haki

  1. Zitto Kabwe: Wakurugenzi wa halmashauri ni makada wa CCM, hawawezi kutenda haki

    Zitto Kabwe amesema kuwa ''Katika marekebisho ya sheria za uchaguzi Serikali imebakiza wakurugenzi wa halmashauri kuwa wasimamizi wa uchaguzi kitu ambacho nadhani si sahihi kwa sababu wakurugenzi wengi wa halmashauri ni makada wa CCM hawawezi kutenda haki, kwahiyo hili ni eneo ambalo...
  2. A

    DOKEZO Mkandarasi wa SGR ametoa majina wanaopunguzwa kazi, Serikali isaidie tupate haki zetu tunaopunguzwa

    Leo tarehe 21 mwezi wa 11 kumefanyika Kikao cha Wafanyakazi wanaojenga Mradi wa SGR na Maafisa Rasilimali Watu wa Kampuni ya Yapi Merkezi ambaye ni Mkandarasi Mkuu wa Mradi huo, hakuna muafaka ambao tumeufikiwa kati yetu. Kikubwa ambacho tumezungumza ni kuwa Wao wametoa orodha ya majina ya...
  3. R

    Taja jimbo unaloona linakwenda upinzani 2025 endapo Tume ya Uchaguzi itakuwa ya haki

    Natafakari upya kuhusu wabunge mzigo kwa jamii. Safari hii najiuliza majimbo gani yatakwenda upinzani? Wanasiasa wapya watakuwa akina nani?
  4. Ujerumani yaipa Tanzania msaada wa Tsh. Bilioni 56.3 kuboresha Haki za Binadamu

    Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, imetia saini ya Mkataba huo kupitia Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani, Fedha zitakazotumika kwaajili ya kugharamia maeneo Manne. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania, Tsh. Bilioni 8.15...
  5. Dkt. Biteko: Polisi zingatieni haki katika utendaji wenu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutenda haki wakati wote wa utendaji wao wa kazi, wachukie rushwa na wajikite katika kutatua matatizo ya watanzania kwani usalama wa watanzania upo mikononi mwa Jeshi hilo. Amesema hayo, leo Novemba 16...
  6. R

    Kitila Mkumbo: Tunapoendelea kuelimisha suala la maadili kwa vijana wetu tusije tukawaondolea haki yao ya kuwa watoto

    Waziri Kitila Mkumbo akiwa anahitimisha hoja yake, anakubaliana na wabunge wengine kuhusu umuhimu wa kuzingatia maadili kwa watoto lakini tunapoendelea kuwaelimisha vijana wetu kuhusu maadili tusije tukawaondolea haki yao ya kuwa watoto. Ni muhimu watoto wakabaki kuwa watoto kwasabu bila hivyo...
  7. Je ni haki kwa mafundi ujenzi wanaojenga nyumba za serikali kwa force account kuzungushwa katika malipo yao??

    Mimi ni fundi ujenzi (majengo) katika wilaya X ninajenga na kufanya kazi za serikali kwa njia ya force account lakini ikifika swala la malipo ninazungushwa sana mara taarifa zinakuja eti kunamaboresho ya mfumo sasa yapata miezi mitatu tangu marekebisho yasemekane kwani hayaishi?? Maana...
  8. Balozi wa Uingereza nchini: Serikali zinatakiwa kuzingatia nafasi za wanaowafadhili. Ni kuhusu haki za LGBTQ

    Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar akihojiwa kuhusu Uganda kupitisha sheria ya ushoga, amesema nafasi ya Uingereza juu ya haki za LGBT+ duniani iko wazi. "Tunaunga mkono haki za makundi yote kutendewa kwa usawa na wasibaguliwe. Makundi yenye watu wachache ikiwemo jamii ya LGBT+...
  9. Haki za Binadamu watoe tamko la Kulaani Unyanyasaji wa Yanga kwa kumfunga Simba chuma Tano 😂

    Menejimenti imechanganyikiwa Rais wa heshima kachanganyikiwa Benchi la ufundi limechanganyikiwa Wachezaji wamechanganyikiwa Wanachama wamechanganyikiwa Mashabiki wamechanganyikiwa Wachambuzi wamechanganyikiwa Mpaka majirani wamechanganyikiwa
  10. B

    Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

    Huu ni mrejesho wa yenye kujiri: (a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya: 1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa: "Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama" 2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu. 3. Wajumbe...
  11. Kuna haja ya kufanya chaguzi za kisiasa nchini ikiwa haki za raia zinaporwa

    Taifa linapaswa kujiuliza kama chaguzi zetu ni sahihi kuwepo,Taifa letu ni sovereignty state au ni monarchy state. Hawezekani kila tunapoelekea uchaguzi mbalimbali za kisiasa Taifa linapotezewa uwezo wa kuhifadhi haki za binadamu hususani haki za kuishi na Uhuru wa mawazo. Ikiwa suala la...
  12. W

    Haki ya kutoa maoni ni haki ya kila Mtanzania kulingana na katiba ya nchi

    Hivi karibuni kauli ya Paul Makonda imedhihirisha katika ukandamizaji wa Uhuru wa Kujieleza nchini baada ya kusema wastaafu hawaruhusiwi kutoa maoni. Wastaafu wana haki ya kutoa maoni yao kama watu wengine hasa maneno ya ushauri kwa vijana,wakati mwingine huwa ni ushauri mzuri. Katika Katiba...
  13. Ukimkuta mtanzania anaitetea CCM ujue anakula na kuishi CCM, ila ukimkuta mpinzani anatetea haki na hali Upinzani.

    Tutafakari haya maelezo.
  14. Hadhi ya Makonda kwa Sasa ni sawa na Makamu wa Rais au Kaimu Rais, ana haki ya kumpa maelekezo mtu yeyote yule, hata Philip Mpango

    Hiyo ndio hadhi ya Makonda kwa Sasa. Ameanza kazi rasmi, na ameanza kwa kumpangia kazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, moto ni uleule kwa Makamu wa Rais, Sasa akifika kule wilayani na mikoani, wakuu wa huko wajipange. OCD na RPC, msiache kutembea na pingu, amri yoyote inaweza kutolewa...
  15. Tume ya Haki za Binadamu na Bunge wachunguze tukio la wanajeshi kupiga raia Kawe. Madhara yapo

    Kupitia upashanaji habari wa sisi wananchi, tumegundua kuna ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu uliofanywa na JWTZ Kambi ya Lugalo dhidi ya raia. Siyo siri, tukio la kuuawa kwa Luteni Kanali limeacha pigo kubwa kwa familia yake, wanajeshi wenzake na serikali kupoteza asset yake muhimu. Ukweli...
  16. Hakuna ubishi Majani ni G.O.A.T. Taja beats ambazo alizitendea haki kiuhakika

    My favourites: 1: Ya leo kali - Sir nature https://youtu.be/GXCVGgilmy0?si=NHnPDmN_3d2yp8d5 2: nini mnataka - Pig black https://youtu.be/0qNYFOaORoA?si=QSY3Afitv0bGT_qg 3:wanok nok - Domokaya na mandojo https://youtu.be/Tmk6TWOd-Nw?si=137mZNDvguFmK5Rp 4: kimya kimya - Jay moe...
  17. Uhaba na Ubaguzi kwenye Pesa itakuwa nguzo kuu ya anguko la CCM miaka michache ijayo

    Nguvu ya kiuchumi inabeba ushawishi mkubwa sana katika nyanja mbalimbali za maisha hapa Duniani. CCM itavugika tu pale tu pesa itakapokuwa ni taabu miongoni mwao hasa ubaguzi wa fursa za kiuchumi Nawaibia siri tu shida za kiuchumi, fursa za kiuchumi na kipesa ndani ya CCM ndio silaha kubwa...
  18. Ukimya wa vyombo vya habari juu ya unyama wa wanajeshi dhidi ya raia huko Kawe

    Kufuatia tukio lq mauqji ya Luteni Kanali aambaye inasadikiwa alizozana na mwendesha bajaji na kupelekea ugomvi uliogharimu maisha. Imesemwa kuwa mruhumiwa ameshatiwa nguvuni akisubiri sheris kuchukua mkondo wake kuna vurugu zinaendelea Kawe ambapo baada ya shughuli za kuaga marehemu pale...
  19. B

    Gaza: Uso kwa uso na machampioni wa Demokrasia na Haki za Binadamu

    Tembea uone na kuishi kwingi ni kuona mengi: Clip hii inajieleza. Demokrasia ipi au haki zipi za bindamu Marekani au Ulaya magharibi watamwambia nani wapi? Undumila kuwili wao unawapa sana visingizio mabaradhuli wengi wa dunia hii kujifanyia yao na bila ya simile. Kumbe nani wa kumwambia...
  20. Pongezi kwa Rais Samia kwa mambo anayoyafanya tangu aingie madarakani

    PONGEZI 12 KWA MHE. RAIS SAMIA Na Amon Nguma . Salamu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - KAZI IENDELEE . Ni ukweli usiopingika kuwa Salamu hii imebeba maana na uhalisia wa kazi Iendelee kutokana na mambo mazuri yanayofanywa na Serikali chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…