Watu wengi wanadai nguvu za Mamba zipo kwenye maji, utasikia kwenye maji huwezi kumshinda mamba.
hata hivyo huyu Mamba sithani kama kweli itakuwa hivyo akiingia majini. Nimeona kwenye shoo yake kaimba huku kakaa, nikaja kuona clip yake moja uwanja wa taifa anatembea kwa taabu sana. Akisimama...