haki

  1. JamiiForums Tanzania Sauti yetu kwa Haki, Mwili wetu kwa Amani

    Sauti Yetu kwa Haki, Mwili Wetu kwa Amani – Kuandamana Dhidi ya Utekaji na Mauaji Ndugu zangu wapendwa, wananchi wenzangu, watetezi wa haki na amani! Leo, tunakutana hapa si kwa uchungu tu, bali kwa azimio. Tunakutana hapa si kwa kukata tamaa, bali kwa matumaini. Tunakutana hapa kwa sababu...
  2. JamiiForums Tanzania DC Magoti unataka kuwafanya wenzako viwete kwa kutetea haki zao. Wewe aliyekufanya kiwete ulikuwa unatetea jambo gani muhimu?

    DC MAGOTI UNATAKA KUWAFANYA WENZAKO VIWETE KWA KUTETEA HAKI ZAO. WEWE ALIYEKUFANYA KIWETE ULIKUWA UNATETEA JAMBO GANI MUHIMU? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Magoti kiukweli umenifurahisha sana uliposema utawageuza watu wawe viwete. Naamini upo proud kuwa hivyo ulivyo. 2. Sijui historia...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Unasema unadai haki halafu muda huohuo unasema tar 29 utaifuta CCM. Je, utakuwa umewatendea Haki wanaccm?

    Mpo salama! 1. Sisi watibeli tunachozingatia ni Haki, Haki kwa Kila mmoja. Bila kujali chama chake, itikadi yake, kabila lake au dini yake. 2. Mara nyingi nawasikia wanaharakati wanaosema wanapigania Haki, kama kina Mange Kimambi na wengineo. Hata humu JF wakisema wanapigania Haki lakini muda...
  4. JamiiForums Tanzania Wana mabadiliko na wapigania haki Wamekosa Godfather au Mastermind ndio maana ushindi unachelewa

    Hamjambo wote! Mapambano kwa sasa ni makali sana. Upande wa watetezi wa haki unapata damage kubwa kwa kupoteza wapiganaji wake kila kukicha. Naona upande wa mabadiliko wamekosa Godfather au mastermind wa kuhakikisha madhara makubwa hayatokei kwa timu yao. Wakati upande wa wanamtandao...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Dr. Chris Mauki: Tunaweza kuikomboa Tanzania pasipo damu ya Mtu kumwagika, Kama kweli tunaipenda Tanzania basi tuipende haki ya watanzania

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instgram, Mwanasaikolojia na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dr. Chris Mauki ameandika haya: "Hiki ndicho ninacho kiamini. Kama Mwalimu aliweza kuikomboa Tanzania bila damu basi yote yanaweza kufanyika pasipo damu ya mtu kumwagika. Tukumbuke ni asili...
  6. JamiiForums Tanzania Kuiomba haki yako ni ishara ya udhaifu, tusikubali

    Watu wanatufyagia tena kwa macho makavu halafu sisi tunawabembeleza watutendee haki ,kama siyo ukichaa ni nini? Kama Taifa zima linakosa hata wanaume watano tu wakuweza kuirejesha heshima kwenye misingi yake , tunatofauti gani na jamii ya mashoga ?😎 Hivi inatuingia akilini Taifa zima liwe la...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kwa hili POLEPOLE umechemsha! Ulijiaminishaje kuwa nchini na kutamka haki dhidi ya wenye madaraka? Na hali ya kisiasa tuliyonayo

    Ulishauriwa vibaya kuwa hapa na kusema uliyoyasema. Aliyekushauri alikupoteza sana. Wewe ni Sterling na Sterling hapashwi kufa! Nakuombea "uponyaji" wa Mungu maana kuna mashaka makubwa na uhai wako!
  8. JamiiForums Tanzania Majibu yangu kwa Balile wa TEF kuhusu barua yake. Lini ulikemea, utekaji, uuaji na uminywaji wa haki kwa watu na vyama vya siasa?

    Tunakujua Ndani nje , tunajua Maisha yako na Mali zako ambazo umezipata Kwa Hila , tukikaa vijiweni unajitamba Kwa majumba yako uloyapata au sio ?. Mara ya Mwisho tumekaa Butiama. Ujifungue mwenyewe Chumbani kwako, Mkeo akikupikia Chai, kwakua tu wee ni TISS na Mwenyekiti wa TEF ndio uje na...
  9. JamiiForums Tanzania "Ooh mimi nawajua watanzania.." kibao. Unamjua nani???Hakuna unayemjua mkuu, na mikoani tutadai haki zetu zaidi

    Wewe ni nani ujifanye unamjua mTanzania na uvumilivu wake? Yani mimi nivumilie watu wanauwawa nchini kwangu? Watu wanatekwa kila siku, alafu nitulie tu kisa sio familia yangu? Ripoti za CAG ufisadi wa kutisha,, nitulie tu??? We pokea hiyo hela kale, hizo propaganda hazifanyi kazi tena
  10. JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha acheni wivu na ubaguzi.. kila mtanzania ana haki ya kuishi popote ndani ya Tanzania.

    Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote ndani ya nchi hii. Hii mbegu ya ubaguzi inayozidi kuchipua huko Arusha inabidi ikomeshwe. Halafu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Haki nchini kuelekea uchaguzi mkuu, haki za wapalestina Gaza: Kanisa katoliki ni la kupigiwa mfano dhidi ya madhehebu za kilokole, waisilamu nk!

    Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na uchaguzi mkuu 2019/20, 2024 na huu unaotarajiwa 2025 uko wazi: Msimamo wa kanisa katoliki kuhusiana na wapalestina Gaza huko, unajulikana: Papa Francis: Awacharukia "war mongers" wa mashariki ya kati wasiotaka amani Tofauti ya wazi kabisa baina yao...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Apostle Mtalemwa: Tuna vijana foolish wasioweza kudai hata haki zao

    Mchungaji amesema kuwa hana neno na wazee, ana shida na vijana. Asema vijana wa nchi hii ni foolish, hawawezi hata kusoma katiba na kudai haki zao, vijana wanahongwa elfu 5, tshirt, nyama na wali, baiskeli, eti ndiyo wakapige kura. Vijana hawa ni foolish. Anasema neno la Mungu linasema vijana...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Madeleka: Uchaguzi unafanyika kwa haki, amani, uhuru na kuaminika

    Wakili Peter Madeleka amesema uchaguzi mkuu ni takwa la kikatiba linalofanyika kila baada ya miaka mitano, ambapo wananchi hupata nafasi ya kutumia mamlaka yao chini ya Ibara ya 8 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwaweka madarakani viongozi wanaowataka na kuwaondoa wasiowataka...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama uchaguzi ungekuwa Dec2021 Ulikuwa na uwezo wa kupata hata zaidi ya kura 60% za haki kabisa, leo ndani ya chama chako bila ya kujiteua usingetoboa

    Unatafuta nani wa kumlaumu ni wewe mwenyewe. Ni moja ya kiongozi uliingia madarakani ukiwa unapendwa na sifa kedekede, ila baadae ukituona mafala na kutuzunguka. Imekucost wewe,legacy yako, chama chako, familia yako na kila kitu chako. Wewe ni mmama na umezaa ila serikali yako ilivyohandle...
  15. JamiiForums Tanzania Nampenda Haki, Uhuru, Usawa na Uzalendo kusema ukweli ni mabinti wazuri. Nimewaza nimchague nani kati yao, Wazazi wanasema ninaweza kuoa wote

    Nimekuwa namuvitiwa na hawa mabinti wanne huku ughaibuni na nina mpango wa kurudi nyumbani na kuoa. Hao mabinti ni Haki, USawa, Uzalendo na Uhuru, nyie mnaita sijui pisi kali ni kweli ni mabinti wazuri na naamini watazalisha kizazi bora. Ila imekuwa ngumu sana kwangu nikiwaza inabidi nichague...
  16. JamiiForums Tanzania POTOSHI Dkt. Slaa amethibitisha kuwa CHADEMA Haikufanya uchaguzi huru na wa haki

  17. JamiiForums Tanzania Wife kaniomba anataka naye ashiriki kupania UHURU wa nchi, nimetoka kumwambia hiyo ni haki yake

    Nimefurahi mke wangu kachoma vitenge anaunga juhudi jambo la kiungwana na utu.
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Wakati unafikiria kupigania haki yako kwa wanasiasa wasiotutakia mema usiseme naogopa polisi kwanini polisi wasikuogope wewe

    Wakati unafikiria kupigania haki yako kwa wanasaiasa wasio tutakia mema usiseme naogopa polisi kwanini polisi wasikuogope wewe. Au polisi sio watu kama wewe, kama ni kupagania haki yako dhidi ya utawala mbovu haina majadala na haiwezi kuwa kosa la jinai. Watu mtakao andamana msifanye vurugu...
  19. JamiiForums Tanzania GE2025 Lolote litakalonikuta Oktoba 29, 2025 waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta haki na uhuru

    Mimi 29/10/2025. Naomba mnizike pamoja na bendera ya Tanganyika. Kisha waambieni watoto wangu nilipambana kuitafuta HAKI na UHURU. Mimi Noel naahidi mbele yenu na pia nitakuwa tayari kufa ili mradi haki na uhuru inakuwa ni sehemu yetu salama. Ewe mwenyezi Mungu nisaidie. Amina
  20. S

    JamiiForums Tanzania Majaji wa Kesi ya uhaini inayomkabili Lissu, wanatosha? Wanatenda haki?

    Kwa kusiliiza hoja za mawakili wa serikali na hoja za Lissu, majaji wa hii kesi kweli wanatenda haki kwa hii kesi kuendelea kuwepo mpaka muda huu? Kwa maneno mengine, majaji hawa wanatosha,? Labda niulize: Je, maamuzi ya Mahakama ya Rufaa kwa kesi za aina hii zilizotangulia, hayatoshi kufuta...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…