hamas

Hamas (Arabic: حماس Ḥamās, an acronym of حركة المقاومة الاسلامية Ḥarakat al-Muqāwamah al-ʾIslāmiyyah [Islamic Resistance Movement]) is a Palestinian Sunni-Islamic fundamentalist but pragmatic, militant, and nationalist organization. It has a social service wing, Dawah, and a military wing, the Izz ad-Din al-Qassam Brigades. It won the 2006 Palestinian legislative election and became the de facto governing authority of the Gaza Strip following the 2007 Battle of Gaza. Israel and Hamas have since engaged in several wars of varying intensity. Canada, the European Union, Israel, Japan and the United States classify Hamas as a terrorist organization. Australia, New Zealand, Paraguay and the United Kingdom classify only its military wing as a terrorist organization. It is not considered a terrorist organization by Brazil, China, Egypt, Iran, Norway, Qatar, Russia, Syria and Turkey. In December 2018, the United Nations General Assembly rejected a U.S. resolution condemning Hamas as a terrorist organization.Hamas was founded in 1987, soon after the First Intifada broke out, as an offshoot of the Egyptian Muslim Brotherhood which in its Gaza branch had previously been nonconfrontational toward Israel and hostile to the Palestine Liberation Organization (PLO). Co-founder Sheik Ahmed Yassin said in 1987, and the Hamas Charter affirmed in 1988, that Hamas was founded to liberate Palestine, including modern-day Israel, from Israeli occupation and to establish an Islamic state in the area that is now Israel, the West Bank and the Gaza Strip. Since 1994, the group has frequently stated that it would accept a truce if Israel withdraws to the 1967 borders paid reparations, allowed free elections in the territories, and the right of return of Palestinian refugees.Hamas's military wing has launched attacks against Israeli civilians and soldiers, often describing them as retaliatory, in particular for assassinations of the upper echelon of their leadership. Tactics have included suicide bombings and, since 2001, rocket attacks Hamas's rocket arsenal, though mainly consisting of short-range homemade Qassam rockets with a range of 16 km, also includes Grad-type rockets (21 km by 2009) and longer-range (40 km) if unreliably aimed rockets that have reached major Israeli towns such as Beer Sheva and Ashdod, and some that have struck cities like Tel Aviv and Haifa. Human Rights Watch has condemned as war crimes and crimes against humanity both Hamas and Israel for attacks on civilians during the conflict, stating that the rationale of reprisals is never valid when civilians are targeted.In the January 2006 Palestinian parliamentary elections, Hamas won a majority in the Palestinian Parliament, defeating the PLO-affiliated Fatah party. After the elections, the Quartet (the European Union, Russia, the United Nations and the United States) made future foreign assistance to the Palestinian National Authority (PNA) conditional upon the PNA's commitment to nonviolence, recognition of the state of Israel, and acceptance of previous agreements. Hamas rejected those conditions, which led the Quartet to suspend its foreign assistance program and Israel to impose economic sanctions on the Hamas-led administration. In March 2007, a national unity government headed by Prime Minister Ismail Haniyeh of Hamas was briefly formed, but this failed to restart international financial assistance. Tensions over control of Palestinian security forces soon erupted in the 2007 Battle of Gaza, after which Hamas took control of Gaza, while its officials were ousted from government positions in the West Bank. Israel and Egypt then imposed an economic blockade of the Gaza Strip on the grounds that Fatah forces were no longer providing security there.

View More On Wikipedia.org
  1. Vyama vya siasa viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina kudai watanzania wanaoshikiliwa mateka na Hamas Waachiliwe huru

    Vyama vya siasa Tanzania viitishe maandamano kwenda ubalozi wa Palestina uliopo nchin kudai watanzania wenzetu wanaoshikiliwa mateka na Hamas waachwe huru
  2. Anthonio Guterres yuko sahihi, HAMAS sio magaidi

    Anthonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) alilazimika kuyakana matamshi yake kuhusu HAMAS baada ya kulaumiwa na Israel kwa kauli yake kuwa HAMAS ni wapigania ardhi yao iliyokaliwa kimabavu na Israel kwa miaka mingi sasa. HAMAS waliishambulia Israel na kuua wanajeshi wengi wa Israel...
  3. Disinformation kwenye vita kati ya Israel na Hamas

    Habari wanajukwaa!! Tujitahidi kuwa makini sana na hawa watu waliochagua upande kwenye hivi vita vinavyoendelea. Kuna upotoshaji wa wazi wazi na kimakusudi kuhusu vita hivi, mfano mzuri ni mwanajukwaa Kimsboy na wenzake. Nimejaribu sana kufuatilia habari anazoleta humu jukwaani kwa 97% ni...
  4. Watanzania wawili ni miongoni mwa mateka wa Hamas, yasema Israel

    Wanaukumbi. Watanzania wawili na raia mmoja wa Africa Kusini ni miongoni mwa mateka 224 wanaoshikiliwa na Hamas baada ya mashambulizi ya Oktoba 7 nchini Israel, serikali ya Israel inasema. Hakuna hata mmoja kati ya hao watatu aliyetajwa. Mamlaka ya Tanzania hapo awali ilikuwa imethibitisha...
  5. M

    Kiongozi HAMAS apongeza msimamo uliooneshwa na Russia na China katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Mkuu wa ofisi ya kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amepongeza msimamo ulioonyeshwa na Russia na China katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na hatua hayo ya kulipigia kura ya turufu azimio lililopendekezwa na Marekani la kuuunga mkono utawala vamizi wa...
  6. Gutteres UN: Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya Hamas hayakutokea bila sababu

    Wanaukumbi. Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Gutteres, katika hotuba mapema Jumanne. Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya Hamas hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Lakini malalamiko ya watu wa Palestina...
  7. M

    Katibu Mkuu UN: HAMAS wana haki ya kuwapiga Israel

    Katika hotuba yake akidai ukiukwaji wa Sheria za Kimataifa za Kibinadamu, Gutteres alisema: "Ni muhimu pia kutambua mashambulizi ya HAMAS hayakutokea bila sababu. Watu wa Palestina wamekuwa wakikaliwa kwa mabavu si chini ya miaka 56." Mwisho wa kunukuu.
  8. M

    Mateka aisifu Hamas

    Mwanamke mzee Muisrael aliyeachiliwa huru na wapiganaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema alikirimiwa na kutendewa wema katika muda wa wiki mbili alipokuwa ameshikiliwa mateka na kundi hilo la wanamapambano wa Palestina. Akizungumza na waandishi wa habari mapema...
  9. Video: Makomando wa Israel wamkamata mmojawapo wa wakuu wa HAMAS

    Taratibu tutaongea lugha moja humu..... https://twitter.com/i/status/1716646861572849818 A senior leader of the Palestinian group Hamas has been arrested in the occupied West Bank following an Israeli night raid of his home, according to news reports. A video clip posted by Al Jazeera Arabic...
  10. Hamas warudisha nyuma jaribio la mwanzo la jeshi la Israel kuingia Gaza kwa miguu

    Muda mfupi uliopita wanamgambo wa Hamas wamesema wamefanikiwa kuvirudisha nyuma vikosi vya jeshi la Israel vilivyojaribu kuingia kwenye ngome zao. Wanamgambo hao wamesema waliwarejesha nyuma askari hao wenye mafunzo na vifaa imara pale walipoingia kuanza kuziba uzio waliouvunja wiki iliyopita na...
  11. Israel yavamia nyumba ya mkuu wa HAMAS na kukamata familia yake

    Ukiamua kusababisha wenzako wasiishi kwa amani, na wewe pia tegemea familia yako iishi kwa tabu.... Ramallah, Palestinian Territories: Israeli troops on Saturday raided the West Bank home of a senior Hamas leader and detained members of his family, witnesses said. Saleh al-Aruri is the deputy...
  12. Kwanini Israel haina mpango wa kuifuta Hesbullah kama Hamas?

    KIMSINGI Hesbullah ndio tishio kubwa. Hamas ni kama genge flani ambalo wakiamua kulifuta hata kwa gharama ya maisha ya raia wasiohusika wanaweza. Ila hawa Hesbullah naona ni watat zaidi. Ni jeshi la kisasa na ndio hatarishi kwa usalama wao kuliko Hamas. Na leo nimemsoma kamanda wa IDF...
  13. L

    Lawama dhidi ya baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za magharibi kuripoti mgogoro kati ya Israel na kundi la Hamas zina msingi

    Tangu mgogoro kati ya Israel na kundi la Hamas kuzuka, vyombo vya habari vya nchi za magharibi vimekuwa vikiripoti bila uwiano kuhusu changamoto zilizoletwa na mgogoro kati ya pande hizo mbili, ambao safari hii umelipuka baada ya kundi la Hamas kufanya mashambulizi ya kuvuka mpaka na kuvamia...
  14. Kumbe hata Ulaya hakuna Uhuru wa kutoa Maoni, Wanaounga mkono Hamas na kuikosoa Israel wanapigwa rungu

    Bila shaka mkoa Pouwa Kabisa. Nilidhani ni hukuhuku kwetu Mambo ya kupigana rungu la mdomo, kuzibana na kukabana makoo ili Watu wasizungumze labda kuhusu jambo fulani. Wanaharakati na wapiga domo husemaga nchi yetu na nchi za Afrika hakuna Demokrasia ikiwemo uhuru wa kujieleza na kutoa maoni...
  15. Wadau washauri Hamas na Israel kusimamisha vita kupisha mechi ya Simba Vs Al Ahly Oktoba 20, 2023

    Tukio kubwa la ufunguzi la soka la kihistoria African football League ambalo ufunguzi wake utafanyika uwanja wa Mkapa Tanzania Oktoba 20, 2023. Tukio hilo kubwa la michuano mikubwa kuliko yote Africa ambalo litakua na ugeni mzito wa Rais wa FIFA, Rais wa CAF pamoja na marais wa vyama vingine...
  16. Licha ya ushahidi wa AL Jazeera, kwanini Hamas hawataki kuomba msamaha familia za Wapalestina 500 waliofariki kwa kombora lao kupata hitilafu?

    Si kila kombora linalorushwa na Hamas huwa linafikia target, Kuna mengine yanashindwa kuvuka yanadondokea ndani ya Gaza, Kwa lugha ya kitaalamu inaitwa "Misfire". Ifuatayo ni Video inayoonyesha kilichotokea, chanzo ni cha kuamika AL - JAZEERA 18:59 - Kombora linalorushwa kuelekea Israel lina...
  17. Jeshi la Israel (IDF) lashutumu kundi la Hamas kutumia Raia kama ngao ya kujilinda dhidi ya mashambulizi

    Kupitia ukurasa rasmi wa account ya Jeshi la Israel (IDF) kupitia mtandao wa Facebook. Jeshi la Israel limeshutumu kundi la Hamas kutumia Raia kama ngao ya kujilinda dhidi ya mashambulizi ya Israel. Intelijensia ya Israel inasema kuwa imefanya utafiti kujua makombora ya Hamas yanatoka upande...
  18. Al Jazeera inamilikiwa na Hamas? Mbona wanawatetea sana Magaidi kiasi cha kupindisha ukweli ili kujenga chuki kwa Israel

    Jana dunia nzima ilikuwa inaamini kwamba Israel kalipua hospitali lakini ajabu ni kwamba muda wote huo Al Jazeera alificha video za ushahidi kwamba bomu lililorushwa na Hamas lilijamu angani na kushuka kwa kishindo kwenye hospitali ya Gaza kupelekea mlipuko na vifo vya wapalestina kibao. Hii ni...
  19. Ushahidi unaoonesha jinsi Kombora lililorushwa na Hamas lilivyoshindwa kuendelea na safari likatua Hospitalini na kuua mamia

    Mji wa Gaza unarekodiwa masaa 24, kwenye mida ya 18:59 live footage ilionyesha Hamas wameanza kurusha Makombora kuelekea Israel lakini moja ya kombora likapata hitilafu (misfire) likadondoka kwa kishindo kwenye Hospitali ya Al-Mamamani na kusababisha mlipuko, Baada ya dakika 11 (19:10) Hamas...
  20. Mapicha: Majengo ya Gaza yamebaki magofu, yaani ghost town, jamani HAMAS waliwaza nini

    Hadi nimeogopa, Israel kwa kweli sio ya kuchokozwa, kha! Yaani wakazi wa Palestina wataikumbuka hii miaka 100 ijayo, jinsi walivyoponzwa na magaidi ya kidini. Na hapo bado wanasema kuna operesheni, wajuvi wa mambo mtujuze nini kingine kimebaki cha kupigwa hapa...Hadi misikiti imesambaratishwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…