Handsome also known as Handsome: A Netflix Mystery Movie is a 2017 American comedy film directed by Jeff Garlin and written by Garlin and Andrea Seigel. The film stars Garlin, Natasha Lyonne, Amy Sedaris, Leah Remini, Christine Woods and Steven Weber. It was released on Netflix on May 5, 2017.
Katika kufundisha umuhimu wakua na busara na hekima kama kijana, akasema “ hata uwe mtanashati au handsome kama kaka yangu pale, kama huna hekima na busara, bas ni kazi bure”
Basi kabisa zima wakawa wananiangalia.
Kisha mo nikajifanya kama sijui kinachoendelea vile. Yani hadi baba mchungaji...
Una sura personal, unanuka jasho, Mtu hana muonekano mzuri, hata kuvaa vizuri hajui, hana hela na hana kipaji ila anamsaliti mke wake, hivi kibaka kama huyo angekua hata na kimoja cha hapo juu ingekuaje? Mungu fundi.
Mi pamoja na uhandsome wangu, ingawa nikicheat mke anaweza nisamehe mana...
Yoyote aliekaribu na huyu mrembo amfikishie taarifa kua kuna kijana handsome balobalo huko JamiiForums anataka kumchukua.
Mtoto mzuri kama yule anahitaji kua na kijana, sio mzee. Tena si kijana tu bali handsome. Nipo hapa kumtuliza maumivu yake.
Sharti langu mtoto wake amuache kwa bibi yake...
Uzuri huwa unabeba sana, watu wanakushobokea na kukukubali kwa kutumia nguvu ndogo sana. Sasa nikipoga ile mikato yangu, perfume kali, na muonekano wangu, hapo lazima wanikubali.
Kwanza watapagawa hadi watashindwa ku concentrate. Af mi nitakua sina habari.
Ndugu wa mke wangu wamekua na wakati mgumu snaa kila ninapokutana nao, wanashindwa hadi kujizuia, kuna huyu mmoja ametokea kunipenda sana, yani kavurugwa kabisa. Imekua usumbufu sana, sitaki kumueleza mke wangu isije ikavunja undugu.
Kila nikiwaza ninapata jibu kua moja, kua handsome ni kazi...
Yaani ukiwa handsome hutumii nguvu nyingi, unaweka miadi na mtoto, ukikutana nae, ukivuta tu anakuja kifuani hana pingamizi.
Mwishowe anafunguka kuwa alikuwa nakuelewa sana alikua akikuona hajiwezi.
Sema ili u maintain u handsome, uwe na hela la sivyo utapauka kweli kweli,
Pesa kidogo huku...
Kuna mada niliipitia hapa jf siku za hivi karibuni. Pamoja na maelezo mengi ila hoja mahususi ilikua inahusu favour ambayo wanaipata handsome boyz katika masuala mbalimbali.
Wenye sura personal walipandisha jazba sana na mlengo wa hoja zao ulikua ni kufungamanisha uhandsome na ushoga na...
Kama vile wanaume wanaona mwanamke pisi kali atakua na wengi au wengi wanamtaka, hata wadada kumbe wanayo.
Yaani ukikutana na mdada ukisema "niko single" wanakataa wanakwambia " yani we ulivyo halaf wasema uko single, nyie ndo mnawapanga"
Kiukweli mtu anaweza kua single bila kujali muenekano...
Habarini,
Nimeona haszu akipondwa na wanaume wa jf kwa kujiita "handsome" wengine wakimtuhumu kuwa ni shoga etc.
Ingawa ni kweli baadhi ya wanaume handsome ni mashoga, lakini haimaanishi kwamba mtu akijiita handsome, basi yeye ni shoga. Hata biblia inatambua handsome men k.v Yusuph na Absalom...
Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi.
Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu.
Nashauri vijana kuzingatia mama au baba...
Hello morning 🌞!
Mimi ni miongoni mwa wanaume ambao nawasema vibaya wanawake mitandaoni nikiwatuhumu kuwa wanawake hawana upendo wa kweli. Mapenzi wameyageuza kama ajira.
Lakini utafiti wangu wa hivi karibuni nimebaini kuwa mwanaume handsome hawezi kuachwa na mwanamke hata amkwaze kwa kiwango...
USIMSIFIE MTOTO WAKO WAKIUME KUWA NI HANDSOME BOY AKASIKIA, UTAMHARIBU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Wazazi wengi hasa kina mama wameharibu watoto wao wa kiume kwa kuwasifia sifa hii kuwa vijana wao ni Handsome boys, Yaani wavulana wazuri wa maumbile na wenye mvuto wa kimapenzi. Huenda ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.