hali

Altaf Hussain Hali (1837 – 31 December 1914) (Urdu: الطاف حسین حاؔلی‎ – Alṭāf Ḥusain Ḥālī), also known as Maulana Khawaja Hali, was an Urdu poet and a writer.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dkt. Agnes Kijazi astaafu Ukurugenzi wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA)

    Unapoitaja Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini TMA jina linalokujia kwa haraka ni DK Ages Kijazi Mtaalam wa tasnia ya utabiri wa Hali ya Hewa kwa miongo kadhaa sasa. Licha ya ubobevu wake wa masuala ya Hali ya Hewa, DK Kijazi ambaye pia ni Makamu wa tatu wa Rais wa Shirika la Hali ya Hewa Duniani...
  2. Mr IQ

    JamiiForums Tanzania Kwanini watumishi wengi wa Serikali wana hali duni kiuchumi?

    Habari za kazi wanajamvi, Kiuhalisia swala la watumishi kuwa na madeni kila kona ni jambo la kawaida sanaaa, na hili linanipa maswali mengi sana bila majibu kwasababu watumishi wa vyeo vya juu na kwa uchache wanahali nzuri ya kiuchumi ila wengi hawana haki nzuri Tatizo liko wapi? Na nini...
  3. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania La umeme Watanzania ni waelewa, wavumilivu na linavumilika. Assuarance hii from "The Horse's Mouth" ni toshelevu. Lakini la maji linavumilika?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za " Kwa Maslahi ya Taifa", makala ya leo ni kuzungumzia kidogo hali ya umeme nchini ambayo kwa sasa inapitia changamoto mbalimbali mojawapo ni kupungua kwa kina cha maji katika mabwawa ya uzalishaji wa umeme, hili...
  4. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Wanawake hiyo haki yakusema mmetuvumilia sisi wanaume na hali zetu ngumu mnaitoaga wapi?

    Hi Mwanamke how unawezaje basi sema hata tumevumiliana maana hata na wewe pia nilikukuta una hali ngumu ya kiuchumi
  5. Heavy User

    JamiiForums Tanzania Hali imekuwa mbaya, mtaani kazi kubwa halafu malipo hayatoshi kununua vyakula. Vyakula bei juu

    Majonzi. Huwa sina hobby kabisa na siasa, lakini kutokana na hali ngumu ya maisha ya sasa, acha tu niwakilishe shida tunazopata wananchi wa kawaida, shida hii inatupata wananchi wengi kwasababu 75% ya wananchi ni wa kipato cha kawaida. -Wananchi wengi siku hizi hawawezi kujiwekea akiba...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa wajitafakari

    Mamlaka ya utabiri wa hali ya hewa Tanzania TMA inabidi ijitafakari juu ya taarifa zake. Ni muda mrefu Sasa mamlaka hii imekuwa ikibahatisha juu ya taarifa zake na nyingi zimekuwa zikiiletea nchi hasara kubwa. Wakulima wanahitaji taarifa za uhakika juu ya maendelao ya hali ya hewa ili waweze...
  7. Execute

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia ameshindwa kazi basi ajiuzulu maana hali inazidi kuwa mbaya

    1. Umeme umekuwa bidhaa adimu kwenye maeneo mengi huku kila siku kukiwa na matamko ya megawati. 2. Upatikanaji wa maji safi na salama imekuwa ni anasa maeneo mengi na hasa katika jiji la Dar es salaam. 3. Vifurushi vya intaneti vinapandishwa kadri watoa huduma wanavyojisikia ikiwa ni pamoja na...
  8. sanalii

    JamiiForums Tanzania Ninaupungufu wa kujiamini, hali hii inaishaje?

    Kama ukiniona kwa mbali tu au tukiongea kwenye simu, au ukiona picha yangu, naonekana handsome flani, kijana mwenye kujiamini na mwenye sifa kedekede, ila ukikaa na mimi dakika kadhaa tukaongea, utaniona ni mtu mshambamshamba, nisie jiamini, mwenye mambo ya kitoto na kadharka. mara nyingi...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hali tete, Hospitali nchini zaishiwa vitanda

    Wakati Serikali ikiendelea kuongeza idadi ya hospitali na vituo vya afya nchini, bado changamoto ya uhaba wa vitanda vya kulazia wagonjwa inaendelea kuiandama sekta ya afya, hasa katika vituo vya umma. Ripoti ya ‘Tanzania in figures 2021’ inayotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS)...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Kwa picha: Hali JKIA baada ya marubani wa Kenya Airways kutangaza mgomo

    Abiria wamekuwa wakipanga foleni katika kituo cha wasafiri wa kimataifa katika uwanja wa JKIA ili kujua hali ya safari zao. Baadhi ya safari zimeahirishwa na wateja wengine kuhamishiwa ndege zingine, lakini wengine wao wamesubiri hadi saa 6 kuhudumiwa.
  11. Njowepo

    JamiiForums Tanzania TCRA saidieni kwenye hili la vifurushi, hali tete

    Hii mitandao ya simu kila leo wanapunguza package zao ila kwa bei ile ile. Mfano Vodacom kwa mwezi wa Nov na Oct kwa malipo ya Tshs 50,000 nimekuta wamepunguza 3GB na dk 200. wamepunguzakama ifuatavyo; ~ 50,000 Nov Package unapata :1200minutes 500sms 20GB. ~ 50,000 Oct Package nilipata...
  12. Vifaranga200

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa Leo(just..joto) si njema. Mamlaka zitie tahadhari

    Ki kawaida Hali za hewa Zina athari na kuwaumiza baadhi ya binadam. Siku hizi chache hakujatulia kabisa. Leo jua kama limeshuka inch kadhaa. Ni vema wataalam wa weather wakasema jambo kama kuchukua tahadhari, kutotembea juani nk kuliko kukaa kimya
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TFF hali tete, yahaha kusaka mdhamini mpya Ligi Kuu

    RAIS wa Shirikisho la Soka nchini (TFF), Walace Karia amesema wapo kwenye mazungumzo na kampuni mbalimbali kwa ajili ya udhamini wa Kombe la TFF. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Karia amesema kombe hilo halina mdhamini mkuu na hata kuitwa kombe la Shirikisho Azam ni kutokana na kutokuwa na...
  14. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mvuha, Morogoro pana joto siyo la kawaida, hii hali italeta maafa

    Kwa yeyote aliye hapa Mvuha atakubaliana namimi kwamba hili joto siyo la kawaida. Hebu tupashane habari za jotoridi hapo ulipo.
  15. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Magerezani hali ni mbaya kunahitajika mageuzi

    Hali inatisha! Hata kama wako pale kutumikia adhabu lakini ni familia yako pia, kuna msemo kwamba wanakula bure mimi napinga, wanalima, wanatengeneza fanicha! Wanaingiza pesa! Kwanini wasinunuliwe vijigodoro vile vidogo kila mfungwa akalala peke yake? Kwanini godoro moja walale wanne mpaka nane...
  16. Inalipa

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa katika hali gani mara tu ulipoanza kutumia kilevi?

    Nakumbuka ndo siku ya kwanza jamaa yangu ndo anaanza kutumia kilevi, alipita anaimba njia nzima. Kwa upande wako ilikuwaje?
  17. Inalipa

    JamiiForums Tanzania Ulikuwa katika hali gani siku ya harusi?

    Aisee kwa walioa ama kuolewa wanaifahamu hii siku, inakuwa tamu lakini yenye presha nyingi. Binafsi siku hii jasho halikuacha kunitoka na hata uchangamfu ulitoweka, lakini ni siku yenye kumbukizi tamu, hasa ukute unayemuoa ama kuolewa naye ni mtu unayemhusudu. Kwa upande wako ilikuwaje siku hii?
  18. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hali inatisha, Kariakoo hakuna umeme, uchumi wa majenereta umerudi?

    Tunaomba taarifa TANESCO , nini kinaendelea =========================== Inaumiza sana
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania "Job Ndugai achafua hali ya hewa" Ukurasa wa mbele wa Tanzania Daima Oktoba 14, 2022

  20. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Hali tete kwa Vladmir Putin, sasa ni dunia inataka kumtandika

    Zaidi ya mataifa 50 ya ulaya yamekutana nchini Ujerumani kujadili namna ya kuipa silaha na kuhakikisha Ukraine anashinda kwenye uvamizi wa dictetor Putin. Wote wameanzimia kutoa michango ya silaha, fedha, mafunzo, madawa, silaha za kujilinda na makombora. Hii ni baada ya dicteta Putin...
Back
Top Bottom