haki za binadamu

  1. figganigga

    Special Thread: Taarifa za Watu waliopotea au kuchukuliwa na “Watu Wasiojulikana”

    Salaam Wakuu, Nimeanzisha uzi huu ili tushikamane kama Watanzania kutafuta au kutoa taarifa ya watu waliopote. Kumeibuka wimbi la Watu wa kupotea katika mazingira ya kutatanisha. Rais ndo Mwenyekiti wa kwanza wa usalama, kupitia thread hii ataweza kujua ni kiasi gani watu wanapotea bila hatua...
  2. Msanii

    Watanzania wanaanza kuzinduka, wasema serikali ikachaguliwe na tembo kwakuwa wanawathamini sana kuliko wao

    Sheria zilizojaa ujinga zimeanza kukumbana na hoja kinzani kutoka kwa wananchi Pia soma:“Indigenous Peoples” ndio wenye haki ya kuamua wanataka nini kimaendeleo
  3. Msanii

    China ndio ya kwanza duniani kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na ndio marafiki wakubwa wa CCM. Unatarajia nini kutoka CCM?

    Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili. Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa! China inasifika...
  4. R

    Ushauri: Gari zote ziondolewe vioo vya tinted Ili kuwabaini watekaji wasiojulikana

    Salaam, shalom!! Hali ya USALAMA wa raia imekuwa Tete, na mamlaka husika hazitoi ushirikiano wa kutosha juu ya suala hili. Na Kwa kuwa wananchi ambao ndio Hasa waajiri wa vyombo vyote vya ulinzi wa USALAMA, tunao uwezo wa kujilinda na kurekebisha utata huu. Ushauri: Gari zote ziondolewe...
  5. The Palm Beach

    Wananchi tutumie mbinu hizi kujilinda dhidi ya "Watu Wasiojulikana"

    Jeshi la polisi [TANPOL] lenye jukumu la kikatiba na kisheria kulinda usalama wa raia na mali zao limekana kuhusika na ukamataji wa watu hovyo nje ya utaratibu wa kisheria kisha kuwapeleka kusikojulikana, kuwatesa na baadae kuwaua na kutupa miili yao porini au nyikani. Kama ndiyo hivi, maana...
  6. I

    Ufafanuzi wa Kisheria kuhusiana na utekaji unaoendelea

    Masuala yanayohusiana na utekaji nyara wa watu yanapovihusisha vyombo vya dola kama polisi, huibua wasiwasi mkubwa kuhusu haki za binadamu, utawala wa sheria, na uwajibikaji wa mamlaka. Katika muktadha wa Tanzania, kama kuna madai kama hayo, ni muhimu kufuatilia kwa karibu taarifa rasmi na...
  7. Bushmamy

    Kilimanjaro: Mwanamke mmoja Amuua mama yake mzazi ili arithi shamba

    Mwanamke mmoja ajulikanae kwa jina la Rosalia Chuwa mwenye umri wa miaka 59 kutoka katika kijiji cha Utaruni ,mkoani kilimanjaro amemuua mama yake mzazi ajulikanae kwa jina Anastasia Shio mwenye umri wa miaka 89 ili arithi shamba. Mwenyekiti wa ukoo huo amesema ya kuwa tangu Muda mrefu Rose...
  8. JanguKamaJangu

    Ripoti Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC): Wanawake Viwandani wananyanyasika kingono

    https://www.youtube.com/live/380UNEwvBCo?si=ES97yMPqBEkG_Qon Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) wakati kikizindua Ripoti ya 10 ya Biashara na Haki za Binadamu leo August 27, 2024, Afisa Program Mwandamizi wa Tafiti kutoka kituo hicho, Fundikila Wazambi amesema kuwa wamebaini...
  9. JanguKamaJangu

    Sakata la kutoweka Soka na wenzake, Serikali yasema haina uhakika iwapo wako Polisi

    Masjala ndogo ya Dar es Salaam kuhusu kesi iliyofunguliwa na Wakili Wakili Kisabo kuhusiana na madai ya kutoweka kwa mwanaharakati kijana Deusdedith Soka na wenzake wawili. Soma Pia: Kutoweka kwa Soka na wenzake, IGP, DPP, OCCID Temeke kufikishwa Mahakamani kwa Hati ya dharura Chanzo: Jambo TV
  10. Mkalukungone Mwamba

    Babati: Kijana auwawa kikatili na mwili wake watupwa dampo

    Hali ya taharuki imeibuka katika eneo la kuhifadhia taka katika mtaa wa Oysterbay Mjini Babati kufuatia kuokotwa kwa mwili wa kijana ambaye haujafahamika, aliyeuwawa kikatili na kufunikwa na takataka katika eneo hilo. Tukio hilo la mwili kukutwa dampo limetokea Agosti, 24 mwaka huu Hata hivyo...
  11. BARD AI

    Mahakama Kuu yaombwa kueleza kama ni halali kwa Mawakili wa TLS kuwatetea watuhumiwa waliombaka Binti wa Yombo

    Shauri la maombi ya marejeo limefunguliwa katika Mahakama Kuu, Kanda ya Dodoma dhidi ya mawakili na washtakiwa katika kesi ya jinai ya kubaka kwa kikundi na kumwingilia kinyume cha maumbile binti wa Yombo Dovya, Dar es Salaam. Maombi ya marejeo namba 23476/2024 yamefunguliwa leo Agosti 23, 2024...
  12. BARD AI

    Watuhumiwa 9 wa mauaji ya Asimwe wadai hawajui kosa lao

    Washtakiwa tisa wa mauaji ya Mtoto Asimwe Novart aliyekuwa na ualbino ambaye alichukuliwa nyumbani kwao Kamachumu May 30,2024 na June 17,2024 na mwili wake kukutwa kwenye kalavati akiwa ameuawa na kukatwa baadhi ya viungo vyake, wamefikishwa Mahakamani tena leo August 23,2024 huku wakidai...
  13. J

    Nilichogundua katika hukumu za kifo ni kuwa kila binadamu anaogopa kuua binadamu wengine

    Nilikuwa napitia Hukumu ya Afande Zombe katika ile Kesi ya Muuza Madini aliyeuawa Mabwepande Jaji alisema Zombe hana hatia Kwa Sababu Siyo yeye aliyefyatua risasi iliyomuuwa Muuza Madini Pia soma: Arusha: Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu yaiamuru Tanzania kuondoa adhabu ya kifo...
  14. I

    Tunavyoelekea kwenye Uchaguzi Jeshi la Polisi litekeleze majukumu yake kwa kuzingatia Haki za Binadamuu

    Kiukweli mwenendo wa jeshi letu la polisi kwa sasa umekuwa ni mbovu sana,hasa kwa kipindi hiki cha kuelekea kwenye chaguzi mbalimbali. Kuna matukio ambayo yameweza kujitokeza kwenye siku za hizi karibuni baadhi ya hayo matukio ni; 1. Kukamatwa kwa viongozi wa chama cha demokrasia CHADEMA...
  15. Chachu Ombara

    Freeman Mbowe: Dar es Salaam kuna kikosi kazi cha utekaji

    “Kama Chama tumechunguza kutoka vyanzo vyetu vya ndani na vingine vya ndani ya Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama, nitaeleza kwa kifupi tulichogundua na tunaowaonyooshea vidole ili Polisi na hao wengine watusute watuambie Mbowe mnasema uongo, uchunguzi wetu unatupeleka wapi...
  16. Mkalukungone Mwamba

    Inaumiza sana! Ndugu wa waliotekwa waeleza wanayopitia hadi sasa na kupeleka ujumbe kwa Rais Samia

    Katika mkutano wa Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe alipokuwa anazungumza na Waandishi wa Habari kuhusu sakata la wimbi kubwa la Viongozi wa CHADEMA, Watanzania wengine wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi. Watu kadhaa waliokutana na chagamato ya ndugu zao...
  17. Black Butterfly

    PreGE2025 Freeman Mbowe: Viongozi wa CHADEMA na Watanzania wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya Usalama vya Nchi yetu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe. Leo nitazungumza mambo mawili mahususi ambayo sisi kama Chama tunaamini yanagusa Watanzania na yanazua taharuki na hofu, nitazungumza kuhusu sakata la wimbi kubwa la Viongozi wa CHADEMA, Watanzania wengine wasio na Vyama wanaoendelea kutekwa na Vyombo vya...
  18. Gemini AI

    'Afande' Fatma Kigondo anayedaiwa kusaidia Binti wa Yombo afanyiwe Ukatili wa Kingono afunguliwa Kesi ya Jinai

    DODOMA: Kesi iliyofunguliwa na Wakili Paul Kisabo dhidi ya Afisa wa Polisi ASP Fatma Kigondo anayetajwa kama 'Afande', inasubiri wito wa kupangiwa tarehe ya kusikilizwa ambapo tayari imepangwa mbele ya Hakimu Francis Kishenyi. Afisa huyo ameshtakiwa kwa kusaidia genge la Watu Watano...
  19. J

    Kiukweli Dr Dorothy Gwajima amekuwa kama Waziri wa Mambo ya Ndani kwa namna anavyowatetea Wananchi kwa haraka sana!

    Waziri wa Maendeleo ya Jamii Dorothy Gwajima utendaji wake umenikumbusha enzi za Augustino Lyatonga Mrema alipokuwa Waziri wa Mambo ya Ndani alikuwa ni mwepesi sana kushughulikia matatizo ya Wananchi bila kujali kama anaingilia Wizara nyingine ama la Bila Dr Gwajima kuingilia Kati nadhani...
  20. MSAGA SUMU

    Shida ya Lissu na Nyerere ni nini hasa?

    Ukimpatia Lissu saa moja atatumia dk 45 kumdiss Mwalimu Nyerere kwa maneno makali kadri atakavyoweza. Alipoulizwa na Chief Odemba kwa maoni yake kuwa ipi ilikuwa awamu iliyoongoza kwa ukiukwaji wa haki za binadamu, bila kumumunya maneno alidai ni awamu ya kwanza. Kwa mtazamo wa Lissu, Nyerere...
Back
Top Bottom