haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Ulega apendekeza Watu binafsi kutumia barabara za Mwendokasi kwa kulipia

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amewataka wataalamu wa sekta ya ujenzi kubuni mbinu za kupunguza foleni mijini na kuongeza mapato ya Serikali kupitia barabara za mwendokasi huku akipendekeza zitumiwe na magari binafsi kwa kulipia. Akizungumza leo Alhamisi Februari 13, 2025 mkoani kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Maridhiano yanahitajika haraka sana ndani ya uongozi mpya wa chadema, hali inaweza kua mbaya zaidi mbeleni hilo lisipo tiliwa maanani

    Body languages, tones na facial expressions za viongozi waandamizi wa chadema hususani wa kamati kuu, zinaonyesha kabisa bado kuna migawanyiko na uhasama ndani ya chadema. Lakini pia jana pale Ikungi Singida tumeshuhudia kwa uwazi zaidi kwamba umoja ni changamoto ndani ya uongozi mpya wa...
  3. JamiiForums Tanzania Nashauri tanzania iingie mkataba wa haraka na congo vijana wa Kitanzania wapate ajira ya haraka

    Ninawaza kwa Sauti ya chini sana nikiwa nakunywa taratibu kiburudisho kisicholewesha. Ni hivi vijana wengi wa Kitanzania wamekuwa na ndoto au matamanio ya kujiunga na jeshi la JW na hivyo kupelekea wengine kushindwa vigezo vya kujiunga na jeshi hilo na wengine kudondokea kwenye mikono ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mlo mwepesi wa haraka

    Leo bhna morng naamka umeme wakakata siku nzima TANESCO mnatukosea af mnauza umeme Basi nikawa sina chakufanya ukifikilia uku kwetu ni porini kwenda mjini ni KM Nilianza kuchemsha nyama nikaitenga supu ya kwanza kabisa Nikamenya ndizi na kukata kabisa Baada ya nyama kuiva nikaitoa...
  5. JamiiForums Tanzania Nawakumbusha asomae na afahamu ujio wa Mungu utakuwa wa haraka kuliko inavyodhaniwa

    Ufunuo wa Yohana 22:10-21 10 Akaniambia, Usiyatie muhuri maneno ya unabii wa kitabu hiki, kwa maana wakati huo umekaribia. 11 Mwenye kudhulumu na azidi kudhulumu; na mwenye uchafu na azidi kuwa mchafu; na mwenye haki na azidi kufanya haki; na mtakatifu na azidi kutakaswa. 12 Tazama, naja...
  6. JamiiForums Tanzania Huyu refa alikuwa na haraka ya nini?

    Tangu nianze kufatilia soka sijaona kituko cha refa kuwa na haraka ya kutoa kadi mbili kwa pamoja kama huyu refa wa leo. Ni aibu kwa ligi ya 4 Afrika. Hii haraka ya nini? Soka letu lina safari ndefu sana
  7. JamiiForums Tanzania Rwanda inataka kujifanya "Israel ya Afrika mashariki", haiwezekani na yapasa adhibitiwe haraka

    1. Zote ni vinchi vidogo kieneo. 2. Watu wake wanajiona ni "special/superior" kuliko wengine. 3. Viongozi wao wote hawataki kutoka madarakani, madikteta uchwara. 4. Wote wana wazo la kujitanua kieneo zaidi mfano "Greater Israel" 5. Wote karata yao ya mwisho ni mauaji yaliotokea i.e Rwanda...
  8. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Albert Chalamila upitiwe upya, ufafanuzi wake hauna mantiki

    Mama mjamzito aliambiwa na Hospital atoe 50,000 kununua vifaa vya kujifungulia baada ya kuambiwa havipo Hospital. Chalamila akapigiwa simu na Mama huyo, Chalamila akamjibu huyo mama arudi nyumbani akajifungue kwa kisu kwa msaada wa mme wake au amuache mtoto wake afe. Kama taifa hatuwezi kuwa...
  9. JamiiForums Tanzania RC wa DSM Chalamila ajiuzuru haraka sana hio nafasi ya ukuu wa mkoa wa DSM

    Ni aibu ufafanuzi wake kuhusu clip inamfunua akikebehi maskini hasa wagonjwa wasio na uwezo kiuchumi kujigharamia , lugha yake ya mwili katika kujitetea hauji katika ukweli awamu hii Chalamila amekamatika tena ajiuzuru ama afukuzwe haraka sana amevimbiwa,. Huyu mtu pumbavu wa kutupwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Msalato international airport wazidi kunoga –PAC yaridhishwa na maendeleo, yaagiza ukamilike kwa haraka na ubora

    Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma umeendelea kuonyesha maendeleo makubwa, huku kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikieleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa hadi sasa. PAC imeitaka serikali na wakandarasi kuhakikisha mradi huu unakamilika haraka lakini pia...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe haraka atimuliwe ndani ya CHADEMA

    Mikakati ya Mbowe kumwengua Lissu kwenye nyadhifa ya vice chairman haikuwa bahati mbaya. Ilikuwa planned vizuri, na mwishowe angefukuzwa uanachama kwa hisani ya chama kile kilichofadhili kampeni na uchaguzi wa majuzi. Kumbakisha Mbowe CHADEMA ni hatari sana. Ni heri aondoke na siri za zamani tu...
  12. JamiiForums Tanzania Utafutaji utajiri kwa haraka!

    Naomba Kuulizia Kwa Hapa Bongo ni Kweli Kuna Watu Wanauza Nafasi zao Ili Kupata UTAJIRI na Je Wanamwuzia Nani Au Wote Wameishia Kutapeliwa na Wajanja wa Mjini??
  13. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Raia wa Rwanda wamejazana kama wapo kwao. Mamlaka husika waondoeni haraka

    Wakuu, hii imetokana na mambo kadha wa kadha ni kama mwezi mmoja umepita nilienda kwenye mgahawa mmoja local kuchukua chakula majira ya saa 3 usiku, wakati nimefika nikakuta vijana wawili ambao ni wahusika wa ule mgahawa wanaangalia taarifa kwenye simu yao na wapo makini sana. Taarifa hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania WITO: Natoa Wito kwa wanachadema wote Watakaoumizwa na Vitendo vya rushwa Wajiunge na CCM harakà

    CCM pekee ndio chama kinachokataa rushwa na kuizuia kwa nguvu zake zote, Kama wewe ni mpinga rushwa kwanini ubaki CHADEMA inayonuka rushwa? Njooni CCM tujenge nchi yetu nzuri.
  15. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mbowe, Lissu wasalimiana kibabe BAWACHA, huku wakicheza kwa bashasha wimbo wa "Tuvushe Mbowe Tuvusheee"

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu wakisalimiana katika mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha) unaofanyika leo Alhamisi Januari 16, 2025 katika ukumbi wa Ubungo Plaza jijini Dar es Salaam. Wote wawili wanamchuano mkali...
  16. JamiiForums Tanzania Jinsi Ambavyo Ningefanya Baada ya Kuishika Milioni 100 za haraka

    Kuna wakati mtu unapata pesa za haraka alafu unashindwa kuwaza ufanye nini kwa haraka ili pesa yako isiishe bila kufanya cha maana. Wengine wanapata kutoka kwenye kiinua mgongo, mafao fulani, wengine mkopo, wengine ni mgao fulani, wengine wanagawiwa kama zawadi n.k Kama mimi ningebahatika...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mpishi wa Hoteli anahitajika haraka

    Mpishj anahitajika kwenye hoteli ya Lahe Mwanza mwenye elimu ya mapishi au uzoefu wa miaka 2 na kuendelea. Awe na miaka 35 hadi 55 mkazi wa Kanda ya Ziwa. Atapewa Nyumba na mshahara, WCF na NSSF. Mshahara majadiliano. atume barua kwa Mkurugenzi Lahe hotels SLP 6129 Mwanza simu 0739290084 au...
  18. JamiiForums Tanzania Polisi au TRA mkamateni haraka Chief Goodlove atoe maelezo chanzo cha hivyo vijisenti vyake

    Sio kama nina wivu bali sheria ya money laundering iko wazi. Mwaka 2018 tuliuza nyumba ya urithi na hela ikaingizwa kwenye akaunti yangu,milioni 340, Siku ya kwenda kuitoa ili tugawane,benki walinizuia mpaka nilipoleta nyaraka za mauziano,akaunti yangu ilikuwa haijawahi kuingiziwa zaidi ya...
  19. JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million, hii itasaidia endapo nataka kukopesha mtu au kukopa

    Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Mbowe alikuwa na haraka ya nini kulipa 250m badala 50m aliyopangiwa wakati tupo ndani ya muda. Ni rushwa arudishiwe.

    Muda wa kulipa mchango wa ghalama za uchaguzi (dead line) bado. Kwa nini Mbowe akimbilie kulipa zaidi ya kiwango alichopangiwa?. Hiyo ni rushwa. Nashauri arudishiwe na kama kutakuwa na ulazima tutaambiwa tuongeze kama kuna baadhi ya wachangiaji hawatatoa. Hata kauli ya Wenje kumtanhgaza Lissu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…