Hii ndio njia pekee na dawa ya Mua40 Itakayokomesha hicho kikundi cha kigaidi kisichojulikana na vyombo vya ulinzi na usalama Tanzania.
Kinachoteka watu mchana-usiku kupoteza na kuua raia Nchini Tanzania kilichoanza KAZI kuanzia serikali ya awamu ya tano na awamu hii ya sita kikapewa na kinga...
Mwaka 1964 wakati wa maasi ya Jeshi la Tanzania ( King's Ruffles Army) aliyekuwa Rais wa Tanzania aliomba msaada kwa Jeshi la Uingereza kuja kumuokoa ambapo Jeshi la Uingereza lilituma vikosi vyake vikaingia Dar es Salaam na kumlinda Nyerere na Wananchi.
Miaka zaidi ya 60 tangu kutokea kwa...
Hamjambo wote!
Bado ninaendelea kujiuguza lakini naendelea vizuri.
Miaka kadhaa iliyopita wakati wa JPM niliwahi kuandika kuwa anapotawala Kiongozi Mkristo nchi inakuwa kwenye Hali ngumu huku nikiwasifia na kuwapa nafasi waislam kama watu wanaojali na kupenda Haki.
Nakiri Leo kuwa niliandika...
Siamini kama muovu ni mtu timamu kiakili alietimia namchukulia kama chizi anayepaswa kuchukuliwa hatua za taahadhari wakati wote, kwani chizi anaweza kukuuwa yeye ni jambo dogo hilo yani hana akili.
Mtu mwenye akili timamu hawezi kufanya mauwaji ya wenzie wanao hamasisha haki na demokrasia bali...
Mwamakula Ametuma salamu za pole huku akilaani tukio hilo huku akieleza kuiwa tukio hilo haliwezi kuwarudisha nyuma katika kudai haki nchini tanzania
ameeleza kuwa misimao hiyo intoka na kile ambacho inatokana na fr kitima kutoa tamko kuhusu hali ya demokrasia nchi
na kuelezea kuwa tukio...
Katika Jambo ambalo Dola inataka kuwachezea watanzania, ni kuwaandaa Hawa wahuni wawili kama possible successors wa Urais endapo Huu upuuzi wa Uchafuzi Mkuu 2025 wataendelea kuulazimisha Kwa Bunduki ,utekaji na mauaji uendelee kama ulivyopangwa !!.
Dola ambayo ndio inayowaongoza CCM Kwa...
Yakitokea yale ya Magufuli tusije kusema alikuwa mtu wa haki kinafiki. Maana yatatokea mtakuja hapa na kusema alikuwa mtu wa haki sijui nini wakati Polisi wanavunja miguu watu wakienda mahakamani kutafuta haki! stay tuned Mungu achezewi anakupa nafasi ukiipata itumie kwa mazuri akija kuiondoa...
Kwa wanaomjua Tundu Lissu na baraka alizonazo hawatapinga hili
Huyu Bwana ana kismart cha ajabu sana.
PAmoja na kwamba yuko lockup leo uchaguzi ukifanyika huyu bwana akapelekewa form aisee nakuapia Dunia itasimama. Atashinda.
GT
Nimefatilia watawala wetu hasa hawa wa CCM tangu vugu vugu la No reforms no election kutamka neno HAKI imekuwa ni kaa la moto midomoni mwao.
Wao kwa sasa wamejificha kwenye kichaka cha.Amani. huku wakijua bayana kabisa kabisa Amani ni tunda la haki. Ili upate maziwa lazima ng'ombe awepo...
"2025 huu ni mwaka wa uchaguzi, sisi kama serikali, kama wadau wa uchaguzi, pindi tume huru ya uchaguzi watatoa ratiba tunatarajia nyie ndiyo mtalieleza taifa (Wanahabari) na sisi ushiriki wetu ni kuhakikisha kwamba yale yaliyo muhimu ya kuufanya uchaguzi huu kuwa wa usalama, na kila mmoja...
Kabla ya haya ma-clowns waliopo sasa ku-run the streets, Tanzania ilikuwa imejengwa na real OGs kama Mwalimu Nyerere — the Godfather of peace and unity. Back in the day, watu walihustle kweli kupata uhuru; siyo hizi cheap talks tunaskia sasa.
Old heads walikuwaga na wisdom kali, kama vile...
Katika Uislamu, kuna hadithi maarufu sana inayosema kuwa kiongozi muadilifu atapata thawabu kubwa Siku ya Kiyama. Mtume Muhammad (SAW) amesema:
(Hadith - Sahih al-Bukhari na Sahih Muslim)
Hii ina maana kwamba kiongozi anayehukumu kwa haki, anayewatendea watu kwa usawa, huruma, na uadilifu...
Mimi ni Simba SC damu damu ila labda tu uwe ni Mpumbavu, Mshamba na huujui Mpira na wala hujaucheza pia ndiyo yo utaweza Kukataa kuwa yale Matukio yote Makubwa mawili yaliyopelekea Mwamuzi kutumia VAR kuyaamua yalikuwa ni sahihi ila ni BAHATI tu na NYOTA ya Siku ndiyo viliibeba Simba SC yetu...
Wakuu,
Mjadala wa wazi kwa raia wa tabaka zote kuhusu msigano wa 'Haki' na 'Amani' katika jamii
Mfalme mkuu wa Uingereza (The Great Alfred of Anglo-Saxons) aliwahi kudokeza hivi
RIGHT AND PEACE
Which one comes first?
Both rights and peace maintenance are crucial, and prioritizing one over the...
Tumefikia mahala watawala kutoka CCM hakuna kitu wanaogopa kama haki.
Wako tayari kuteka, kuua ama kupoteza watu ili kuzuia haki.
Tumefikaje hapa?
Hali itakuwaje kama wataendelea kutawala miaka 15 au 20 ijayo?
Kwanini hawataki kabisa haki itamalaki hapa nchini?
Nilimsikia samia anakwepa mabadiliko ya kiuchaguzi anahamasisha tu itulivu kwamba utapelekea uchaguzi wa haki bila mabadiliko yoyote ya kiuchaguzi bado hakuwezi kuwa na uchaguzi huru na wa haki.
Nasisitiza hakuna yoyote aliye hamasisha vurugu kwenye nchi wala aliye shika silaha yoyote mpaka...
Mbeto : INEC , ZEC Tume huru za Uchaguzi zenye uwazi na haki
Na Mwandishi Wetu, Zanzibar
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeutaka Upinzani kutozibeza Tume za Uchaguzi , INEC na ZEC na kudai si huru wakati Chadema na ACT Wazalendo , vimekuwa vikiongeza idadi vya Viti vya Udiwani...
Na Rev. Eliona Kimaro
Hatuna shida kubwa ya amani tuna shida kubwa ya haki, haki inahitajika sana
Hapatakuwa na amani kama hakuna haki, ukiona amani ipo mahali ujue ni kazi kubwa ya haki iliyotangulia, haki inatengeneza amani.
Tujitahidi kutenda haki katika familia zetu, katika mitaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.