni alikua mwanzo aliacha kazi baada ya boss wakampuni aliyopo ss kumtaka ahamie kwake.
Amefanya kazi kwa hii kampuni kwa mkataba wa mwaka mmoja...
Mtu analalamika eti wanaume wana haraka katika kufanya tendo, ila mtu huyo huyo yeye ana haraka ya maisha kupelekea kukuacha wewe ambaye bado una hustle.
Kwa sisi mabaharia ile haraka huwa ni munkali wa stress zilizopo kichwani za kuambiwa turudi veta plus nauli ulizokula hapo nyuma.
So kila...
Habari wadau.
Nahitaji nyumba ya kupanga maeneo ya kigamboni.
Nyumba isiwe mbali na barabara ya lami inayotoka ferry , maji yawepo , tiles na aluminium muhimu pamoja na gypsum, bila kusahau Usalama na itapendeza kama kutakuwa na umeme wa kujitegemea.
Nyumba iwe na Chumba master, sebule na...
1. Kwa income ipi ya sasa hadi ipandishwe kwa Kiwango hicho?
2. Exportation capacity kwa Taifa kwa sasa ni ipi?
3. Kwa ulipwaji mkubwa wa Madeni je, tuna Jeuri ya kuwa na Fedha ya Kulipa Mishahara kwa 35%?
4. Tumeshaweza kuziba mianya mikubwa ya Rushwa nchini hadi tuweze kuwa na jeuri ya...