hamna

Lützow-Holm Bay is a large bay, about 220 kilometres (120 nmi) wide, indenting the coast of Queen Maud Land in Antarctica between Riiser-Larsen Peninsula and the coastal angle immediately east of the Flatvaer Islands. It was discovered by Captain Hjalmar Riiser-Larsen in two airplane flights from his expedition vessel, the Norvegia, on February 21 and 23, 1931. The name honours Commander Finn Lützow-Holm of the Royal Norwegian Navy Air Service, a pilot for Captain Riiser-Larsen on the Aagaard in 1935.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hamna mtu ambaye Maisha yalim-GUARANTEE chochote pale alipoamua kufanya jambo.

    Hey, mambo vipi? It’s me, La Roche, Kuna watu walisoma LLB na walikuwa na ndoto za kuwa Wanasheria wakubwa lakini leo wanafanya kazi Benki Kitengo cha Corporate Affairs... Unaweza usisome ukawa Tajiri kwa sababu tu Mungu amempa kila mtu AKILI...Kuna Akili ya Mtu mwenye Degree na Akili kwa mtu...
  2. JamiiForums Tanzania Saikolojia ya Umma na Ripoti ya Jaji Chande: Je, Tume walitambua "Watu wa Itikadi" Ambao Hamna Pesa au Silaha Inayoweza Kuwanunua?

    Ndugu Wana-JamiiForums, Nimekuwa nikitafakari kwa kina kuhusu kiini cha matukio ya ghasia za Oktoba 29, 2025, na jinsi Ripoti ya Tume ya Jaji Mohamed Chande Othman ilivyofikia hitimisho lake. Ripoti ile inasisitiza kuwa yaliyotokea yalikuwa na uratibu, ufadhili wa fedha (Sh 10,000 hadi 50,000)...
  3. JamiiForums Tanzania Tunaenda nusu ya October, El Nino hamna

    Nani alaumiwe? TMA au wanasiasa kututia uwoga?
  4. JamiiForums Tanzania IKULU hamna taarifa ya pole ya MSIBA mkubwa ajali MOROGORO! Je Tueleweje

    Jana usku kumetokea ajali mbili zimeondoka na Roho za WATANGANYIKA wenzetu zaidi ya 30 Je mbona hakuna hata salamu za Rambirambi kutoka serikalini? Au ni sehemu ya USHETANI KUENDELEA kuchukua damu za watanganyika? RAIS wa nchi hii tumueleweje? Je ingetokea makunduchi angekaa kimya?
  5. R

    JamiiForums Tanzania John Heche: CCM makapuku hamna tofauti na House Negro as opposed to Field Negro enzi za utumwa huko Marekani

    Akina Chacha and Co.Ltd nyinyi ni kapuku tu. Hamna tofauti na watumwa huko Marekani ambapo House Negro walijiona bora kuliko Field Negro. Wote nyie CCM ni watumwa wa cartel ya CCM. Mnatupiwa makombo wakati wao wanajenga Dubai. Msikilize Heche
  6. JamiiForums Tanzania Nimeshiriki ibada nyingi sana za kiimani. Buddhism is the most best kwa mafundisho. Ila kibongobongo hamna dini bora kama Ukristo.

    Dini ni nini? Dini ni jumla ya imani, mafundisho, na desturi ambazo humwongoza binadamu katika uhusiano wake na Mwenyezi Mungu au nguvu za ghaibu, pamoja na kuweka mwongozo wa maadili na mtindo mzima wa maisha. Neno hili limetokana na neno la Kiarabu "Ad-din" (اﻟدﻴن), lenye maana ya utaratibu...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ipo kazini hamna kupoa

  8. JamiiForums Tanzania Unakuta mwanamke ana miaka 25, lakini tayari amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya 15

    Wanawake na wanaume wanaoshiriki kwenye filamu za ngono hawana tofauti sana na baadhi yenu; tofauti ni kwamba wao hurekodi video na kuziweka hadharani. Unakuta mwanamke ana miaka 25, lakini tayari amekuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya 15. Vivyo hivyo kwa kijana wa kiume mwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Hamna kitu kinauma kama tangu asubuhi umeuza elfu 30 tu, alafu nje ya duka lako jamaa kapaki hilux number E (Tsh 70m+). Hivi mnapataje pesa wakuu?

    Simtufundishe tulishe familia zetu na tukimbie aibu ya ukata
  10. JamiiForums Tanzania Akili ni kama mimba tu, eidha una akili au hauna. Hamna mwenye akili nyingi, wala mwenye akili kidogo

    AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU? Bujibuji Simba Nyamaume Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi? Mjadala huu una pande mbili. Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna. Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
  11. JamiiForums Tanzania Akili ni kama mimba tu, aidha unayo au huna. Hakuna mwenye akili nyingi, wala mwenye akili kidogo

    AKILI: NI NYINGI, NDOGO, AU IPO TU? Bujibuji Simba Nyamaume Watu wengi husema, "Yule ana akili nyingi, yule ana akili ndogo." Lakini je, ni kweli akili hupimika kwa wingi? Mjadala huu una pande mbili. Upande wa Kwanza: Akili ni moja. Unayo au hauna. Wanaosema hivi wana hoja nzito. Kila mtu...
  12. JamiiForums Tanzania Wapinzani wazee wa kudandia kila jambo mtakaposhituka October 30 2030 hiyo. Hamna mlichojiandaa

    Ukiwa na mpinzani lofa kwenye biashara au kwenye siasa raha sana. Yeye huwa hana mipango yoyote zaidi ya kudandia kila jambo unalomwekea mbele yake. Huku anashadadia mambo yasiyomuhusu wewe unatoboa na kusonga mbele. Wapinzani hamtafanikiwa kwa jambo lolote, labda mtafanikiwa kuwaingiza...
  13. JamiiForums Tanzania Hili ni fumbo kubwa la imani, mpaka sasa Ikulu hawajaandika chochote kwenye website yao, hamna popote Rais amekubali barua aliyotumiwa.

    Huko ndani kuko kimyaaa, licha ya kwamba kuna chemka. Rais hajaandika chichote kwenye kurasa zake rasmi mtandaoni. Website ya Ikulu haijatangaza kuhusu kupokea kwa barua ya kujiuzulu ndugu john nchimbi. Msemaji Mkuu wa serikali naye yuko kimyaaaaa. Je ndugu john nchimbi ameamua kutuandikia...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Na ulaji ule ni dhahiri hamna kitu pale

    Amewahi kutokea wapi 'fighter' anayependa chakula kama huyu?!!! Anayekula mpaka anataka kupasuka?!!! Mi sielewi elewi tu. Nawasilisha Huku nikiwa na Imani mliotembea na kusoma mtanielimisha. Binafsi sijawahi kuwa na jambo nyeti la kulishughulikia halafu nikawa mfakamia chakula kiasi kile.
  15. JamiiForums Tanzania Vipi watanzania Rais wetu amezindua mradi mkubwa na bado hamna furaha?

    Watanzania wenzangu mbona hamna furaha? Mradi mkubwa kama huu mmeamua kuupotezea?. Sioni zile bashasha za furaha kama kipindi cha JPM, miradi mikubwa ambayo jpm aliizindua ilipokelewa vilivyo na kumpongeza, vipi kwa mama mbona hamfurahi?
  16. JamiiForums Tanzania MAHAKAMA hiyohiyo Kesi ya Lissu, inatoa Amri, Serikali haifuati , hamna kinachotokea. Alafu Madeleka anakamatwa kwa kutofata Amri ya Mahakama

    Ukistaajabu ya Mussa!!
  17. JamiiForums Tanzania Huyu Peter Shalulile ni kiporo cha ugali, usajili wake ni wa mhemko tu, hamna mchezaji hapo

    Huo ndio ukweli usajili wa Peter Shalulile ulikuwa zaidi wa muhemko na kutaka kukomoa tu. Kwenye hii derby kipindi cha kwanza kaonyesha failure tayari, na hata ile game ya bonanza. Mchezaji anakimbia kama jani la papai linalodondoka... huyo tukubali ni usajili wa Yanga uliofeli. Kazi yake...
  18. JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya BONGO FLEVA pasipo kumkumbuka mkali voice wounder hamna kitu

    Hawa wanaojiita wasanii wa zamani wanaandaa tamasha lao bila mkali voice wounder ni kichekesho... Leo hii Madee anapewa nafasi kubwa kwenye Bongofleva ya zamani... Hawajamleta mkali voice wounder Mkali wa Nimepende nani, Kisa cha mshenga, nimekosa, Hunifaham etc Bado nitaendelea kuamini ile...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Masoko ya M'buyuni na Manyema ya Moshi Mjini hamna parking ya magari

    Katika pitapita zangu mjini hapa, nimegundua kuwa kuna kero moja inayofumbiwa macho na Manispaa ya Moshi Mjini, masoko ya hapa Moshi mjini, hususani soko la M'buyuni na Soko la Manyema, yana ufinyu au hayana kabisa maegesho ya wateja kuegesha magari yao ili wakapate huduma sokoni. Kero hizi...
  20. JamiiForums Tanzania Usiseme hakuna hela, sema huna hela

    Kwa kweli ujenzi unafanyika pamoja na hali kuwa ngumu lakini ukitoka nje ya mji kidogo sites huku materilas yanasambazwa hadi unajiuliza hawa wennye sites zao hela wanapata wapi au wanatengeneza wenyewe yaani kiufupi nchi inapigwa kwa kweli hibi watu wanapata wapi hela!hela inapatikanaje...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…