halmashauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    Rais Magufuli amsamehe Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Rufiji aliyetoa taarifa ya uongo kuhusu ubovu wa gari la wagonjwa!

    Rais Magufuli amemsamehe kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji bwana Kilimba aliyetoa taarifa za uwongo kwa mheshimiwa Rais kwamba gari la wagonjwa ni bovu. RPC wa Pwani amesema utaratibu wa kumfikisha mahakamani mkurugenzi huyo ulishakamilika ila bwana Kilimba amepata bahati ya mtende ya...
  2. Kuna tatizo Halmashauri ya Jiji la Dodoma la watumishi wengi kulipwa mshahara bila kufanya kazi

    Nimekuwa nafuatilia mwenendo wa utendaji kazi kwa watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma. Watumishi wengi wanakaa nyumbani bila kwenda Kazini au wanaenda kuripoti asubuhi na kuingia mitaani kufanya shughuli zao binafsi. Nampongeza JPM kwa kutokutoa vibali vya kuajiri watumishi wapya...
  3. N

    Halmashauri Kuu ya Taifa Chama cha Mapinduzi, tunaomba mnusuru mpasuko unaoletwa na Viongozi wa CCM Mkoa wa Tabora

    Nikiwa kama mwanachama wa muda mrefu naandika kwa masikitiko makubwa sana, mambo yanayofanywa na uongozi wa CCM mkoa wa Tabora wakiongozwa na katibu wa CCM mkoa. Naamini jukwaa hili ndio njia pekee ya kufikisha malalmiko ambayo yataweza kufika kwa urahisi kwenye uongozi wa CCM Taifa na hatimaye...
  4. Halmashauri Kuu ya ACT-Wazalendo imeketi Dar es Salaam

    Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha ACT-Wazalendo kinaendele muda huu Hoteli ya Lamada jijini Dar-es-salaam Tanzania. Leo Halmashari Kuu inapitia na kupeleka majina ya wagombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar kwa Mkutano Mkuu utakaofanyika Agosti 05, 2020 katika...
  5. Kibiti: Rais Magufuli aamuru gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti ligeuzwe kuwa ambulance

    Rais Magufuli akiwa Ikwiriri wakati akitoka kwenye Mazishi ya Mzee Mkapa, baada ya kusikiliza kero za wanaikwiriri hususani suala zima la afya ameamuru gari la Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibiti ligeuzwe kuwa ambulance mpaka hapo halmashauri hiyo itakapopata machungu na kutengeneza...
  6. Don Nalimison asimamishiwa Mishahara na Serikali Halmashauri ya Jiji la Mwanza

    Wakati Watumishi wote Wamepokea Mishahara yao tangu Jana ijumaa. Mimi Mpaka Leo sijapata. Hii ni dharau kubwa sana kwa Taifa maana sijawahi kupewa barua ya kufukuzwa kazi au kusimamishwa kazi. Tunaongoza Nchi kwa kutumia meno ya mabua. Wapinzani chukieni Nchi yenu CCM na IKULU yao imeshindwa...
  7. GE2020 Singida Magharibi na Halmashauri ya Wilaya Ikungi msiachie lulu hii

    Na Fundi madirisha, Nawasalimu sana ndugu zangu wananchi wa jimbo la Singida Magharibi. Mwafanga naa! Amuchii! Kwa ufupi ndugu zangu wa jimbo la Singida Magharibi hasa wapiga kura za maoni nataka niwadokezee kidogo, mna mtu mmoja mpambanaji na ni mtu wa kazi sana anaitwa HAMISI LISSU MAHANJU...
  8. GE2020 Chama cha Labour Tanzania (TLP) chamuunga mkono Rais Magufuli, wasema "Hatuna makubaliano yoyote na CCM, Kiherehere hiki ni Uzalendo tu"

    " TAMKO RASMI LA CHAMA CHA LABOUR TANZANIA (TLP) KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 " Ndugu Watanzania wenzetu, Sisi wanachama,wafuasi na wapenzi wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kwa kauli moja ya kizalendo kwa nchi yetu na kwa kuzingatia Ibara ya 29.0 ya...
  9. Hussein Mwinyi kukosa Kura zote za Zanzibar za Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) inafikirisha sana. Haki ya Wazanzibar kuchagua iko Wapi?

    Matokeo ya yaliyompa ushindi Dr Hussein Mwinyi katika kikao Cha halmashauri k ya chama nec yalikuwa Kama ifuatavyo ,Nahodha 16, Khalid 19 jumla 35 ambazo ndio idadi kamili ya wajumbe wa Zanzibar na kura 129 Za Hussein Mwinyi ambazo na za wajumbe wote wa Tanzania barabara ,haki ya Wazanzibar...
  10. GE2020 Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM: Dkt. Hussein Ally Mwinyi achaguliwa Kugombea Urais Zanzibar kupitia CCM. Membe afukuzwa rasmi

    UPDATES 13:15hrs: Matokeo ya Kura za ya wanachama watatu waliokuwa wakiomba ridhaa ya kuwania urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM. 1. Dkt Hussein Ali Hassan Mwinyi -kura 129 (78.65%) 2. Dkt Khalid Salim Mohamed -kura 19 (11.58%) 3. Shamsi Vuai Nahodha -kura 16 (9.75%). Zanzibar 2020 - Wasifu...
  11. J

    UTEUZI: Rais Magufuli ateua Mkuu mpya wa Wilaya ya Nzega na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Hanang

    LEO Julai 9, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amemteua Kamanda wa Kikosi cha Polisi TAZARA, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Advera John Bulimba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega mkoani Tabora kuchukua nafasi ya Godfrey William Ngupula. Mbali na uteuzi wa ACP Bulimba...
  12. J

    RC Chalamila avunja mkataba wa Serikali na JWTZ wa ujenzi wa ofisi za halmashauri za Busokelo

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amevunja mkataba wa ujenzi wa jengo la halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya kati ya serikali na kampuni ya JWTZ Mzinga. Chalamila amesema ujenzi huo ulioanza mwaka 2018 umekuwa ukisuasua hivyo pamoja na kwamba wajenzi hao ni chombo cha dola hawezi...
  13. I

    Mheshimiwa Rais, naomba kazi ya Ukurugenzi wa Halmashauri

    Mheshimiwa Rais, Ninaomba kazi ya ukurugenzi wa halmashauri hasa katika maeneo ya kilimo au wafugaji kwasababu ninataka kutumia uzoefu na elimu yangu katika kuimarisha ushirika wa uzalishaji mali katika kilimo au ufugaji. Nina uzoefu wa muda mrefu katika kujenga uwezo wa taasisi ndogo ndogo za...
  14. Ijue Muleba, halmashauri tajiri ambayo iliwahi kumiliki Meli ikaliwa na mchwa

    Wana JF, Halmashauri ya Muleba ndiyo inaoongoza kuwa na utajiri mkubwa kuliko wilaya zote za Kagera kimapato. Wilaya hii ina majimbo mawili, Muleba Kaskazini na Muleba Kusini. Sehemu kubwa ya utajiri wake ni kutokana kilimo cha kahawa, ndizi, mihogo, Karanga, maharage na mtama, pia wilaya hiii...
  15. E

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Magu tupe ufafanuzi wa hii barua kwa kuwa imekutaja

    Serikali imesema masaa mawili ya ziada hayana tija tena baada ya utafiti. Mbona baadhi ya shule bado wanachangisha? Nawasilisha tafadhari ☝️
  16. Baraza la madiwani Halmashauri ya Rombo lahamia CCM

    Katika muendelezo wa opersheni kali ya kuifuta Chadema mwenyekiti wa UVCCM Taifa amewapokea madiwani zaidi ya 27 wa baraza la madiwani halmashauri ya Rombo ambao wamajiunga CCM na kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais Magufuli. Huu ni mwanzo tu...kazi inaendelea
  17. Je, yaliyotokea sekta ya Korosho na Halmashauri kutokea pia kwenye Sekta ya Utalii?

    Amani iwe kwenu wadau! Kwa kumbukumbu zangu kuna mabadiriko ya sheria yaliyohusisha Fedha za zao la korosho na vyama vya ushirika. Mabadiriko yale yalipingwa vikali sana na wabunge wa kusini akiwemo Nape na kupelekea Hawa Ghasia kutumia diplomasia kujiuzuru uwenyekiti wa kamati moja ya Bunge...
  18. B

    GE2020 Mkakati wa kumg’oa Mwenyekiti Halmashauri ya Siha waiva. Sasa kung’olewa rasmi kesho, vita ya Ubunge yawa sababu

    Mpango wa kumg’oa mkiti wa halmashauri ya Siha waiva,sasa kung’olewa rasmi kesho . - Vita vya ubunge vyatajwa kama sababu ya kung’olewa Mwandishi wetu, Siha Mkakati wa kumvua madaraka Mwenyekiti wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro,Godson Ngomuo uliokuwa ukiratibiwa hivi karibuni na...
  19. Nafasi za kazi ya dereva wa mitambo daraja II, Halmashauri ya mji Geita

    TAREHE: 26/05/2020 YAH: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA DEREVA WA MITAMBO DARAJA II – NAFASI 3 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita anawatangazia nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa waombaji wenye sifa za kujaza nafasi za uendeshaji wa mitambo ya “Roller, Excavetor na Grader” kama...
  20. Fedha ya Serikali inavyopigwa na Halmashauri kupitia Waalimu

    Pamoja na fedha ya Serikali kuwekewa Ulinzi mzito kwenye awamu hii ya tano lakini bado wapo wajanja wanaendelea na upigaji tena kiulaini. Ipo hivi, huu mchezo unapigwa Halmashauri za Wilaya/Manispaa. Wakitaka kupiga hela wataanza kutoa Taarifa kwa wafanyakazi katika Wilaya husika kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…