hamas

Hamas (Arabic: حماس Ḥamās, an acronym of حركة المقاومة الاسلامية Ḥarakat al-Muqāwamah al-ʾIslāmiyyah [Islamic Resistance Movement]) is a Palestinian Sunni-Islamic fundamentalist but pragmatic, militant, and nationalist organization. It has a social service wing, Dawah, and a military wing, the Izz ad-Din al-Qassam Brigades. It won the 2006 Palestinian legislative election and became the de facto governing authority of the Gaza Strip following the 2007 Battle of Gaza. Israel and Hamas have since engaged in several wars of varying intensity. Canada, the European Union, Israel, Japan and the United States classify Hamas as a terrorist organization. Australia, New Zealand, Paraguay and the United Kingdom classify only its military wing as a terrorist organization. It is not considered a terrorist organization by Brazil, China, Egypt, Iran, Norway, Qatar, Russia, Syria and Turkey. In December 2018, the United Nations General Assembly rejected a U.S. resolution condemning Hamas as a terrorist organization.Hamas was founded in 1987, soon after the First Intifada broke out, as an offshoot of the Egyptian Muslim Brotherhood which in its Gaza branch had previously been nonconfrontational toward Israel and hostile to the Palestine Liberation Organization (PLO). Co-founder Sheik Ahmed Yassin said in 1987, and the Hamas Charter affirmed in 1988, that Hamas was founded to liberate Palestine, including modern-day Israel, from Israeli occupation and to establish an Islamic state in the area that is now Israel, the West Bank and the Gaza Strip. Since 1994, the group has frequently stated that it would accept a truce if Israel withdraws to the 1967 borders paid reparations, allowed free elections in the territories, and the right of return of Palestinian refugees.Hamas's military wing has launched attacks against Israeli civilians and soldiers, often describing them as retaliatory, in particular for assassinations of the upper echelon of their leadership. Tactics have included suicide bombings and, since 2001, rocket attacks Hamas's rocket arsenal, though mainly consisting of short-range homemade Qassam rockets with a range of 16 km, also includes Grad-type rockets (21 km by 2009) and longer-range (40 km) if unreliably aimed rockets that have reached major Israeli towns such as Beer Sheva and Ashdod, and some that have struck cities like Tel Aviv and Haifa. Human Rights Watch has condemned as war crimes and crimes against humanity both Hamas and Israel for attacks on civilians during the conflict, stating that the rationale of reprisals is never valid when civilians are targeted.In the January 2006 Palestinian parliamentary elections, Hamas won a majority in the Palestinian Parliament, defeating the PLO-affiliated Fatah party. After the elections, the Quartet (the European Union, Russia, the United Nations and the United States) made future foreign assistance to the Palestinian National Authority (PNA) conditional upon the PNA's commitment to nonviolence, recognition of the state of Israel, and acceptance of previous agreements. Hamas rejected those conditions, which led the Quartet to suspend its foreign assistance program and Israel to impose economic sanctions on the Hamas-led administration. In March 2007, a national unity government headed by Prime Minister Ismail Haniyeh of Hamas was briefly formed, but this failed to restart international financial assistance. Tensions over control of Palestinian security forces soon erupted in the 2007 Battle of Gaza, after which Hamas took control of Gaza, while its officials were ousted from government positions in the West Bank. Israel and Egypt then imposed an economic blockade of the Gaza Strip on the grounds that Fatah forces were no longer providing security there.

View More On Wikipedia.org
  1. Jinsi mwanadiplomasia wa Hamas alivyotekwa jijini Brussels na Majasusi wa Mossad wakati wa mkutano wa U.N

    Brussels, Ubelgiji. Tarehe 3 Novemba 1995. Yupo Mwanadiplomasia mmoja wa Hamas siku hii alikuwa anatoka kwenye mkutano wa Umoja wa Mataifa uliokuwa ukijadili kuhusu wakimbizi wa Palestina. Sasa akawa Anaangalia saa yake ya mkononi akifikiria kuhusu sehemu aliyopanga kwenda kula chakula cha...
  2. GRAPHIC-VIDEO-Magaidi wawili wa Hamas wauawa huko Gaza

    Magaidi waliokuwa wanatafutwa na Majeshi ya Israel kwa mauaji ya Oct 07,2023 hatimaye nao jana walipatikana na kuuwawa walipokuwa kwenye Gari lao. Adiosamigo gallow bird zitto junior na 100 others Tunawasikia wakiongea lugha ya majini wengine lugha hiyo hatuijui kwa faida ya wengi tunaomba...
  3. Makosa makubwa ya Iran ni kuasisi tukio la Oktoba 7, 2023 kupitia Hamas

    Mauaji ya Oktoba 7: Kosa Kubwa la Kijeshi 1. Mkakati wa Mhimili wa Upinzani Mashambulizi yalipangwa kulazimisha Israel kuingia Gaza kwa uvamizi wa ardhini. Lengo lilikuwa kuchochea hasira za Waarabu na kuanzisha mashambulizi ya pande nyingi kutoka washirika wa Iran. Iran iliwekeza zaidi ya...
  4. Magaidi wa Hamas huko Gaza wanapata taabu sana tuwaombee tu!!!

    Magaidi wa Hamas baada ya kusimamisha mapigano walijikusanya kwenye Gorofa moja ili wajipange upya kuishambulia Israel. Matokeo yake yalikuwa mabaya sana kwa waliuwawa wote waliokuwa ndani ya jengo hilo na sasa kuna uwezekano kama ni kweli wamekabidhiwq wale mabikira fake ili wawabikiri!!!!
  5. Magaidi wa Hamas sasa hivi wanapata kipondo cha Mbwa mwili huko Gaza!!!

    Wakati Iran anatandikwa na Marekani wakati huohuo Magaidi wa Hamas nao wanapata kipigo cha mbwa-mwili huko Gaza!!!! Safari hii Magaidi wa Hamas,Hezbollah, Houth na Bwana wao Iran wanapata kipigo kwa pamoja!!! Yajayo 6anafurahisha!!! https://x.com/vividprowess/status/2017590868220280929?s=61
  6. BENJAMIN NETANYAHU aweka mstari mwekundu kwa Hamas na Iran

    🚨 WAZIRI MKUU NETANYAHU: aweka mstari mwekundu kwa Hamas na Iran. Akizungumza katika kikao cha bunge, Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu alielezea msimamo wa Israeli kwa maneno yasiyopingika: • Wanajeshi wa Uturuki au Qatar hawatakanyaga Gaza • Katika awamu ya pili, Hamas itanyang'anywa silaha na...
  7. Uislamu na Amani, asema mtoto wa Hamas

  8. M

    Kiongozi wa Hamas hakamatwi kama kuku

    Nchi ya kiislam hawezi kiongozi wake kukamatwa kama kuku kama vile Maduro.
  9. Hatimaye Magaidi wa Hamas wakiri Makamanda wao Mahiri waliangamizwa bila huruma huko Gaza!!!!

    Hamas inatangaza rasmi safu ya maafisa wakuu ambao waliangamizwa katika miezi ya hivi karibuni (kwa mpangilio kutoka kushoto kwenda kulia): Abu Ubaida - Msemaji wa Hamas Ra'ad Saad - Mkuu wa wafanyakazi wa uzalishaji Hakim Alais (Abu Omar Al-Suri) Mohammad Shabana - Amiri wa Rafah Mohammad...
  10. Q

    GenZ: CCM hakina tofauti na kikundi cha kigaidi cha HAMAS, kinafadhili vikundi vya kigaidi, dunia ikipige marufuku

    Chama cha Mapinduzi CCM kimeanzisha, kinafadhili, kuendesha, na kulinda vikundi vyenye silaha nchini chini ya tawi lake la vijana UVCCM. Makundi haya yanatumika kuendesha utekaji, mateso kwa Watanzania wasio na hatia. CCM kupitia vikundi hivi vya kigaidi kinawanyanyasa na kuwateka viongozi wa...
  11. Sababu za kuwapinga Hamas japokuwa Mimi Muislamu na wanaonewa ndio hizohizo ninazotumia kupinga Maandamano pamoja na utanzania wangu.

    Moja kwa moja. Baada ya tukio la October 7 Hamas kushambulia Israel nilikuwa kinyume na Waislamu wengi wa Jf katika mijadala ya humu tokea siku ya kwanza , na supporters wa Hamas walinipinga wakidai. 1. WaPalestina wanaonewa kila siku kwa miaka mingi tena kwa dhuluma hivyo lazima wapambane...
  12. Jeshi la IDF linaendelea kuwashambulia Hamas

    Baada ya Hamas kushindwa vita waliyoianzisha wao wenyewe Oct 07,2023 sasa hivi wanafuatwa popote walipo na kuuwawa na wengine waliokuwa wamebaki kwenye mahandaki Njaa imeanza kuwatoa huko na wanaojisalimisha wanatiwa mbaroni na wanaokaidi wanaangamizwa papa kwa papo. Sasa hivi hakuna...
  13. Hatimae Mwili wa Marehemu Joshua Mollel warejeshwa na Magaidi wa Hamas wenye vina saba na Chama Cha Mauwaji

    Joshua Loitu Mollel (Picha Kwa Hisani ya Maktaba) Mabaki yaliyorejeshwa kutoka Gaza hadi Israel usiku kucha yalitambuliwa kuwa ya raia wa Tanzania Joshua Loitu Mollel, mamlaka ya Israel ilisema Alhamisi. Wawakilishi wa Jeshi na Wizara ya Mambo ya Nje waliifahamisha familia ya Mollel kwamba...
  14. Magaidi 8 wa Hamas waangamizwa huko Gaza!

    🔴IDF imewaangamiza magaidi waliohusika na utekaji nyara wa Noa Argamani, Avinatan Or, na Eitan Mor kwenye tamasha la muziki la Nova. Sasa inaweza kufichuliwa kwamba magaidi wanane waliojipenyeza katika ardhi ya Israel na kushiriki katika Mauaji ya kikatili ya Oktoba 7, miongoni mwao wakiwa...
  15. M

    Tofauti na Iran na vikundi vyake, Israel hapigani vita bali analenga viongozi na mifumo yao

    Huwa nawashangaa sana watu wanaosema Israel inapiga vita, Israel haipigani vita huwa inajilinda, wanaopiga vita ni kina Iran na vikundi vyake. Israel wana deal na targets kubwa zaidi kama wakuu wa jeshi wa Iran, Houthi, Hezbollah, na vikundi vingine kibao na hata manaibu wakuu wa majeshi, wakuu...
  16. M

    Hamas walijipenyeza hadi mashirika ya UN, Maandamano yapo

    CCM wanaotaka maandamano wako hadi kamati kuu... Mwaambieni Msando hana uwezo wa kuzuia kinachokuja mbele
  17. Hamas waendeleza mateso kwa raia wa Gaza dunia iko Kimya!!

    Aliyemsifia Netanyahu na Trump kuruhusu misaada ya chakula avunjwa mikono na miguu. Magaidi kwa sasa wanauana wao kwa wao na dunia wako kimya kabisa!!
  18. Rais wa Marekani Donald Trump awaonya tena Hamas

    Rais wa Marekani Donald Trump ameonya kikundi cha Hamas kwamba kama wataendelea kwenda kinyume na mkubaliano basi ataruhusu IDF irudi tena kufanya mashambulizi
  19. GRAPHIC VIDEO: Baada ya Magaidi wa Hamas kushindwa vita huko Gaza waanza kuua raia kisingizio walikuwa wanasaidia Israel!!

    Onyo la picha! Mara tu baada ya kutangazwa kusitishwa kwa mapigano huko Gaza, Hamas walichukua wanaume 8 ambao waliwashuku kushirikiana na Israel bila kuwa pele ka Mashaka ani wakawafunga vitambaa usoni na kuwapiga risasi mbele ya umati mkubwa wa "raia wasio na hatia" waliokuwa wakishangilia...
  20. Baada ya Hamas kuvunja makubaliano Israel yasema itawanyoosha

    Magaidi wa Hamas kama ilivyo kawaida yao wamevunja makubaliano kwa kuleta Maiti za watu 3 na mzoga wa mpalestina mmoja kitu ambacho ni utovu wa nidham Kwenye makubaliano ilitakiwq waachilie Maiti za wayahudi 28 waliowateka Oct 07,203 cha ajabu jana walileta maiti 4 tu kinyume na makubaliano na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…