Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee, ambaye alifukuzwa uanachama wa chama hicho mwaka 2020 pamoja na wabunge wengine 18 wa Viti Maalum, amerejea rasmi ndani ya chama hicho baada ya takribani miaka sita tangu kuondoka kwake.