hakika

Mwanga Hakika Bank (MHB), whose official name is Mwanga Hakika Bank Limited, is a commercial bank in Tanzania. It is licensed by the Bank of Tanzania, the central bank and national banking regulator.

View More On Wikipedia.org
  1. Talib conscious

    JamiiForums Tanzania Hakika napenda wanawake wembamba ?

    Nitafanya yote lakini siwezi kuishi bila mwanamke Tena awe mwembamba na nitahonga vyote Ila kwenye mahusiano hayo lazima nipate Ile hakula nahisi kua wengi wanaoingia kwenye mahusiano hawajui lengo / lengo ni kufanya tendo Kutoana hamu/ unaingia kwenye mahusiano na Dem then hatapaja hugusi...
  2. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Simba ndio tatizo na hakika hatutofuzu, hana plan B kabisa, wachezaji wa kuamua mechi unawaweka benchi

    Ndio sijakosea, ni kocha anaye tabirika, Al Mary sio timu ya kutisha kivile ila wenzetu walishamsoma kocha Hana mbinu mbadala. Hata kikosi chake kinatabirika na nitakutajia Camara KAPOMBE ZIMBWE Chamoue Hamza Ngoma Kagoma Kibu Ahoua Ateba Mpanzu Akibadilisha mchezaji hata mmoja hapo nipo...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Stephen Wasira: CCM inaingia katika uchaguzi ikiwa na hakika ya ushindi, Tumejipanga kwa ushindi 2025

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira amezungumza na wanachana na viongozi wa Chama wilayani ileje mkoani Songwe akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake mkoani humo. Akizungumza na wana CCM hao katika Ukumbi wa Seselembe, Ileje leo, Machi 16, 2025, Wasira...
  4. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Funzo: Hakika Penye Miti hakuna Wajenzi

    --- BTW - Mwenye kujua jina la mwimbaji / jina la wimbo sikiliza dakika ya 2:53
  5. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM waanza kuzalisha bidhaa zinazomnadi Rais Samia kuelekea uchaguzi mkuu

    CCM kweli imejipanga, hivi siku za karibuni nimekuwa nikiona bidhaa za aina mbalimbali zikimwaga mtaani kwa ajili ya kumkampenia Rais Samia, ni hatua nzuri sana ila wahakikishe walau zinapatikana kwa bei rafiki ili hata Mababu zangu kule Katerero waweze kuzimudu. Tupia bidhaa nyingine ya CCM...
  6. makilo

    JamiiForums Tanzania Hakika chama anatokesea Wana Yanga

    CHAMA ANAFANYA USAFI HUKO INSTAGRAM Nyota wa Simba anayecheza Yanga kwa sababu ambazo hata yeye hazijui ameanza kufuta Picha zote alizowahi kupost akiwa na jezi ya Yanga, Kuanzia siku anatambulishwa hadi leo Chama amebakiza Picha na Video akiwa na Jezi ya Yanga zile ambazo amepewa Colaboration...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ahsante Mungu, Arab Contractors walikuja kipindi Cha JPM; Wangekuja kipindi Cha Samia hakika ingekuwa shida kubwa.

    Ni wajomba zake kutoka Oman ndo maana wamepata.........,.... Hapo amewaleta makusudi wajomba zake hao Ili wavune na wanyama wetu pia............. Nchi inauzwa hii.................... 2025 arudi kwao kizimkazi atuachie Tanganyika yetu.............. R.I.P JPM......n.k Ahsante sana Mungu, hakika...
  8. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika

    Mwamba amezoa tuzo Tano (5) kwa nyimbo Moja tu "Not like us" najiuliza je angekua katoa album kabisa ingekuaje? Ndipo napata jibu kuwa "Kendrick Lamar angewahi kutoa album ya GNX miezi ya mapema mwaka jana angezoa tuzo 7 za Grammy hakika" Angeweka rekodi ya msanii wa hip hop kuchukua tuzo...
  9. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kila la heri Simba katika mchezo wa Leo, na hakika mtashinda

    Hii mtaani tusema "Utaoga lakini mjini huendi" Yaani Simba atashinda dhidi ya shoga aje Tabora United ila ubingwa atausilikizia redioni Yanga mkakatu wetu ni kuwafanya mfurahi kipindi hiki ili muache lawama Kwa uwekezaji wa GSM na pia mmuache Mangungu na Mo wale keki Yao hapo Msimbazi Tuna...
  10. A

    JamiiForums Tanzania WATENDAJI MANISPAA YA MOROGORO HAKIKA HAMUELEWEKI

    Kusema kweli Mkurugenzi, Meya na Madiwani mliopo Manispaa ya Morogoro Hamueleweki, Sijui huwa mnafikiria kwa kutumia vichwa gani? Hivi kweli Daladala Zote zinazotoka Pembezoni ya Mji kuja kati ya mji zinakosa sehemu Rasmi ya Kupakia Abiria? Mwanzoni walikuwa wakitumia Stand ya Zamani Mkawaondoa...
  11. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania Tazama mabasi mapya ya kifahari ya CCM, hakika CCM ni chama kikubwa na mkombozi wa Tanzania

  12. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Hakika wema ni akiba

    Heri ya mwaka mpya wanaJf.Ninaimani mmeupoea mwaka salama ninyi na wapendwa wenu salama.Kwa upande wangu ninamshukuru Mungu kwani amenichagua tena na si kwa kupenda kwangu bali ni katika mapenzi yake amenichagua. Wacha niende mojakwamoja kwa kile kilichonifanya nilete uzi.Mwaka 2023 mwishoni...
  13. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Kijana ukioa tegemea uchungu huu ndani ya ndoa yako na huyo mkeo hakika na waambieni

    Ndugu zangu salaam Wazee watawaambia huo ndiyo uanaume, wanaume tumeumbwa mateso mwanamke hawezi kukushinda ila kaa ukijua unachezea moto utakaokuangamiza muda siyo mrefu, acha umwamba na kusikiliza maneno ya wazee jipende kijana, hao wazee ndoa zao hazikua kama hizi za kwetu. Wenyewe kila...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tukitumia mfumo huu, hakika tutamaliza ajali za barabarani kwa Siku moja Tu

    Habari za jioni ndugu na marafiki, Poleni sana kwa wote mnao endelea kuathirika na ajali zinazo endelea kutokea barabarani. Hili jambo limelilazimu kukaa chini namimi nitoe mapendekezo yangu ili tuweze kutokomeza ajali zinazo endelea kumaliza ndugu na marafiki zetu. Lakini kabla ya yote...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa TLS Mwanza wajiuzulu, Mwabukusi atoa tamko

    Dalili ziko wasi kwamba TLS sasa imemshinda Mwabukusi. Kuna mpasuko mkubwa na viongozi wenzake wameanza kumkimbia. Ukimuona Mwabukusi anavyowananga wengine, unaweza kudhani anaweza hata kujiongoza yeye mwenyewe ==== Baadhi ya wanachama wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) mkoa wa Mwanza...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Hakika Chama Kimekomaa

    Baada ya kelele za kutosha..wote wanaoitakia mema CHADEMA tuseme..Let the Will of God be Done! Asante.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusikubali kwamba tumeshindwa na hivyo tukampa nchi Elon musk atuongoze vyema. Hakika tutafika mbali.

    Inajulikana wazi susi waafrica hatuna tunachojua zaidi ya kupas kwa ungo na ulozi mwingi. Nchi zetu tumeshindwa kuziendeleza mpaka Mungu anstucheka. Nahauri tumpe nchi Elon musk au tumpe Africa yote kabisa. Tukse palee tutulie mwanaume akiwa kazini.
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati njooni Tena tuikomboe nchi hakika tunaangamia

    Nakumbuka siasa hizi za kiharakati zilianzia vyuo vikuu vijana wasomi na ma professor wahadhiri haswa wa UD na pale UDOM mambo yalikuwa moto moto sana, Mpango wa vyama vya upinzani haswa CHADEMA ulifaulu kwa 80% Chini ya ukatibu wa Dr wa mihogo kulipatikana kina ZItto kina Juliana Shonza kina...
  19. Decruise

    JamiiForums Tanzania Una hakika mahusiano yako yatafika sikukuu za mwisho wa mwaka.

    Kinachonifanya nijiulize hili swali nikwamba nimeshaombwa sana pesa ya sikukuu mara out na mm sina pesa ndio maan nimeona nijiulize swali kama hili je wew una uhakika wa kufika mwisho wa mwaka salam kwenye mahusiano yako.
  20. Mayala B

    JamiiForums Tanzania Kocha hatuna wanetu, kocha hatuna hakika hatuna kocha viongozi wetu hawajielewi

    Amani iwe nanyi ndugu Timu yetu haina hakika kocha hatuna ni hayo tu Wanetu hatuna kocha
Back
Top Bottom