haki

  1. GE2025 Humphrey Polepole: Kuna majaribio ya kutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta

    Humphrey Polepole: Kuna majaribio yakutaka kucheza na Haki yangu, watu wabaya wananitafuta
  2. GE2025 Kada wa CCM Simiyu alalamikia mchakato wa kuteua wagombea, asema bila haki tutapata wabunge ambao si wazuri

    Wakuu Aliyekuwa mgombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Meatu mkoani Simiyu kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Godfrey Sitta Sukari, akitoa malalamiko yake dhidi ya viongozi wa Chama Mkoa na Wilaya akidai kuhusika kwao kuvuruga zoezi la uteuzi wa wagombea mkoani hapo.
  3. M

    Makundi ya haki za Binadamu ya Israel yatoa ripoti kuilaani serikali yao kwa Mauaji ya Kimbari(Genocide) huko Gaza

    Baada ya taatifa ya taasisi ya haki za binadamu ya Amnesty ya miezi michache iliyopita, taasisi ya haki za binadamu ya nchini Israel ya B'Tselem nayo imetoa taarifa kuwa wamejiridhisha vya kutosha kuwa serikali ya nchi yao inafanya mauaji ya Kimbari huko Gaza. Wakihojiwa na mwandishi wa habari...
  4. W

    Mchungaji Kimondo: Wanajua uchaguzi ukiwa huru, wa kifuata utaratibu na haki CCM hawawezi kupita

    Mchungaji mstaafu wa KKKT Dkt. Steven Kimondo amesema kuwa chama cha mapinduzi hakitaki kufanya mabadiliko/reforms zinazoombwa ni kwa sababu wanajua uchaguzi ukiwa huru na haki hawawezi kushinda. Mchungaji Kimondo amerejelea maneno aliyowahi kuyasema Balozi Humphrey Polepole kuwa CCM ikifanya...
  5. Wafanyakazi wa Mlima Kilimanjaro: Jiungeni Sasa Kudai Haki Zenu Kisheria Kupitia Mountain Workers Advocacy Union (MWAU)

    Kwa muda mrefu, wapagazi, waongozaji na wapishi wa Mlima Kilimanjaro wamekuwa wakifanya kazi katika mazingira hatarishi, bila mikataba, bila bima ya afya, na wakikosa kinga ya kisheria – hali inayokiuka haki zao za msingi kazini. Kwa mujibu wa Employment and Labour Relations Act, 2004, Kifungu...
  6. Haki kwa wapanda Mlima Kilimanjaro, kama wewe ni mdau soma na ushiriki

    We are going to lose the rights of mountaineers and the entire tourism industry in general. We are the Mountain Workers Advocacy Union (MWAU) — a powerful collective voice for porters, guides, and cooks on Mt. Kilimanjaro. We stand for dignity, justice, fair contracts, and safe working...
  7. R

    Onesmo Mushi: Manabii Mwamposa, Gwajima, et al na concept ya "mapenzi" ya Mungu vinavyowasaidia WATAWALA kutawala bila WATAWALIWA kuhoji haki zao

    Ukisha amini akina Mwamposa, Gwajima, Mzee wa upako na wengine kama hao..et al, mtawala anashukuru maana unamvua responsibility ya fate ya maisha yako na kuiweka mikononi mwa Mungu kadri ya mahubiri ya akina Mwamposa ya pokea nyumba, pokea gari, pokea upako, pokea bahati etc etc TUAMKE...
  8. Huwezi kuwa mtu halali kuidhinisha kitu halali ilhali wewe mwenye 'sihalali' Yani hujapatikana Kwa haki

    Nafikiri shida ndo ipo hapa. Na uhuni huu tukienda nao miaka mitano ijayo. Taifa lote linaenda kuwa la si kuhalali na hakuna haki itatamalaki nchini Kwa sababu tutakuwa na reference ya number 1 kama mtu hakupita kwa haki. HATUA STAHIKI ZIFANYIKE SASA.KAMA TAIFA. NI MUDA WA KUWEKA MASLAHI...
  9. R

    GE2025 Kuna matamko huyategemei toka kwa Jaji wa Rufaa, anatoa haki Mahakamani! 37 millions wamejiandikisha kweli?

    Judge mzima huna aibu unasema 37 wamejiandikisha......... By all intent and purposes haiwezekani watu wote wajaiandikisha........ duniani haijawahi kutokea. Nchi za Ulaya, particularly Western, ambazo database za watu wake ziko perfect 100% unaweza ku quote data hizo ukazifaya automatically that...
  10. Ukweli mgumu kwa nchi

    Sikiliza Huu ujumbe kwa Nchi https://youtu.be/qQHFX3DBj-k?si=4YEiO6KBXBJgn-0O
  11. GE2025 Sina tatizo na Samia kuongoza, tatizo langu ni Sheria na taratibu zifuatwe kwa Haki

    Hamjambo! Sisi wengine hatunaga shida na mtu kuongoza au chama Fulani kuongoza. Ili mradi ni mtanzania na yupo chama cha Watanzania sisi hatuna shida na hilo. Shida yetu(Mimi na Watibeli) wapigania na wapenda Haki ni kuona Sheria, haki na katiba vikikanyagwa. Hapo ndio shida yetu ilipo...
  12. Tishio kwa Wazalendo: Haki ya Maoni au Hukumu ya Kifo?

    Fg
  13. L

    Usawa kwa Waandishi wa Habari: Wabunge Wanahitaji Elimu ya Msingi Tu, Lakini Waandishi taaluma Certificate etc.? Hii Sio Haki! Uchaguzi 2025

    Wananchi wa Tanzania, katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025, ni wakati muafaka wa kuangazia masuala ya msingi yanayohusu haki, usawa, na maendeleo ya taifa letu. Moja ya changamoto kubwa inayopaswa kushughulikiwa kwa dharura ni tofauti kubwa ya viwango vya elimu vinavyohitajika...
  14. LHRC: INEC itoe uhakikisho kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki

    Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Fulgence Massawe ametoa wito kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kujitokeza hadharani na kuwahakikishia wadau kuwa uchaguzi utakuwa huru na wa haki. Massawe ametoa wito huo leo Julai 24, katika mahojiano katika...
  15. M

    Tume iko wapi kukibana CCM na mgombea wake ili kutengua uteuzi wake? Tume itende haki

    Moja ya mambo ambayo yakija kutokea huko mbeleni pengine kutokea machafuko nchini kwa kisababishi cha upendeleo wa kunyamazia mambo yanayotokea CCM na mambo hayo hayo hayanyamaziwi yanapotokea vyama pinzani Tunapozungumza leo, Chadema imesimamishwa mikutano, luzuku na hata kiongozi yoyote...
  16. M

    Taifa limepasuka kati ya uovu na uwema, kati ya haki na dhuruma, kati ya ukweli na uongo. Tujitafakari

    Kwa hali iliyop sasa Taifa linapitia kipindi kigumu sana kuna mgongano wa fikra na vitendo kati ya wanaotetea uovu waziwazi na wale wanaopinga uovu. Katiba hazifanyi kazi, watu wanaumizwa, mbinu za kuendeleza uivu zinapangwa na kutekelezwa kilichobaki wananchi watoe maamuzi yao vinginevyo nchi...
  17. Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai

    Usajili wa Vyeti vya Kuzaliwa kwa Watoto Chini ya Miaka Mitano ni Haki ya Msingi Inayopaswa Kutekelezwa kwa Wakati – Mhe. Randeep Sarai Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada, Mhe. Randeep Sarai, amesema kuwa usajili wa vyeti vya kuzaliwa kwa watoto wenye umri wa chini ya miaka mitano ni...
  18. GE2025 Haki itendeke CCM nao wanyimwe Ruzuku, Kwa kutofata katiba yao

    Hii nimeipenda sana, na itatumika kama reference siku za mbeleni, sijui Msajili wa vyama atachomoka vipi. Jaji Mtungi amekuwa mwiba mkali kwa kukandamiza CHADEMA, amewafanyia ushetani mkubwa eti katiba yao haikufatwa. Mara paa kimewakuta CCM ambapo ilimpitisha Rais Samia kiharamu bila kufata...
  19. A

    KERO Tulisimamishwa na kuondolewa kazini NSSF kinyume cha Sheria, hatukutendewa haki

    Tukiwa Watumishi wa NSSF, tulisimamishwa kazi na kisha kufukuzwa kabisa bila Sheria kufuatwa, lakini ajabu ni kwamba wapo wenzetu ambao na wao walikuwa na makosa kaka sisi tuliofukuzwa lakini hawakusimamishwa, wamepata ajira za kudumu. Sisi tupo nyumbani kwa karibia miaka miwili sasa, tulikuwa...
  20. INEC iliundwa ili kuhakikisha chaguzi zetu zinakuwa za Haki, Huru na zakuaminika

    Rais Samia ametunga sheria mbalimbali kuimarisha demokrasia nchini ikiwemo sheria ya tume huru ya uchaguzi ili kuhakikisha chaguzi zinakuwa za haki,huru na za kuaminika. Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 imeitambua demokrasia na haki kama nguzo muhimu na ya msingi katika utekelezaji wa maono...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…