hali tete

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Trump atishia kuichukua Cuba, anadai nchi haina hela wana hali tete

    Rais wa Marekani, Donald Trump, ameashiria kuwa serikali yake bado inalenga kuiondoa madarakani serikali ya Cuba, licha ya vita vinavyoendelea kati ya Israel na Marekani dhidi ya Iran kuingia wiki ya pili sasa tangu Februari 28, 2026. Akizungumza Jumatatu, Trump alisema Wizara ya Mambo ya Nje ya...
  2. Meli nyingine ya kivita ya Iran yatorokea India na kuomba hifadhi, hali tete, nyambizi za Marekani zinawinda balaa

    India yathibitisha kupokea meli ya Iran iliyokimbilia huko baada ya kutoroka mapambano, nyambizi za Marekani zinawinda chochote chenye ishara ya Iran. India has allowed an Iranian warship to dock as a humanitarian gesture, Foreign Minister Subrahmanyam Jaishankar says, after the US sank another...
  3. POTOSHI TEC hali tete kama kawaida yao wanataka pesa

    Wanaukumbi. Baraza la ma askofu TEC linaomba Msaada lisaidiwe na serikali. Maombi yakikataliwa wananua. Hali tete leo hii ndiyo wanamtambua Rais Samia wanaomba msaada, Rais Samia achana na hawa wamezoe kudekezwa waendelee kutoa matamko. Wasubiri umalize muda wako pesa hamna zinapelekwa...
  4. A

    KERO Wakazi wa Makurunge, kata ya Kiluvya, wilaya ya Kisarawe hali tete baada lile sakata la uvamizi wa uporaji

    Ni baada ya polisi kuanza doria usiku imesababisha raia hasa wale wanaochelewa kurudi majumbani kwa sababi kadhaa wakikutana na polisi wanachezea kichapo kwanza ndo kisha kuhojiwa. Hii imepeleka raia wengi kuwa na hofu asa kuwahi makazini kwao au kutokurudi kabisa kukwepa kurukishwa...
  5. PostGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche azidiwa, akimbizwa hosptali ya taifa ya Muhimbili

    MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa kudorora. Taarifa hizi, zimethibitishwa na mmoja wa wanafamilia wa mwanasiasa huyo. Anasema, Heche...
  6. Hivi kuwa boda boda mwisho umri gani nataka nikajribu upande huo maana hali tete

    Wadau msaada maana hali tete sikujipanga kimaisha naona naelemewa na maisha sasa naona kazi ya haraka ni boda boda Ila mimi umri umeenda sasa sijui naweza pambana uko
  7. Tetesi: Hali Tete: CCM watuma vijana Mitandaoni hasa X, Tiktok, Facebook na Instagram. Wawapa bundles kutuma jumbe kuonesha Samia na CCM wanaungwa mkono

    Nimecheka sana, Mdogo wangu yupo Chuo Kikuu Dodoma kaniambia muda huu vijana wa CCM vyuoni wameelekezwa kuingia kwenye pages za Samia, Ikulu Mawasiliano na CCM kutuma jumbe nyingi kuonesha Samia na CCM inaungwa mkono. Jumbe hizo ni pamoja na za kumsifia na kuonesha kuwa anapendwa na atapigiwa...
  8. Naombeni Mnishauri jamani hali tete kiuchumi

    Jamani naombeni kujua na mnishauri Mimi nimesoma Nursery teaching lkn nimepata connection ya kazi ya store keeper kiwanda flani ivi nimeambiwa nikaanze Jumatano Nauliza je huko nitakua natumia computer maana sijui hata kutumia computer mwenzenu na naihitaji hiyo kazi muda huu kuliko chochote...
  9. Baada ya kuona hali tete Korea Kaskazini yaondoa Wanajeshi wake Mstari wa Mbele huko Ukraine

  10. B

    PreGE2025 Mbunge Mkinga hali tete jimboni

    NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Danstan Kitandula ana wakati mgumu kutetea jimbo lake la Mkinga, Tanga kwa kinachoelezwa ni kukwama utekelezaji wa miradi ya maendeleo aliyoahidi. Hali hiyo ilibainishwa mwishoni mwa wiki na baadhi ya wananchi waliosema hawaridhishwi na mwenendo wa mbunge...
  11. Viongozi wa TLS Mwanza wajiuzulu, Mwabukusi atoa tamko

    Dalili ziko wasi kwamba TLS sasa imemshinda Mwabukusi. Kuna mpasuko mkubwa na viongozi wenzake wameanza kumkimbia. Ukimuona Mwabukusi anavyowananga wengine, unaweza kudhani anaweza hata kujiongoza yeye mwenyewe ==== Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) mkoa wa Mwanza...
  12. Z

    Ndoa yangu ina hali tete

    Habari wakuu, Leo nimeona nije niwaletee maswaibu yangu yanayo nikabiri kwenye ndoa yangu. Mimi na mke wangu tuna miaka 6 ndani ya ndoa yetu, miaka mi 5 ya nyuma mambo yalikuwa safi kabisa, ila huu mwaka wa 6 umekuwa na heka heka nyingi mno. Mambo ni mengi sana ila Leo tuanzie hapa. MKE...
  13. X

    Boeing imepata hasara kubwa, yaamua kupunguza wafanyakazi 17,000 na kusimamisha uzalishaji wa baadhi ya matoleo ya ndege zake

    Oct, 11, 2024 "Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha." —Kelly Ortberg (Boeing CEO) Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
  14. DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

    Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa. Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
  15. Athari ya vita duniani na hali ngumu ya uchumi sasa na baadaye. Nini kifanyike?

    Kutokana na sababu mbalimbali Hali ya uchumi wetu yamkini si nzuri sana hivyo hata Kama haisemwi lakini kuna mambo yanaakisi hili.Kama taifa yatupasa kushikamana sana na kuhamasisha uzalishaji wa ndani Kwa Kiwango kikubwa ili kuondoa utegemezi wa bidhaa toka nje na matumizi makubwa ya fedha Za...
  16. DOKEZO SGR LOT 5 Hali ni tete. Wafanyakazi zaidi ya 200 wasimamishwa kazi

    Habari Wana JF, Hali ni Tete sana Mradi wa reli ya SGR LOT 5 kutoka Isaka to Mwanza ambao upo chini ya ujenzi wa Kampuni CCECC. Kwa sasa Mradi umesimama ujenzi sababu hela hakuna ya uendeshaji mradi, wamepunguza wafanyakazi zaidi ya 200 na bado wanaendelea kupunguza. Aliye karibu na Mama...
  17. Rufiji: Vijiji 23 vimekumbwa na mafuriko makubwa kutoka Bwawa la Umeme la JNHPP. Je, Tathmini ya athari kwa mazingira ilipuuzwa kabla ya ujenzi?

    Inasikitisha sana kusoma kwamba Zaidi ya Vijijini 23 Wilayani Rufiji vilivyopo kwenye blonde la mto Rufiji Vimekumbwa na Mafuriko Makubwa ya maji kutoka bwawa la umeme la Nyerere. Vijiji hivyo viko kwenye kata 12 Zenye kaya zaidi ya 1,000 ambapo makazi,mashamba,mazao na Mali nyingine...
  18. Majeshi ya Israel yamekwama kweye tope Gaza hali tete

    Wanaukumbi. Kwa mujibu wa Leaks Mawasiliano makali na ya dharura yanafanywa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu hasa Misri na Qatar ili kushinikiza Hamas kukubali mapatano ya haraka kwa kisingizio cha kuleta misaada Gaza!! Ukweli ni kwamba suluhu hili liliombwa...
  19. Momba: Mbunge Condester Sichwale ashangaa shule Shikizi ya Mazinge kujaa nyufa hali inayohatarisha usalama wa wanafunzi

    MOMBA: HALITETE, SHULE SHIKIZI MAZINDE; MBUNGE CONDESTER APIGWA BUTWAA MBUNGE wa Momba Mhe. Condester Sichalwe ameshangazwa kuona shule shikizi Mazinde iliyopo kijiji cha Masanyita kata ya Mpapa Halmashauri ya Momba iliyojengwa mwaka wa fedha 2022-2023 kwa gharama ya shilingi milioni 40 kujaa...
  20. Uganda: Barabara kufungwa kupisha Sherehe za Siku ya kuzaliwa Rais Museveni

    Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali Sherehe...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…