Mwandishi wa Mithali inasema hivi: Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu ya watu wote (14:34). Msemo huu ukiuangalia kwa haraka unaweza kukosa kuelewa una maana gani. Ila ukiangalia kwa karibu unaweza kuona ni kwanini "haki huinua taifa". Nimeandika hivi majuzi nikiendeleza tafakari iliyofanywa...
Tangu Nicolás Maduro achukue hatamu za uongozi mwaka 2013, Venezuela imepitia misukosuko mikubwa ya kisiasa na kijamii ambayo imesababisha shutuma nzito za ukiukwaji wa haki za binadamu.
Mashirika ya kimataifa yamekuwa yakiandika ripoti mbalimbali zinazoonyesha mbinu za kimfumo zinazotumiwa na...
Kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Twaha Mwaipaya juu ya jeshi la polisi kuwanyima ndugu wa clemence Mwandambo haki ya kumuona na baadaye kuchukuliwa mbele ya ndugu zake.
"Jeshi la Polisi Mbeya lilimkamata kaka yetu Clemence Mwandambo tarehe 29. 12. 2025 alipokuwa ameenda kuripoti na...
Hii ni falsafa ambayo iliandikwa karne ya kumi na sita na mwanafalsa John Locke wa uingereza .
Kwamba kwenye kutawala serikali huwekwa madarakani na wananchi . Serikali inapokuwa madarakani inatakiwa kulinda haki za msingi za raia wake; Haki za kuishi, uhuru wa kutoa maoni n.k
Huu ndio msingi...
Wana wa Mungu jf , heri ya mwaka mpya, kila mmoja kwa imani yake .
Rejea kichwa cha habari hapo juu,
Yeyote ambae anasema kwamba huu mwaka sio wa haki ajitokeze kwa hoja na atajibiwa.
Huu mwaka ni wa haki nyie machawa kaeni mguu sawa mtajua ,hamjui.
Mungu kaniambia Mengi ila kubwa sana...
Kwa kifupi nafasi yako kwa siasa zetu ni Nyeti.
Itumie kuleta HAKI.
Watetee wahanga wa D29, wape faraja
Jitenge na adhabu ya Munhu wako! Mauaji haya yalikuwa.makubwa!
ITUMIE KUITETEA TANGANYIKA ( ingawa kipengele hiki ni kigumu)
Jiepushe na upofu wa kutoona kuwa hapa HAKI inavunjwa...
Utangulizi:
Uislamu unasema hivi "ukiona uovu basi kwanza uondoe kwa mikono yako,ukishindwa kwa kauli na ukishindwa kabisa basi kwa kuchukia moyoni mwako,na huu ndio udhaifu wa imani" kwa maana yule anayechukia jambo moyoni mwake ni mdhaifu wa imani,kwasababu option ya kwanza na ya pili ndio...
Nimesoma HUKUMU ya Kesi ya THADEY KWEKA ambayo imetolewa jana kinyemela hata bila yeye mwenyewe kujitetea au kutetewa na Mawakili wake tangu kukamatwa kwake, Ninasikitika Kuona kwamba hata Mahakama kupitia Hakimu imejielekeza Vibaya Kutoa HUKUMU husika
Raia Wanategemea Mahakama itende Haki na...
Joseph Ludovic ambaye ni mwalimu wa na masomo ya dini mbali na kulaani vurugu za uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, mwaka huu ametoa wito kwa viongozi wa dini kuponya taifa kwa kuhimiza maridhiano badala ya kugeuka kuwa wachochezi kwa kutoa kauli zenye viashirio vya uchochezi wa kuligawa taifa.
Pindi ambapo migogoro inakomeshwa juu juu bila kushughulikia chanzo chake kama dhuluma, ukandamizaji, utekaji, mauaji, ubaguzi, umasikini au kunyimwa haki, hali ya utulivu inayopatikana huwa ya muda mfupi tu. Watu wanaweza kunyamazishwa au kuchoka kupigana, lakini maumivu, hasira na kutoridhika...
Kitabu cha Torati kinachosomwa na dini kuu 3 duniani yaani Uislamu, Ukristo na Uyahudi kina hadithi ya kusisimua sana kuhusu nabii mmoja wa kale aliyeitwa Mussa.
Hadithi ya maisha ya Mussa inafundisha kuhusu jambo moja kuu nalo ni HAKI. Hii ni kwa sababu, Mungu alitaka kuwatoa waisrael...
“Inategemea na mtizamo…..kama hamna amani unawezaje kudai haki? Utazitambuaje haki zako unawezaje kutimiza wajibu kwa hiyo kimsingi na watu wamekuwa na mijadala mingi lakini unawasikiliza tunahitaji amani….” Wakili Amon Mpanju, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake...
Hawa Vijana , Sijui wamepatwa na nini.
Walikuwa wakiweka maandiko mazuri ya kudai haki na kuelimisha .
Ila kwa sasa ni Kama kuna kitu hakipo sawa.
Vijana kweli tumefika hatua hii ya kununulika kirahisi
Hayaland na Mtibeli mjitafakari sana
Ukisikiliza viongozi wa serikali kila kona ya nchi wanahubiri amani lakini neno haki halipo mdomoni mwao.
Mimi najiuliza mbona hawakemei utekaji na bado unaendelea ? Waziri wa mambo ya ndani huoni kinachoendelea?
Ni lini nchi hii itakuja kuwa na utulivu wa kisiasa kama kipaombele cha serikali...
Mchachango wa Oscar kambona ktk Taifa letu ni mkubwa sana lakini inastajabisha kuona mtu huyu hakumbukwi kwa lolote lile hakuna hata mradi uliopewa jina lake !? , kwakweli Jasho la huyu mtu kulipigania Taifa hili limedhulumiwa
anamchango mkubwa wa kupigania mfumo wa vyama vingi katika nchi hii...
Mmetoa pongezi kwa wananchi kuwa wametunza amani.
Ukweli ni huu: Watu bado wanatafakari the way forward baada ya vifo vya watu 10,000 ( as per current unconfirmed testaments).
As long as hamjatenda HAKI, basi hakuna AMANI watu wamepoa kidogo wanatafakari what next!
HAKI HAKI HAKI then AMANI...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonnite Tanzania, Dkt. Nelson Kisale, amesema hofu inayotawala mioyo ya watu sasa ni zao la matendo yetu hata kutufikisha Kwenye yaliyotokea Oktoba 29 na siku zilizofuata.
Akihubiri kwenye ibada ya Noeli leo Desemba 25, 2025 mkoani Mara, Dkt. Kisale ameshangaa kuona...
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki.
Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au vinginevyo wamekuwa wadau wa amani akiweka msisitizo kuwa pasipo na haki hakuna amani.
Askofu Ruwa'ichi...
Kwa dunia ya leo ya miaka ya hivi karibuni, wanawake vitu vingi wanafanya kama wanavyofanya fanya wanaume.
Wanawake wengi siku hizi wanafanya vitu vingi kwa ajili ya kuwakomoa wanaume
Unakuta mwanaume kachepuka na mwanamke naye anataka kuchepuka
Hata kazi pia kuna kazi zingine ni za kiume...