handsome

Handsome also known as Handsome: A Netflix Mystery Movie is a 2017 American comedy film directed by Jeff Garlin and written by Garlin and Andrea Seigel. The film stars Garlin, Natasha Lyonne, Amy Sedaris, Leah Remini, Christine Woods and Steven Weber. It was released on Netflix on May 5, 2017.

View More On Wikipedia.org
  1. Ironbutterfly

    Mwanza: Nimekutana na handsome balaa

    Habari za asubuh wana ukumbi, Mweh mweh mweh, nimeingia Mwanza juzi kikazi nikatimiza majukumu yangu. Nilipomaliza nikasema nikamwone kijana wangu anaishi Bwiru hapo kwa matajiri (kwa wakwe zangu). Nikaishia ATM nitoe kasalio halafu nipande boda nimfate shule twende home, wakati naifata ATM...
  2. GENTAMYCINE

    Farhia Middley: Napenda wanaume warefu, handsome, maji ya kunde na wenye kunyoa O ndevu zao

    Haya mnaomtaka huyu Dada Mtangazaji wa Radio One na ITV Farhia Middley tayari ameshawawekea Vigezo vyake hivyo Kazi Kwenu. Chanzo: Kipindi changu Pendwa cha Mazungumzo ya Familia na Radio One Leo Jumapili kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili. Haya Kwa wale Wenzangu akina Emolo...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Ikiwa wao wanataka handsome na wenye Pesa Kwa nini wewe iwe kosa ukiwa na vigezo?

    Kwema Wakuu! Vijana, ikiwa usipokuwa na Pesa wanakudharau, wanakunyali, hawakutaki, na Wakati mwingine wanakutukana. Au ukimuoa siku ukafilisika wanakukimbia. Kwa nini kwako iwe kosa ukijiwekea vigezo? Mfano, Kwa nini iwe kosa ukisema kamwe hautaoa single mothers? Wakati Muda huohuo wao ili...
  4. Hyrax

    Nimeamini Mwanaume ukiwa Handsome kuna hatari 5 zinaweza kukukuta na ukapoteza mwelekeo wa maisha

    1. Kuanguka kwenye uzinzi na uashareti na wanawake wa ovyo na kupelekea kupata mikosi ya kila namna. 2. Kupata kesi za mimba na watoto usiowatarajia kutoka kwa wanawake unaolala nao. 3. Kwenda jela kutokana na vurugu za wanawake. 4. Kufa mapema au kutendewa vitendo vya aibu kwa kutembea na...
  5. Okrap

    Wanaume wazuri (handsome) wahuni sana hawajatulia

    Wanaume ma HB hamjatulia hata kidogo yaani na sasa hivi ndio mmejaa sana Mnaringa then mnataka kila mtu mulale nae pu Bora nitafute mwenye sura personal sura ngumu hanogi kwa chumvi wala sukari Ninyi nimewaachia watoto
  6. Unique Flower

    Wewe ni handsome au gentlemen?

    Tuambieni wewe ni handsome au gentlemen? Haya tuanze kuwapima watu kama mnajua kutofautisha hii misemo
  7. Chachu Ombara

    Handsome namba 1 Kenya, Stivo Simple Boy asema yeye ni Bikra na anataka kupata watoto zaidi ya 30 baada ya kuoa

    As far as we know, Stivo Simple Boy claims he’s still a virgin and would only indulge in intimacy after marrying. At least this is what he states. As a matter of fact, Stivo claims his separation with ex-girlfriend Pritty Vishy was expedited by her demands for intimacy. Despite Stivo being a...
  8. my name is my name

    Rege Jean Paige: Mwanaume handsome duniani

    Anaitwa Rege Jean Page ni raia wa Uingereza. Amezaliwa 1988 ana miaka 34. Ni muigizaji. Ameigiza muvi na tamthilia nyingi ila tamthilia iliyompa umaarufu ni bridgerton, aligiza kama Duke of Hastings (Simon basset). Inasemekana kuwa Rege ndiyo James bond anaefuata. Huyu ndo mwanaume handsome na...
  9. Hat-Trick

    Special Thread: Picha za Wanaume wenye mvuto World wide. Tupia picha Only Handsome men

  10. Churchboy

    Mahandsome tukutane tujadili ili wadada wasitukatalie!

    Naanza kwa kumshkuru Aliye Juu, Muumba Wetu mwingi wahuruma na mwenye upendo nas sisi. Kilio chetu jaman hawa dada zetu muda mwingine unakuna labda nipo single kabisa sina mtu wala hata mmoja lakin ukija kwa dada zetu wanatuona niwaongo kuwa et sababu Yao ya msingi kabisa wanayokwambia et wew...
  11. Brigadier Isaac

    Saikolojia: Ishara zinazoonesha wewe ni handsome/una mvuto wa kiume tofauti unavyodhani

    Habari wana JF. Leo katika pitapita zangu mtandaoni ni kakuta kisomo cha saikolojia kama kawaida nikaona nisiwe mchoyo acha nishare men wenzangu nao waonyeshe interest yao. kama ujuavyo men wengi tunakuwa ile ya kujichukulia poa yani mtu unajidharau unajiona kama vile hauvutii wanawake,hii...
Back
Top Bottom