halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hii ndio maana halisi ya biashara ya nyoka inalipa

    Mzigo ndio hivyo kama unavyoonekana kilimo cha nyoka kinalipa.
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Miundombinu wezeshi ni chanzo halisi cha mapato katika hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (haswa kwa serikali)

    Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
  3. JamiiForums Tanzania SoC04 Miundombinu wezeshi ni chanzo halisi cha ukusanyaji na upatikanaji wa kodi hifadhi ya mlima Kilimanjaro (kwa serikali)

    Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
  4. JamiiForums Tanzania Matukio yaliyowahi kutokea katika Maisha halisi ukaamini uwepo wa Mungu

    Ndugu Wana JF, Nataka tushirikishane kuhusu matukio ambayo yaliwahi kutokea yakafanya niamini uwepo wa Mwenyezi Mungu. Mimi binafsi, kama muumini wa dini ya RC, kuna kipindi mdogo wangu aliwahi kusumbuliwa sana na ushirikina. Kwa kuwa imani yangu ilikuwa 50 kwa 50, nilikuwa nampeleka mpaka kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Tabia halisi za Mtanzania

    Tuorodheshe tabia za waTanzania halisi 1 Anakukopa hela kiupole ila ukidai automatically unakua mtu mbaya kwake asiyefaa 2 Kabla hajajua cheo chako au wadhifa wako anakutreat kama takataka ila akisikia wew mtu flan ghafla treatment inabadilika 3 Mkiwa mnamiadi maybe kuonana au mnaonana saa...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato fahamuni kuwa Yesu ndiyo hekalu halisi lililopo mbinguni haiwezekani akaingia kwenye hekalu lake mwenyewe

    Wasabato fahamuni kuwa Yesu ndiyo hekalu halisi lililopo mbinguni haiwezekani akaingia kwenye hekalu lake mwenyewe Wadau hamjamboni nyote? Mada yangu ni habari ya hekalu la mbinguni na tafsiri yake kama inavyofundishwa na Wasabato Nabii mke wa Kanisa la Wasabato Duniani alidai Yesu Kristo...
  7. JamiiForums Tanzania SoC04 Wahitimu wa kidato cha sita wanapojiunga JKT watengewe muda wa kuishi kwenye jamii halisi za Kitanzania

    Jeshi la kujenga taifa (JKT) ni moja ya chombo kilichoundwa tarehe 10 Jul, 1963 baada ya nchi yetu kupata uhuru. Lengo kuu ni kuelimisha, kudumisha uzalendo, maadili na nidhamu ya vijana na kuwafanya wawe raia wanaopenda kutumikia na kuiilinda nchi yao. Mara baada ya kumaliza kidato cha sita...
  8. L

    JamiiForums Tanzania SoC04 Maisha Halisi

    ♦️Binadamu ni viumbe wa ajabu sana. Watu wakikuona una uwezo wa kufanya jambo fulani, au pengine wewe ni miongoni mwa watu ambao una ushawishi fulani kwenye Jamii, watataka kukutumia ili kufanikisha mambo yao, na baada ya kufanikisha hayo mambo yao wewe uliekua nyuma ya hayo mafanikio yao kamwe...
  9. G

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tutakayo: Bei ya nauli ya SGR izingatie hali halisi ya uchumi wa wananchi

    Rai yangu ni kuona bei ya nauli zinazopangwa na mamlaka husika zinazingatia hali ya maisha ya wananchi ili reli hii iwafae wengi kutokana na usalama wa safari, safari kutumia muda mchache pia kutokana na kutumia nishati mbadala ya umeme badala ya mafuta sababu tumekuwa tukishuhudia kupanda kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Sababu halisi kwanini ni ngumu sana kwa Mbantu kufanikiwa kwenye biashara

    Hata hivyo, miongoni mwa wabantu wapo baadhi ya wabantu ambao wamefanikiwa ku walk out of this curse. Mfano wachagga, wakinga etc. Ila wengi wa wabantu hawawezi kabisa kufanikiwa kwenye biashara. Sababu kuu ni hii hapa chini: Wabantu wanapokuwa wanafanya biashara huwa wanashindwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndio maana au tafsiri halisi ya wadudu

    Hapo vip!! Nimeona niwape tafsiri halisi ya hili jina la wadudu kutokana na waazilishi wenyewe. Kama unavyoelewa Arusha ni mji ambao ukikaa vibaya unasababishiwa mauvi chap. Kwanza kwa tafsiri ya kawaida mdudu ni kiumbe kidogo ambayo kinaweza kuishi ndani ya kiumbe kingine..mfano kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Watu wanadhani umri wangu ni mkubwa tofauti na umri wangu halisi, je sababu yaweza kuwa nini?

    Nimekuwa nikipewa salamu na vijana wenzangu mpaka inafika pahala ncheka tu na kushindwa ku respond, wengi wanadhani umri wangu ni mkubwa kufika 30. Kumbe bado hata 25 sijafika. Huwa najiuliza sababu ni nini, kama umbo la mwili sina umbo kubwa kivile. Labda wadau mnipe mawazo yenu maana hii...
  13. JamiiForums Tanzania Utafiti wa Mwananchi ni matokeo ya ombwe la utafiti halisi wa maoni ya wananchi

    Kabla ya utawala wa awamu ya tano kuingia madarakani kulikuwa na taasisi binafsi za utafiti zilizokuwa zinafanya utafiti wa masula ya kijamii kwa raia na kutoa matoke ya hapa na pale. Waliokuwa wanafuatilia watazikumbuka Twaweza, IPSOS, Afrobarometer na REDET. Japo matokeo ya utafiti wa taasisi...
  14. JamiiForums Tanzania Watanganyika ndio Wazenji halisi

    Naam, watanganyika ndio wazenji halisi, siyo waunguja na wapemba kama inavyoaminika kwa wengi! Bendera ya iliyokuwa Jamhuri ya Watu wa Tanganyika Nasisitiza tena, watu wa Tanzania bara ndio wazanzibari orijino. Asili ya neno Zanzibar ni maneno mawili ya kiarabu. "Zanj" ikimaanisha 'watu...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa la wasabato ndio pekee linalofata neno Maana halisi ya Mke wa ujana wako. Ndoa zifungwe wote mkiwa wadogo

    Makanisa mengi ya wakristo leo hasa makubwa kama RC na KKKT mafundisho yao hayafundishi umuhimu wa ndoa kwa vijana wao. Wasabato ndio waliobaki kusisitiza hilo. Tazama picha za maharusi wao mume na mke wanavyokuwa wadogo Ndoa kama hii ni rahisi kujenga bond kubwa ya upendo maana mke na...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ni Yanga sio Simba, maana ya Kikosi kipana ndio hii! Hakuna Pacome, Aucho na Yao, unatoa sare na Mamelodi iliyokamilika kila idara

    Baada ya kikosi kinachoanza kutoka Leo Kuna mbumbumbu wengi walianza kushangilia na kupiga miluzi kwenye vibanda umiza wakisema yanga anachakazwa goli za kutosha Leo! Baada ya kutomuona pacome, yao yao na aucho, lakini wakashindwa kujua ya kwamba yanga inacheza kitimu zaidi na sio kutegemea...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Just Imagine Yanga imecheza bila key players na imetoa Draw kwa Mamemlodi, Ndio maana halisi ya kikosi kipana

    Nilipokiona kikosi hakina key platers kina Aucho, Yao na Pacome niliwacheka sana Yanga kwamba wamevamia mtumbwi wa vibwengo, Nilikdiria hazipungui nne 4G ila mambo yamekuwa tofauti. Japo mmecheza kwa kupaki basi na kuzidiwa possesion tena nyumbani 😂 ila mmeweza kuzuia aibu ya kufungwa, salute...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna wakati unahisi kama vile ni ndoto ila sio ndoto, ndiyo maisha halisi

    Kuna muda kila kitu kina kua shakarabaghara. Uchumi Mahusiano Basi tu
  19. JamiiForums Tanzania Maana halisi ya Futari na daku

    KWA HISANI YA USTAADH Etugrul Bey Kuna post moja nimeiyona ingawa ilikuwa inazungumzia kwaresma lakini mwandishi wa post hiyo alikuwa na lengo la kukashifu dhana nzima ya Futari na Daku. Kwake yeye Kwa mujibu wa Imani yao wanakula chakula chochote kile tofauti na watu wa Imani nyingine ambayo...
  20. JamiiForums Tanzania Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam ningependa kuendelea na mada yangu hapa jukwaani. Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Wakati raisi Samia alipoingia madarakani, haikupita hata miezi sita akaanza pangua pangua ya viongozi wakubwa pale ikulu akiwemo aliekuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…