Wakuu je Halmashauri wanatoa huduma siku ya Karume day?

Wakuu je Halmashauri wanatoa huduma siku ya Karume day?

1Africa54

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2025
Posts
464
Reaction score
549
Wana JAMII FORUM naomba kuuliza je halmashauri huwa wanafanya kazi siku ya KARUME DAY?

KUNA mwajiriwa mpya wa serikali anahitaji kuripoti siku ya jumatatu nayo inaangukia karume day je watampokea..,?
 
Hio sio siku ya kazi kaka atulie guest house.. mpaka jumanne
 
Back
Top Bottom