Mimi ni fundi ujenzi wa kiwango cha kati nina vijana wa kazi 20,
MSAADA
september 2022, mwekezaji Mzawa alipewa eneo la wazi Ununio Beach na mmiliki Halmashauri ya manispaa kinondoni kwa kufuata taratibu zote na kusaini mkataba , nyaraka za risiti nimeziona na malipo ya yalifanyika kwa control number.
Baada ya mimi na vijana wangu kuanza kazi , ujumbe mzito ulifika wa serikali ya mtaa ukiongozwa na Diwani Urio, wakatoa maagizo kusimamisha shughuli zote zinazoendelea , tayari mwekezaji mzawa alikuwa ameisha chimba kisima , kafunga taa za solar sambamba na maombi ya maji na umeme.
Nilimpa taarifa mwekezaji mzawa na akafanya juhudi za kwenda kupata ufafanuzi serikali ya mtaa na kumuona Mh Diwani , akaambiwa lazima awe na kibali.
Mwekezaji mzawa alikwenda Manispaa kwa shida sana alipewa control number ya kulipia Kibali na akalipa kwa wakati na akapewa kabarua ya GO A HEAD ujenzi uendelee, hapo sasa imeisha ingia october.
Ghafla tena Mr Diwani ametia timu kwa nguvu kubwa akiambatana na mgambo na kuamrisha ujenzi usimame mara moja na kutoa notisi ya maadishi , imekuwa changamoto kwangu na vijana wangu, pia mwekezaji
ameisha ingia gharama nyingi sana japo sijui kiasi lakini mazingira yanaonyesha tu.
Sasa wadau eneo ni la Manispaa ya kinondoni na mwekezaji mzawa amelipa gharama zote za awali tena kwa kutumia control number kutoka manispaa ya kinondoni na mkataba kusainiwa , makadilio ya kodi wameisha kubaliana, Mh Diwani Urio anapata wapi nguvu ya kumsimamisha Mwekezaji mzawa na kuwanyima mapato Halmashauri ya manispaa ya kinondoni?
Wadau naombeni mwongozo nikamshauri tajiri yangu (mwekezaji mzawa) ili kazi iendelee mimi na vijana wangu tupate rizik.