haki

  1. JamiiForums Tanzania Mdee na wenzake wanayo kesi ya kujibu, isifanyike mizengwe haki ikapindishwa

    Kwanza kabisa kabla sijashusha nondo niweke wazi kuwa mahakimu wengi huwa wanatumia mwanya wa uhuru walionao kisheria kutoa adhabu kupendelea watu. Ni wazi kuwaa Halima Mdee na wenzake walifanya mkusinyako usio halali na kuleta vurugu na hii ni kinyume na kifungu cha 89 sheria ya adhabu ya...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Ukerewe huwatendei haki Wananchi na humwakilishi Rais vizuri

    Wakuu wa Wilaya hujinasibu kumwakilisha rais lakini baadhi ya watu hawa ni balaa. Nimesimuliwa anayoyafanya mkuu wa wilaya ya Ukerewe, yanasikitisha. Tangu Mkuu huyu wa Wilaya amepelekwa wilayani, Migogoro haiishi. Mgogogro na kanisa katoliki juu ya ardhi, migogoro na wavuvi na matumizi ya nguvu...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Historia itakuza uzalendo au tujikite kupata katiba yakusimamia haki?

    Tunakwenda kutafuta uzalendo kwenye historia Leo hii karne ya 21, karne ambayo watu awataki kupoteza muda kusoma vitu visivyo na tija maishani Bali wanawaza kuwaza namna yakufanya ubunifu katika kila ngazi ya maisha. Je, uzalendo wetu umepotea kwa sababu watu awajui historia au kwa sababu mfumo...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali ya Zimbabwe inazidi kugonga vichwa vya Habari kufuatia ukiukaji wa haki za binadamu

    Serikali ya Zimbabwe inazidi kugonga vichwa vya Habari kufuatia ukiukaji wa haki za binadamu. Ni kulingana na ripoti ya HRW Wanaharakati Zimbabwe wanaishutumu serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa kwa kutumia suala la janga la corona kuwakandamiza wapinzani. Kulingana na ripoti iliyotolewa na...
  5. JamiiForums Tanzania Hatua gani nichukue endapo Hakimu au Jaji hatendi haki kwa kuchelewesha shauri Mahakamani?

    Salam wadau, Nataka kufahamu hatua za kuchukua ukiona hakimu hatendi haki au anachelewesha hukumu kwa makusudi (kutoa ruling ya shauri mahakamani). Kuna hatua zozote za kufata au kureport au ndo hakimu (judge) analindwa na katiba hata kama anafanya kazi kinyume na maadili ya kazi yake either...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Haki za wanyama: Serikali ipige marufuku wanyama kama ng'ombe kuvuta mikokoteni

    Kila ninapona hawa wanyama wanavuta mikokoteni huku wakicharazwa mijeledi, huwa naumia sana na kuona huu ni ukatili dhidi ya wanyama ila uliohalalishwa na mataifa kwa miaka mingi sana. Kwanza ni lazima tujiulize kama hawa wanyama waliumbwa kufanya hizi kazi au ni sisi wanadamu ndio...
  7. JamiiForums Tanzania Jaji Imani Aboud Achaguliwa Kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

    Jaji Imani D. Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aligombea nafasi ya kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Katia Mkutano wa 38 wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje ya Umoja wa Afrika, Jaji Imani amechaguliwa kuwa jaji kwa muhula wa pili wa miaka 6, ambapo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Zifahamu haki tano za msingi za Mtoto

    Sheria ya Mtoto inamtafsiri Mtoto kama mtu mwenye umri chini ya miaka 18. Watoto ni sehemu muhimu ya jamii na ndiyo tegemeo la uendelevu wa taifa lolote, hivyo hawana budi kulelewa vizuri na kuendelezwa. Aidha, watoto wanayo mahitaji ya msingi ambayo kote Duniani yanatengeneza Haki zao...
  9. JamiiForums Tanzania Tusidanganye umma wa Watanzania, kutotumia Kiswahili kuandika hukumu sio sababu ya kunyima haki Wananchi

    Viongozi wetu najua mna nia njema kabisa ya kutaka kukuza lugha yetu ya taifa, Kiswahili. Pamoja na kuwa na nia njema ya kukuza lugha ya Kiswahili tuwe wakweli kuwa majaji na mahakimu kutumia kiingereza kama lugha ya kurekodi kumbukumbu za mwenendo wa kesi sio sababu ya kunyima raia haki zao...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unatawala taifa lisilo na haki, leo ulipaswa kuondoa mfumo kandamizi unaonyima haki wanyonge

    Leo Rais wetu wa JMT amehudhuria sherehe za kuadhimisha miaka 100 ya mahakama kuu hapa nchini. Kauli mbiu ya kudhimisha miaka 100 ni kujenga nchi inayozingatia haki, udugu na amani katika kuleta ustawi wa jamii. Mimi binafsi nilitarajia kama mkuu wa nchi ulienda kwenye haya maadhimisho, je...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa haki za Mtumishi wa Serikali aliyefukuzwa Kazi

    Wasalaam, naomba kujuzwa haki za mtumishi wa Serikali ambaye amefukuzwa kazi huku akiwa na Malimbikizo ya Mshahara ambayo hakulipwa. Je utaratibu ni upi? Na kipindi aliposimamishwa alikuwa akilipwa Nusu ya Mshahara je baada yabkufukuzwa analipwa kiasi cha nusu alichokuwa akikatwa wakati wa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Mnyonge Mnyongeni, haki yake mpeni: Waziri Mbarawa alifanya kazi kubwa wakati wake!

    Wiki hii Rais Magufuli amekuwa anafungua miradi ya maji kutoka ziwa victoria, juzi jana na leo yuko Tabora..ni jambo la kweli kwamba kufikisha maji haya Tabora ni mafanikio makubwa kwa historia ya nchi yetu. Hata hivyo, kuna jambo hapa halipendezi, waziri ambaye alisimamia miradi hii hata kama...
  13. JamiiForums Tanzania Mafao na haki za Marais wastaafu wa Marekani ni balaa, wa kwetu hapa cha mtoto

    Reuters) - The impeachment proceeding against Donald Trump on a charge of inciting the Jan. 6 attack on the U.S. Capitol has fueled speculation online that he could lose some of the benefits extended to former presidents. But according to legal experts, under the laws currently in effect, Trump...
  14. JamiiForums Tanzania Uhamiaji, NIDA na RITA, mfungulieni Kesi ya Uhujumu Uchumi Diamond Platnumz kwa Kumiliki nyaraka fake za Serikali. Vitambulisho vyote anyang'anye

    Salaam Wakuu, Vyombo vya Serikali viache double standard. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimzawadia kofia msanii Naseeb Abdul maarufu kama Diamond Platinumz baada ya kutumbuiza maelfu kwa maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni Uwanja wa CCM...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Wanasheria wa nchi hii mko wapi? Simameni muwaambie akina Mwigulu Nchemba ukweli kuhusu haki katika sheria zetu

    Law is an art, na sisi kama Taifa katika Sheria tumerithi doctrines mbalimbali kutoka common law na hivyo suala la kujua Kiingereza (English) haliepukiki! Tanzania tunajenga utamaduni wa ajabu sana kwamba kama mtu fulani au kikundi fulani hakijui jambo fulani badala ya kuwekeza katika kujifunza...
  16. JamiiForums Tanzania Samia Suluhu: Amani ya kweli haimaanishi kutokuwepo kwa fukuto au migogoro bali ni kuwepo kwa Haki kwa jamii

    Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema, amani inatokana na haki. Akizungumza wakati wa kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake (TAWJA) tarehe 24 Januari 2021, jijini Mwanza amesema, haki ndio msingi wa amani. “Mheshimiwa Jaji Mkuu sote unatambua...
  17. JamiiForums Tanzania Ni Uchawi tu huo! Benard Morrison kimbia haraka kwa Mwamposa au kwa Kuhani Mussa Richard Mwacha ukaponywe hiyo ngiri ya kichawi

    " Benard Morrison yupo mbioni kufanyiwa upasuaji wa ngiri ambao utamfanya akae nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita" . Vyombo mbalimbali vya habari nchini Tanzania. Ukitazama maradhi ya Benard Morrison kwa jicho la Mshana Jr unaweza kusema kwamba Benard Morrison...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa acheni kuwaonea huruma watu wenye ulemavu bali wapeni haki zao

    Jana na leo kumetrend ' habari na picha ya Waziri Mkuu akitoa msaada kwa binti mwenye Ulemavu. Habari hiyo imenogeshwa na baadhi ya vyombo vya habari kwa kumuonesha Waziri Mkuu akilia kwa namna alivyopata uchungu kutokana na matatizo ya binti huyo. Tumeambiwa Mh. Rais pia amechangia kiasi cha...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Ifahamu misingi ya utoaji haki

    Kwa kuzingatia utawala bora vyombo vinavyohusika na kutoa haki kama vile mahakama, mabaraza yenye asili ya mahakama, kamati za nidhamu na vyombo vingine vinavyofanya kazi zenye asili ya kimahakama vinapaswa kufuata misingi ya kutoa haki kama vile:- • Kuzingatia Katiba na sheria za nchi; •...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi baba mlezi ana haki kwa mtoto aliyemlea

    Wanajf naomba kuuliza hili suala je baba mzazi ana haki kwa mtoto aliyemlea was baba mwingine naomba wataalam washeria watujuze pia waungwana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…