haki za binadamu

  1. J

    Kiukweli Dr Dorothy Gwajima amekuwa kama Waziri wa Mambo ya Ndani kwa namna anavyowatetea Wananchi kwa haraka sana!

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima utendaji wake umenikumbusha enzi za Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa ni mwepesi sana kushughulikia matatizo ya Wananchi bila kujali kama anaingilia Wizara nyingine ama la Bila Dr Gwajima kuingilia Kati nadhani...
  2. Shida ya Lissu na Nyerere ni nini hasa?

    Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza. Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, bila kumumunya maneno alidai ni awamu ya kwanza. Kwa mtazamo wa Lissu, Nyerere...
  3. Vyombo vya Ulinzi na Usalama duniani hutumia nguvu kiasi kudhibiti fujo na kupambana na uhalifu kulingana na pingamizi, kiburi na ukaidi wa wahalifu

    Kwa kawaida, kazi ya mwanzo na muhimu sana ya vyombo vya ulinzi na usalama ni kulinda amani na utulivu wa watu, mali na makazi yao, bila kutumia nguvu. Vyombo vya ulinzi na usalama duniani kote, mara nyingi hufikia hatua ya matumizi ya nguvu kiasi, matumizi ya silaha nyepesi na nzito baada ya...
  4. Simulizi kuhusu waliopotea katika mazingira ya kutatanisha Tanzania 2023/24

    Nimesoma kwa masikitiko taarifa za siri za watu kutekwa nyara kuuwawa na watu wanajitambulisha kuwa polisi kwenye website ya BBC Swahili. Taarifa ilikusanywa na mwanahabari Samy Awami na timu yake ,Samy ni mtanzania mwenzetu amefanya kazi kubwa nawaomba moderators wauweke hapa. ===========...
  5. F

    Diaspora ya Tanzania tumesikitishwa sana nchi yetu kurudi nyuma katika masuala ya demokrasia na uhuru wa kujumuika

    Tulifikiri nchi yetu inatoka katika giza la siku zilizopita ambazo zilighubikwa na uhasama wa kisiasa na matumizi makubwa ya nguvu za dola kuwazuia wapinzani kushiriki siasa. Tunasikitika kuona yale yaliyoichafua Tanzania ndani na nje ya mipaka yake yamerudi tena; -utekaji -kuzuia wanasiasa wa...
  6. N

    LHRC walaani vikali tukio unyanyasaji wa kijinsia linalodaiwa kutokea Temeke

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani vikali kitendo cha kikatili cha unyanyasaji wa kijinsia kilichoripotiwa kumuhusu msichana mmoja kutoka Dar es Salaam,wilaya ya Temeke, Kata ya Makangarawe, Mitaa ya Msakala na Dovya, karibu na Shule ya Msingi Yombo Dovya.
  7. J

    Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

    Jeshi la Polisi limesema limeona taarifa na clip kwenye mitandao ya Kijamii ya Mwanamke anayebakwa na Wanaume Watatu kwa wakati mmoja Jeshi la Polisi limesema linafuatilia tukio hilo la kinyama na kuwataka Wananchi wenye taarifa za kufanikisha Watu hawa Kukamatwa mara Moja waziwasilishe polisi...
  8. Mke wa mtu ni Sumu ila Mume wa mtu ni Asali?

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kumekuwa na Video ya Binti mmoja inayozunguka mitandaoni ikionyesha namna anavyobakwa na kukawitiwa na Vijana kadhaa,Vijana hao ambao wamesikika wakitamka hadharani na kumshurutisha yule Binti akili hadharani na kumuomba radhi Afande. Kwa akili ya...
  9. Kwanini Taasisi ya LHRC imepotea sana kwenye ramani?

    Hii taasisi ya Legal and Human Rights Centre (LHRC) ilikuwa maarufu sana enzi ikiwa chini ya Helen Kijo-Bisimba lakini tangu aondoke ni kama haisikiki tena kwenye mambo makubwa na mazito ya kitaifa, mara ya mwisho niliwasikia wanampa karipio Oscar Oscar wa Kaliua kuhusiana na memes zake...
  10. Tume ya haki za binadamu inatumiwa kumdhoofisha Paul Makonda?

    Mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu, Jaji Mstaafu Mathew Maimu, anamtuhumu mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuwa alivuka mipaka kwa jinsi alivyoshughulikia kesi ya mkazi wa Arusha aitwaye Kalisti aliyeuziwa nyumba ya milioni hamsini kwa mkopo wa shilingi milioni tatu. Mkopo huo...
  11. Utekaji wa watoto: Gari yadaiwa kukamatwa ikiwa na watoto wawili waliotekwa

    Salaam wakuu, Kuna video nimekutana nayo ikimuonesha Mwenyekiti wa Kijiji cha Kwa Zoka, Vigwaza akielezea tukio la utekaji lililotokea Mlandizi. Mwenyekiti huyo amesikika akimpa maelekezo Mwalimu Mkuu ambaye hajafahamika jina akimtaka kuitisha kikao na wazazi kwa ajili ya kuwaeleza...
  12. D

    PreGE2025 Makonda anatoa wapi kiburi cha kuidharau Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora?

    Makonda amekaidi wito wa tume ya haki za binadamu na utawala bora, kiburi ameitoa wapi, Rais anachukuliaje hizo dharau? Km vp hiyo tume ifutwe au imeundwa kwa ajili ya kina nani. Makonda hafai kuwa kiongozi mkubwa, yupo kupumbaza wajinga. Pia soma: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora...
  13. Pauline Gekul anapaswa kurejeshwa kwenye uwaziri baada ya Tume za haki za binadamu kumsafisha?

    Baada ya Tume haki za Binadamu kusema wazi kuwa kwenye uchunguzi wake imeshindwa kubaini kama Mbunge wa Babati Paulin Gekul alitenda kosa la kumuingiza chupa kijana yule sehemu za siri! Hivyo ni wazi Paulin Gekul atarejeshewa uwaziri baada ya kutumbuliwa kimakosa! PIA SOMA - Tume ya Haki za...
  14. Naunga mkono makahaba kuondolewa

    Kuna watu mjadala ukiwa maadili yanavunjika wanawalaumu viongozi, na maadili yakinyooshwa wanawalaumu viongoziπŸ˜ƒ. Mara haki ya faragha, wengine hadi ushoga wameuweka kwa haki za binadamu. Humu kuna anayependa dada yake ajiuzee? Kama jibu hapana, sasa tujadili kuwapa mitaji na pia tujadili...
  15. I

    Olengurumwa: Asilimia 90 ya shughuli za utetezi wa haki za binadamu hapa nchini zinategemea ufadhili

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), amesema kuwa kwa sasa mashirika mengi yanayotetea haki za binadamu yanapitia changamoto ya ukosefu wa rasilimali fedha jambo ambalo linaweza kuongeza vikwazo kwao kwenye jitihada za utetezi. "π–¬π–Ίπ—Œπ—π—‚π—‹π—‚π—„π–Ί 𝗆𝖾𝗇𝗀𝗂 𝗒𝖺 π—Žπ—π–Ύπ—π–Ύπ—“π—‚ 𝗐𝖺 𝗁𝖺𝗄𝗂 𝗓𝖺...
  16. Arusha: Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yaiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo ndani ya Miezi 6

    Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu iliyoko jijini Arusha imeiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo kutoka kwenye sheria zake ndani ya muda wa miezi sita kuanzia sasa. Uamuzi huo umefikiwa kufuatia ombi lililowasilishwa na mlalamikaji Dominick Damian dhidi ya Jamhuri ya Muungano ya...
  17. O

    Songwe: Mbaroni akidaiwa kumuua mumewe akishirikiana na hawara

    Jeshi la Polisi mkoani Songwe linamshikilia mwanamke mmoja na mtu mwingine anayedaiwa ni hawara yake kwa tuhuma za mauaji ya mme wa mwanamke huyo kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi. Watuhumiwa hao ambao majina yao hayajatajwa wanadaiwa kumuua Victor Mwakapenda (41), mkazi wa mtaa wa...
  18. SoC04 Changamoto ya kuheshimu haki za binadamu na jinsi filamu, muziki, na sanaa zinavyoweza kusaidia kufikia Tanzania bora

    Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kama vile ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza, ubaguzi wa kijinsia, na ukosefu wa usawa wa...
  19. Serikali na Wasafi TV mlitakiwa muwe mmeshakuchukua hatua za kinidhamu kwa Makonda na Oscar. Ukimya wenu unamaanisha mmebariki udhalilishaji huo?

    Inapotokea mfanyakazi wa taasisi fulani amefanya kosa mbele za umma na akaonywa mbele za umma pia, tunatarajia taasisi anayofanyia kazi kuwajibika, kwanza kwa kukubali kuwa kosa limefanywa, kuomba radhi kwa umma, na kuchukua hatua za kinidhamu kama kanuni za maadili zinavyowaelekeza kulingana na...
  20. I

    Wadau kupeleka barua Ubalozi wa China kuishinikiza Serikali yao isiunge mkono mradi wa EACOP, wasema kuna ukiukwaji wa Haki za Binadamu

    Baadhi ya mashirika yasiyo ya Kiserikali nchini Tanzania pamoja na nchini Uganda wamekosoa vikali mradi wa Bomba la mafuta ghafi lenye urefu wa zaidi ya kilomita 1400 kutokea nchini Uganda hadi Tanzania kwenye mkoa wa Tanga kwamba ulipitishwa katika Mazingira yasiyo shirikishi huku wakidai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…