haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Alipouawa Mchina, wauaji walikamatwa haraka sana, wapopigwa WATANZANIA na Wachina, je kuna Mchina amekamatwa?

    Waliopigwa na Mchina, wamelazwa hosptalini, ili aliyewazuru akamatwe, imewabidi majeruhi kujirekodi huku wakiwa wanalia ndo mpigaji wa kichina alipokamatwa na polisi Hii imekaaje? Mbona yule mchina ALIYEUaWA, tuliwakamata wale Masai feki haraka?
  2. JamiiForums Tanzania Hakuna pesa rahisi wakuu

    Wakuu habari Zenu Dah wimbi kubwa la vijana tumekuwa tunapenda matokeo ya haraka sanaaa yaan boom baah 💥 Manoti hayooo Hii kitu inapelekea baadhi ya vijana 😂 kutumia fursa hii ya vijana tupendao matokeo overnight kupiga pesa Wanafungua platform wanaipromote mitandaon kwamba ukijiunga...
  3. JamiiForums Tanzania Milioni 3 za mazishi yako zitapatikana haraka kuliko laki 3 za matibabu yako

    Milion Tatu za Maandalizi ya Mazishi Yako Zitapatikana Kwa Haraka Kuliko Laki Tatu za Mchango wa Matibu Yako. Jamii ya Leo Kuna Ndugu Yao Anaweza Kua Anapitia Kipindi Kigumu Sana Katika Matibabu Yake na Kupelekea Kuomba Msaada wa Pesa Ili Aendelee Kupata Matibabu Ajabu Ndugu Hao Watashindwa...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kabla sijatepeliwa

    Vikoba kwa njia ya m koba ya voda jamaa wanatangaza kule fb je hivi inawezakena? Mimi nimeishia nae kwenye chati sasa sijamwelewa nisaidieni https://www.facebook.com/reel/857641280753316/?mibextid=rS40aB7S9Ucbxw6v
  5. JamiiForums Tanzania Unga: Utajiri wa Haraka, Kifo cha Hakika

    Hakuna biashara duniani inayoweza kugeuza maisha ya mtu kutoka umaskini wa kutupwa hadi kuwa bilionea ndani ya masaa 24 kama biashara haramu ya dawa za kulevya (Ubwabwa/Unga). Lakini nyuma ya mamilioni hayo ya haraka, kuna mfumo wa kikatili, usaliti wa kiwango cha juu, na kamba za kunyongwa...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya 50 Wakwama South Africa, Waomba Serikali Kuwarudisha Nyumbani Haraka

    Takriban Wakenya 50 wanaoishi South Africa kupitia kundi la Kenyan Diaspora in South Africa (KEDASA) wameiomba serikali ya Kenya kuingilia kati na kuwasaidia kurejea nyumbani kutokana na hali ya usalama inayozidi kuwa mbaya. According to reports, wengi wao wamepoteza ajira, wamekuwa wakikumbana...
  7. JamiiForums Tanzania Je, unahitaji kuagiza bidhaa kutoka India kuja Tanzania kwa bei nafuu, usalama na kwa haraka zaidi?

    Je, unahitaji kuagiza bidhaa kutoka India kuja Tanzania kwa bei nafuu, usalama na kwa haraka zaidi? HARAKA CARGO ni mshirika wako wa kuaminika katika usafirishaji wa mizigo kutoka India hadi Tanzania. Tunashughulikia usafirishaji wa: ✅ Vifaa Tiba (Medical Equipment) ✅ Dawa za Binadamu ✅ Vifaa...
  8. JamiiForums Tanzania Changamoto za Msingi Zinazohitaji Kufanyiwa Kazi Haraka katika Shule ya Wasichana Jokate Mwegelo Sekondari, Kisarawe

    Shule ya Jokate Mwegelo Girls Sekondari iliyopo Kisarawe ni miongoni mwa shule zinazofanya vizuri kitaaluma, jambo linalotokana na juhudi na kujituma kwa walimu pamoja na wanafunzi wake. Hata hivyo, shule inakabiliwa na changamoto kadhaa za msingi zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha...
  9. JamiiForums Tanzania Dar Es Salaam Jiji, linalokua haraka kuliko Mipango yake

    DAR ES SALAAM, JIJI LINALOKUA HARAKA KULIKO MIPANGO YAKE Nianze kwa RAI kuhusu upanuzi wa Barabara za Sam Nujoma na New Bagamoyo kwa kutumia njia zile zile za awali. Kwa maoni yangu, huenda tumeelekeza nguvu yetu katika suluhisho la muda mfupi sana badala ya muda mrefu. Kinachonisikitisha ni...
  10. JamiiForums Tanzania Je Taarifa Hii Iliyochapishwa na Jarida la Mambo ya Intelijensia Afrika Ina Ukweli Wowote Kuhusu Namba Samia na Nchimbi. Serikali Ikanushe

    My Take Jarida Maarufu la Habari za Intelijensia na Usalama Afrika "The African Report" limechapisha habari hii kuhusu Wakuu wetu. Kama sio ukweli na chokochoko za kibeberu kutia chumvi basi ni vyema Serikali ikakanisha. Mjumbe Hauwawi...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna kitu kinanishangaza. Kwanini watu waliotekwa kisha wakafariki inalazimishwa wazikwe haraka?

    Huu mchezo wa utekaji na kwa mtindo huu unazidi kuwa na nguvu sana. Nilishuudia mkoa X walitekwa watu zaidi ya wanne.Mmoja alipatikana kijiji cha mbele akiwa amefariki ila wanakijiji walipotoa taarifa polisi na polisi ikaamuru kuzikwa haraka bila kuuliza lolote. Ndugu wa marehemu walipojaribu...
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utumishi Fire Tragedy: Serikali Yaagiza Ukaguzi wa Haraka wa Shule Zote za Boarding Nchini

    Baada ya moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 16 katika shule ya Utumishi Girls Academy, serikali imeagiza ukaguzi wa haraka wa shule zote za boarding nchini ili kuhakikisha usalama wa wanafunzi. Basic Education Principal Secretary, Julius Bitok, amesema kuwa shule zote za boarding zitafanyiwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ninaunga mkono kutumbuliwa kwa kiongozi mwandamizi tuliyedokezwa na mbunge Sumai

    Mimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi ndani ya chama na kuchafua hali ya hewa. Kama mtu ninayetaka mama aongezewe muda wa kuongoza hadi...
  14. JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka nilipe deni au nikanunue kitendea kazi

    Nadaiwa 150 na nilikubaliana na mdeni namlipa hela yake tarehe 3 mwezi huu wa 6. Hela nimepata ila kifaa cha ofisini kimekufa leo leo na spea kupafa ni mpaka niagize chini haizidi 40 ila pia kifaa kama hicho hapa mjini wanauza 150. Hiki kifaa bila kuwepo ofisini ni sawa tu na nimefunfa ofisi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbegu za habbat soda au black seeds dawa ya haraka ya acid reflux

    Habari za weekend ndugu zangu Anayesumbuliwa na acid reflux atafute hizo mbegu kiswahil zinaitwa habat soda English zinaitwa black seeds....nimbegu ndogo ndogo nyeusi tii kama mkaa ukiziona haraka haraka utahis ni punje za mkaa....hiz mbegu nzur sana kwa acid reflux mimi binafsi zilinisaidia...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya foleni NATTA Mwanza, mistari ya Zebra nayo imefutika, ni kero hasa asubuhi

    Tunaomba sana wahusika watutatulie kero ya usafiri katika eneo la NATTA jijini Mwanza. Mimi binafsi napitia eneo hili mara kwa mara, na hali ya foleni imekuwa mbaya sana. Pale kuna vituo viwili vya daladala—kimoja cha kwenda mjini na kingine cha kutoka mjini—lakini miundombinu iliyokuwepo...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Wakuu inawezekana kupata NIDA Namba

    Wakuu inawezekana kupata NIDA NUMBER? Majina yake ninayo Mtu mwenyewe alishakufa mda mrefu Msaada wa haraka unahitajika
  18. M

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vinasababisha Injini za magari kufa haraka?

    Wakuu, ni makosa gani mtu akiyafanya yatashusha umri wa injini ya gari yake yaani itawahi kufa kwa haraka? Kagari kangu haka ka mkopo nataka kukalinda kwa namna sahihi ili injini isiwahi kufa maana ikifa sina namna ya kuweka injini mpya kwa haraka hivyo naomba mnipe kabisa tahadhari ya vitu vya...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  20. JamiiForums Tanzania Hofu ya Kupoteza Sauti za Umma: Taifa Linalosahau Haraka

    Kuna wakati unaamka na kuhisi hofu isiyoelezeka. Hofu ya kuona watu waliokuwa sauti ya jamii wakitoweka taratibu kwenye macho ya umma, halafu maisha yanaendelea kana kwamba hakuna kilichotokea. Hiyo ndiyo hisia ninayopata kila ninaposikia kuhusu watu tunaoweza kuwapoteza kimya kimya, halafu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…