hakika

Mwanga Hakika Bank (MHB), whose official name is Mwanga Hakika Bank Limited, is a commercial bank in Tanzania. It is licensed by the Bank of Tanzania, the central bank and national banking regulator.

View More On Wikipedia.org
  1. C

    HAKIKA WANAOKATAA NDOA WANA HOJA, KAMA WAKE WENYEWE NDIYO HAWA?

    Hebu tazama hii, sina mengi ya kusema! Ila kwa hakika tulio ndoani tunavumilia mengi Sana. Hapa ni mke wa mtu, ana watoto kabisaaa, na mume WA madhabahuni! Nachoka Baba yenu, Nachoka sanaaaa!
  2. U

    Vusi Thembekwayo (South African): I was in Tanzania. Something is not right now (Nilikuwa Tanzania. Kuna kitu hakiko sawa hakika!)

    https://youtu.be/vyZooTgyRao?si=eR2nc0nkKUx65ioe Huyu jamaa anaitwa Vusi ThembeKwayo. Ni m - South Africa. Recently, alikuja kutembelea Tanzania kwa shughuli zake. Hata huko nyuma, amekuwa akitembelea Tanzania mara kwa mara. Lakini safari hii, kaikuta Tanzania iliyo tofauti kabisa kiasi cha...
  3. Hata kama Mbowe alikuwa ana mapungufu yake, lakini alikuwa anakiokoa sana hiki chama! Master of politics

  4. PostGE2025 Bunge la Ulaya laishutumu Tanzania kwa machafuko na kukiuka hakika za Binadamu baada ya uchaguzi

    Parliament raises the alarm on human rights in Tanzania 🚨⁣ ⁣ Members of the European Parliament adopted two resolutions on the human rights situation in Tanzania following October’s elections. ⁣ ⁣ • Members condemn the violent post-election crackdown, which left thousands dead or injured, with...
  5. Waambieni MAJAJI kesi ya LISSU kuwa, Wameamuliwa na Mungu kabla ya Dec 1 wawe wameshatoa Tarehe ya kesi kuendelea kusikilizwa!

    Mh LISSU hataki Kupendelewa Wala Kuonewa, ndio Sababu Licha ya Ofa zote mnazompelekea amegoma kuwasailiti Wananchi. Huyo ni MTU wa aina gan? Je Msimamo huo wa Kimungu hautoshi Kuwashtua Majaji ?. Sasa nikiwa Katika Usingizi, Mungu alinichukua na kunipeleka katika Kikao Cha Malaika ,kikao...
  6. Nilivyomuona Mwana F.A Anafunguliwa Mlango wa VAT, Hakika Hakuna Ajuaye Kesho Yake

    My people, Hakika hakuna ajuaye kesho yake, hata wewe kamwe usije kujikatia tamaa katika maisha kwahakika siri ipo kwa Muumba wetu. Haimaanishi kwamba nawe utakuja kutamba na VAT laa,namaanisha kwa safari yoyote ya maisha uliyokuwa nayo basi haijaisha mpaka iishe, kwa hiyo endelea kupambana...
  7. Mungu Muumbaji ndio msaada wa hakika tupopatwa na shida za maisha

    Fikiria Mungu kama mtengenezaji (manufacturer) wa kifaa cha kipekee sana, kifaa ambacho hakina duplicate, hakina serial number nyingine, na hakina manual inayoweza kuelezea kila undani. Hicho kifaa ni mwanadamu. Kila mtengenezaji wa kifaa anajua muundo wa ndani, waya gani unaenda wapi, program...
  8. S

    Ni hakika anguko la Samia limefika. Manabii wamemuonya lkn hakusikia.

    Manabii toka enzi na enzi wamekuwa wakiwaonya viongozi kwa mujibu wa biblia kama inavyosomeka hapo juu. Hivyo kufumbia macho mauaji na ufisadi ni mambo ambayo yamesababisha viongozi wengi duniani mwisho wao kuwa mbaya.
  9. Hakika huu ni Mwanzo wa mwisho wa mateso

    Kwa sasa waTanganyika sio waoga wa kifo , sio waoga wa utekaji wenu wakijinga .Na kuanzia sasa hata polisi wakijaa kwenye mfumo wa uonevu tunaruka nao. 👇👇👇👇 Hapa Gen_z tunduma wakienda toe to toe na mercenaries wenye silaha za kisasa lakini madogo wanamawe, nabado mashoga walikimbia licha ya...
  10. Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma

    Hongera sana NMB Bank kwa kuthamini utu, hakika ninyi ni bank bora kila Mtanzania ni shuhuda wa maneno haya, mnasifika kwa kuepuka dhuluma kwa wateja wenu Mnaonesha uaminifu wa hali ya juu na taarifa zote za miamala kwa wateja wenu ni za wazi na zenye maelezo yanayojitosheleza Tangu mtoe...
  11. Hongera Mama Migiro hakika wewe ni dhahabu .

    Huyu Mama Migiro the bright woman , Live longer Mama. Wewe ni hazina.
  12. S

    Kila anayemgusa Lisu kwa ubaya, "ANANUKA".

    1. Askari magereza aliyemsukuma Lisu, alinuka mpk kufikia hatua ya kuchomwa kisu na kufariki. 2. Ndugai aliyemsulubu Lisu kwa kumnyima stahiki zake, alinuka mpk kufikia hatua ya kulazimishwa kujiuzulu uspika. Na sasa amefariki. 3. Jiwe aliyepiga marufuku wanaccm kwenda kumuona Lisu hospitalini...
  13. Hakika Tanzania ni Tajiri hadi maji yanawaka

    Halafu Matajiri wanamuweka Rais wetu mfukoni kwa Gharama ya Bilioni 10 kwa mgongo wa Harambee ili waendelee kuchota maji. Hata hawataki tujue maji yanawaka
  14. Kwa Ushahidi huu hakika nakubaliana na Uongozi wa Yanga SC kusema kuwa Yanga SC haijachangia Hela yoyote ile katika Harambee ya CCM na Inasingiziwa tu

    Yanga SC kupitia Msemaji wao wamekanusha vikali kuwa hawajachangia Shilingi Milioni 100 kwa CCM na kusema kuwa aliyechangia ni GSM na wala siyo Yanga SC. Lala salama Ruge Mutahaba kwani ile Kauli yako uliyosema kuwa hapa duniani tuogope sana Vitu viwili Mungu na Teknolojia inaishi na itaishi...
  15. Kwa hili la Yanga CCM wajitafajari upya hakika wanachukiwa hakuna mfano

    Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Sijawahi kuwaona mashabiki wa yanga wakimtukana matusi ya nguoni Rais wao heris said ila jana alioga matusi si mchezo Walidiriki kwenda mbali wakimtaka aachie kabisa nafasi ya urais pale yanga Na wao kama mashabiki wako tiari kukaa hata...
  16. Hakika mafanikio hayaji bila maandalizi, Tazama video hii kisha utajua kwanini kuna timu kila mwisho wa msimu huambulia kombe la ranking

    Mafanikio = Serious Commitment ✅ Kujituma kwa moyo ✅ Njaa na kiu + hasira ✅
  17. Makonda pole sana hakika hii ndo Arusha haina utofauti na Kigamboni!.

    Pole Sana Mkonda , hakika hawa ndo wajumbe .
  18. M

    Tuna uhakika kuwa eMALALAMIKO si avantra?

    Nauliza hivi nikitaka ufafanuzi iwapo kuna yyt aliyewahi kutumia emamamiko kupata mrejesho wowote. Nani ni msimamizi wa mtandao huu. Nani kawahi kupata mrejesho kutokana na malalamiko na kero za ufanisi wa watendaji wa Serikali. Na mwisho baada ya kutoa malalamiko nimemtumia ujumbe ule ule...
  19. GE2025 Hongera Sana Tundu Lissu hakika utakumbukwa vizazi na vizazi

    Ukiangalia kwenye jicho la tatu bunge kuvunjwa August 3 mwaka huu Misimamo yako isiyoyumba Sasa imeanza kuzaa matunda Mwanzo tuliwaambia wakashupaza shingo Sasa naona no reform no Election imewaingia na wametupa taulo. Ni matunda ya Tundu Lissu kusimama kidete, kukubali kuteseka kwa sababu...
  20. Pongezi kwa Simba kwa kufanya maamuzi sahihi na hakika Simba ina Watu makini , Simba bingwa NBC premier league 2024/25

    Leo tar 25/6/2025 saa 11 jioni kuna dabi ya kariakoo , Mwanzoni kulikuwa na kila Sababu kwa Simba kutopeleka timu uwanjani lakini dakika za jioni Mnyama anaingia uwanjani. Points 3 za leo ni muhimu sana kwa Simba , Hakika Yanga hawezi chukua ubingwa kirahisi kwa timu kutofika Uwanjani hii ndio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…