halali

The Halali reservoir is a reservoir in the Raisen district of Madhya Pradesh, India. It is built on the Halali River, and lies 40 km away from the state capital Bhopal.The major fish species found in the reservoir include catla, rohu, mrigal, wallago attu, mystus and chitala.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni halali Wazanzibari kufanya kazi za Watanganyika?

    Hivi ni halali kwa Wazanzibari kuajiriwa Tanganyika kama waalimu bila ya kuwa na vibali vya kufanya kazi? Ni halali Wazanzibari kuajiriwa kama watendaji wa mitaa na Kata? Ni halali kwa Mzanzibari kuteuliwa kuwa Mkuu wa mkoa au wilaya huku Tanganyika? Ni sawa kwa Mzanzibari kupewa Leseni ya...
  2. JamiiForums Tanzania Nassari: Mikusanyiko isiyo halali haitakiwi, kinachofanywa na CCM ni ukaguzi wa ilani ya chama

    Joshua Nassari amewataka wanasiasa kufuata taratibu za nchi pale wanapotaka kufanya mikusanyiko la sivyo mahabusu bado zina nafasi za kutosha, ameyasema hayo alipokuwa akishiriki mkutano wa mahitimisho ya sensa. Amesema kabla ya mtu yeyote kuandaa mkutano ni lazima aombe kibali na akubaliwe...
  3. JamiiForums Tanzania Mch Lusekelo ya kaiskari mpe kaiskari na ya Mungu Mungu mpe Mungu. Tozo na kodi ziwe halali kulingana na kanuni. Dunia nzima hakuna double taxation

    Kodi inatakiwa isikatwe mara mbili. Kodi au tozo inatakiwa iwe halali na isiwe mzigo kwa mlipaji. Acha kutetea maonevu kwa njia ya tozo na kodi
  4. JamiiForums Tanzania Ni halali kununua dawa maduka ya nje,na nina bima ya NHIF..kisa hospital niliyotibiwa hizo dawa hamna?

    Leo nimepata hasira sana,hiv wa mabwanyenye huko juu kwenye uongozi huwa yanatumia akili au ma..alio kufikiri? Hela ilivyongumu hivi nakatwa mchango wa NHIF alafu nimepanga foleni toka asubuhi mpaka saa 10 jion,majibu yanatoka na andikiwa dawa ila zingine kwenye stoo yao wanasema hamna . Alafu...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wakati Nigeria ikitengeneza $3.7bn, South Africa $ 1.7 bn kwa mwaka kwa kilimo halali cha bangi, Mwigulu na Samia wanazidi kuwakamua ' Damu' Wa- Tz.

    Wakuu, nadhani kila mmoja wetu humu anaumia au amesikia kilio cha kila Mtanzania hasa baada ya kuanzisha tozo kila tunapotoa pesa kwenye account zetu aidha kwenye counter au ATM. Viongozi wetu Sasa hivi hawafikilii nje ya box au tuseme wamefikia mwisho wa kufikiria. Sasa hivi watanzania tulio...
  6. JamiiForums Tanzania Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

    Ni tukio limetokea jana jioni hapa uyole. Ndoa ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito. Sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo. Nataka mjukuu nataka mjukuu, mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika. Ni mama mkwe hivo binti akawa hana la kusema zaidi ya tutapata mama na...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe kweli halali kambini Avic Town, huchukuliwa na Alphard tinted

    Hakuna kitu kibaya katika team kama kumfanya mchezaji mmoja kuwa special, na cha kushukuru ni kwamba wale wacongo watatu wameongezewa mkataba na pesa la sivyo. Anyway yule kijana toka Ogadougou Burkinabe msimamo wake wa kutolala kigamboni kaushikilia bwana..analetwa mazoezin na Alphard tinted...
  8. JamiiForums Tanzania Natafuta Kazi yoyote ya halali, nina Cheti cha Kidato cha Nne

    Natanguliza salamu, Naitwa Juma Nina umri wa miaka 19 ninaishi Mwanza, Natafuta kazi yoyote ya halali nina cheti cha kidato cha nne. Naweza kutumia computer vizuri Ninaujuzi wa Web design Naweza kufanya kazi ya duka Naombeni msaada wwnu Guys natafuta kazi nipo Mwanza Tanzania , Yoyote...
  9. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali, niko Arusha

    Habari ndugu zangu. Mimi ni kijana (ME) nina umri wa miaka 20. Ninaishi mkoa wa Arusha. Nina shida sana hali ngumu ya maisha Hadi naanza kuta tamaa . Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia kupata kazi yoyote ile ya halali. Natanguliza shukrani
  10. JamiiForums Tanzania Kibiblia, nguruwe ni halali kuliwa

    Huu hapa ufafanuzi Dunia hii imepita Kwenye vipindi tofautitofauti na ni Mungu ndiyo anaongoza hivi vipindi. Kipindi Cha kwanza: Mungu anatoa Sheria ya wanadamu kula matunda tu. Hili tunaliona Kwa Adam na Hawa Kipindi Cha pili. Mungu anatoa maelezo ya wanadamu kula vyakula vyote isipokuwa...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Serikali na wasomi wa nchi hii mnafanya nini? Je! Ni halali tuwaite wasomi uchwara?

    Kama kweli ikiiwa tunataka nchi yetu Ipige hatua, ni vyema kila changamoto inayojitokeza, tuione kama fursa ya kutufikisha pahala! JPM ingawa hatumpendi, lakini wakati wa Covd 19, yeye aliona kuwa ni fursa, wakati mataifa mengine wakijilockdawon, yeye alihimiza wananchi kuchapa kazi, na mwisho...
  12. JamiiForums Tanzania Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini

    Watalaam wa mafuta na gesi Tanzania: Waishauri serikali juu ya ongezeko la bei za mbolea, mafuta ya petroli na dizeli nchini. Kuhusu kupanda kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli, mtaalam wa mafuta na gesi Bwana Elia Wilinasi amesema mafuta ndio nishati inayoendesha injini ya uchumi wa dunia...
  13. JamiiForums Tanzania Mmiliki halali wa Jerusalem

    Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Chanzo cha vita ya Israel na Palestina na ni nani mmiliki halali wa eneo hilo

    Hakuna mji wowote duniani ambao umekuwa ni mji wenye umuhimu sana kwa watu wengi kama ulivyo mji wa Jerusalem. Mji wa Jerusalem ni mji ambao una umuhimu kwa Wayahudi, Wakristo na Waislamu. Mji wa Jerusalem unajulikana kama mji wa amani lakini Jerusalem ya leo n ahata kihistoria haujawahi kuwa...
  15. JamiiForums Tanzania FUTARI akipika mwanamke ambaye haujamuoa na mnaishi pamoja ni dhambi, ila FUTARI ya mitaani ni halali bila kujali amepika nani

    Habari! Nawakumbusha tu Waislamu wenzangu kuwa tusifuturu kwa FUTARI walizopika vimada wetu hasa tunaoishi nao pamoja. Haijalishi tumezaa nao watoto wangapi, au tumeishi nao kwa miaka mingapi.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Ntapataje kazi za viwandani/mchongo wowote halali?

    Wakuu habari zenu, kijana mwenzenu hali sio shwari tena wakuu Jaazi linaelekea kuzama, nilikuwa naomba kwa yeyote yule mwenye mchongo wowote ule wa kuingiza kipato halali naomba aniunganishe. Na kama kuna mtu anaefanya kazi kiwandani au anajua kiwanda kinachotoa Ajira kwa sasa naomba msaada...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali

    Kijana wa kiume. Umri wa miaka 25. Smart, Uwezo wa kutumia computer, Elimu ya diploma ya kilimo, Dereva wa gari, pikipiki, leseni class D Kuongea na kuandika kiingereza fasaha. 0714173347
  18. JamiiForums Tanzania Watoto ombaomba ni halali kutolewa Mjini? Wakikamatwa Serikali inawapeleka wapi?

    Suala la watoto wa mitaani kwa sasa ni kama halizungumzwi kwa sauti kubwa kwa kuwa hapo kati mamlaka zikishughulika nao kwa kiwango cha juu. Nakumbuka kuna wakati Mzee Yusuph Makamba miaka ya nyuma alipokuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alipambana sana na ombaomba wakiwemo watoto waliokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali

    Habari wakuu, Kwa majina naitwa charz juma, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 19 natafuta kazi yoyote lakini hiwe halali
  20. JamiiForums Tanzania Mbinu tano (5) halali za kuchelewesha mnada wa hadhara wa nyumba yako uliyoombea mkopo

    Nyumba yako au ardhi yako kuuzwa kwa njia ya mnada wa hadhara ni jambo ambalo linaweza kutokea ikiwa umeamua kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Chanagamoto ya kuuzwa nyumba au ardhi yako kwa njia ya mnada wa hadhara inaweza kutokana na sababu za kibinadamu au sababu ambazo zipo nje kabisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…