haki za binadamu

  1. Siku ya Kimataifa ya Wanawake watetezi wa Haki za Binadamu

    Siku ya Kimataifa ya Watetezi wa Haki za Binadamu Wanawake huadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Novemba. Siku hii inatambua juhudi za wanawake wote wanaofanya kazi kwa bidii kutetea haki za binadamu, pamoja na watetezi wa haki za binadamu wanaopambana na ubaguzi dhidi ya wanawake. Mwanzo wa...
  2. Ukatili:Mtoto wa Kimasai Achapwa Viboko Hadi Kurukwa na AKili.

    Siku ya Tarehe kumi na tano ya wiki iliyopita, katika eneo la Engaruka wilaya Monduli mkoani Arusha,palitokea tukio la Kinyama la mtoto wa Miaka kumi na Tano ajulikanae kwa JIna la Namasi kufungwa katika Mti na kuadhibiwa kwa fimbo sehemu mbalimbali za mwili wake na kusababisha kupata majeraha...
  3. K

    Mungu akikuuliza umefanya nini kupigamia haki za binadamu utasema nini?

    Kwa sisi waumini wa Mungu tunaamini kutenda mema kwa vitendo na kupinga uonevu kwa mtu yeyote. Kwa wale wa umini tujiulize je leo ukienda mbele ya haki na kuilizwa na Mungu maswali haya utajibu nini 1. Kwa muda na nafasi niliyokupa duniani je umetumia akili yako na nguvu zako zote kupigania...
  4. Mfano wa Mr. Manguruwe; Ni kweli Makonda hana uelewa wa maana ya haki za binadamu?

    Nimesikiliza sehemu ya mahojiano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda na waandishi wa habari. Jambo mojawapo aliloulizwa ni tuhuma dhidi yake za ukiukwaji wa haki za binadamu, majibu yake yameniacha hoi kwa mshangao. Makonda anasema yeye ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu, mifano aliyoitoa...
  5. Tundu Lissu, nenda mahakamani badala ya kulalamika huko Kenya

    Kama una ushahidi kwamba ni wanafunzi waliosajiliwa kupiga kura kwanini huendi mahakamani? https://www.youtube.com/watch?v=Pak6q7ktQy4 ========= Tundu Lissu ataka Watanzania kuchukua hatua dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania Naibu Kiongozi wa Chama cha Demokrasia na...
  6. Mahakama ya Tanzania ni mhimili unaosimamia uvunjwaji wa Haki za Binadamu nchini....

    Tusome kwa pamoja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 12 (6) Kwa madhumuni ya kuhakikisha usawa mbele ya sheria, Mamlaka ya Nchi itaweka taratibu zinazofaa au zinazozingatia misingi kwamba: (a) wakati haki na wajibu wa mtu yeyote vinahitaji kufanyiwa uamuzi wa mahakama au...
  7. S

    TLS na Mwabukusi: Fungueni kesi dhidi ya serikali kwa ukiukwaji mkubwa wa haki na udhalilishaji wa utu wa binadamu katika mahabusu na magereza nchini

    Kwako Mwabukusi, TLS na wadau wote wanaoguswa na ukiukwaji wa haki za binadamu na udhalilishaji wa utu (dignity) wa mwanadamu nchini. Hali za mahabusu na magereza hapa nchini ni ambazo hazifai kwa binadamu kuwekwa. Ni jambo ambalo kila mtu anajua kwamba mfumo wa mahabusu na magereza zetu ni ule...
  8. Watetezi wa Haki nchini Nigeria watoa wito wa kulindwa kwa Haki za Kidigitali za wananchi, wasema serikali inawanyima haki hiyo ya msingi

    Tume ya Kitaifa ya Haki za Binadamu ya Nigeria (NHRC) na watetezi wa haki za binadamu wameomba ulinzi wa haki za kidigitali za wananchi kufuatia ongezeko la udhibiti, uingiliaji na unyanyasaji unaofanywa na serikali na taasisi zake za udhibiti. Wito huu umetolewa jana Alhamisi, Oktoba 31, 2024...
  9. Katiba na Sheria yawakutanisha Wadau kujadili utekelezaji wa mikataba ya Haki za Binadamu

    Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Idara ya Haki za Binadamu imewakutanisha wadau mbalimbali kutoka Bara na Zanzibar katika kikao kazi cha kukamilisha taarifa ya Nchi ya kufuatilia utekelezaji wa Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu pamoja na Mkataba wa Haki za Wanawake barani Afrika...
  10. U

    Serikali ya Iran yawanyonga hadharani wafungwa 92 ndani ya siku 17, ni wastani wa wafungwa 5 kila siku, watetezi haki za binadamu walaani

    Wadau hamjamboni nyote? Hiyo ndiyo Hali halisi huko Iran Kila siku wafungwa 5 wananyongwa Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iran executes 92 prisoners in 17 days, rights groups say 2 hours ago Share At least 92 prisoners have been executed in Iran since the start of October, averaging...
  11. Q

    PreGE2025 LGE2024 Wataalamu wa Haki za Binadamu wa UN watoa wito kwa Tanzania kumaliza ukiukwaji wa haki za binadamu kuelekea chaguzi za 2024/2025

    GENEVA (17 Oktoba 2024) – Wataalamu wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa wametoa wito kwa Tanzania kumaliza ukiukwaji wa haki za binadamu unaoendelea dhidi ya wanachama wa vyama vya upinzani, mashirika ya kiraia, waandishi wa habari, na watetezi wa haki za binadamu. Katika kuelekea uchaguzi...
  12. G

    Ripoti juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini: hakuna gazeti hata moja lililoandika habari hiyo!

    Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari...
  13. Serikali ya Tanzania Yalaumiwa kwa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Human Rights Watch, limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuchukua hatua za haraka kurekebisha hali inayozidi kuzorota ya haki za binadamu nchini, kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Kwa mujibu wa ripoti...
  14. LHRC: Tanzania imeshuhudia utekelezaji wa Sheria kandamizi zinazominya uhuru wa Vyombo vya Habari

    Huu ni uzinduzi wa maadhimisho ya Haki za Binadamu yaliyoandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC). Tukio hili linaangazia masuala muhimu kuhusu haki za binadamu nchini Tanzania, ikiwemo utetezi wa haki za wanawake, watoto, watu wenye ulemavu, na makundi mengine ya kijamii...
  15. PreGE2025 Human Rights Watch: Tanzania izingatie haki za binadamu kabla ya uchaguzi

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limesema serikali ya Tanzania inapaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuondoa hali ya kuzorota kwa hali ya haki za binadamu kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa. Taarifa iliyotolewa Jumatano na shirika hilo, imeeleza kuwa tangu mwezi...
  16. Boniface Jacob (Boni Yai) apatiwa Dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu

    Leo, Jumatatu Oktoba 07.2024 Mahakama ya Hakimu mkazi Kisutu imekubaliana na hoja za utetezi kuhusu pingamizi la kutopatiwa dhamana lililokuwa limewekwa na Jamhuri/serikali dhidi ya aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Kinondoni na baadaye Ubungo, Dar es Salaam Boniface Jacob (Boni Yai), hivyo...
  17. Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania: Haki za Binadamu zinapozingatiwa amani inaendelea kustawi katika Jamii zetu

    Katika kuelekea Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 53 wa Jumuiya ya Waislam wa Ahmadiyya Tanzania, Jumuiya hiyo imesisitiza umuhimu wa kuzingatia Haki za Binadamu kama nyenzo ya kustawisha amani nchini. Akizungumza Septemba 24, 2024 ikiwa kuelekea mkutano huo ambao unatarajiwa kufanyika tarehe 27 - 29...
  18. MiningWatch ya Canada wanasema kulikuwa na ukiukwaji wa sheria Mgodini North Mara, Tume ya haki za Binadamu Tanzania wanakana

    Mining Watch Canada ni NGO inayo fuatilia maswala ya madini hasa ukiukwaji wa haki za bibadamu, rushwa na maswala mwengine. Hii NGO iko Canda na BARICK ni kampuni ya Canada. Sasa Mining Watch ya Canada inakili kwenye utafiti wao walio ufanya North Mara kwamba Barick ambayo ni ya Canada...
  19. Waziri Dkt. Ndumbaro: Tusitumie Haki za Binadamu Kuharibu Utamaduni wa Tanzania

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ametoa rai kwa Watanzania kuacha kuiga utamaduni wa watu wa mataifa mengine kwa kisingizio cha Haki za Binadamu. Mhe. Ndumbaro ametoa rai hiyo, Septemba 20, 2024 katika uwanja wa Majimaji Songea mkoani Ruvuma wakati akifungua...
  20. Haki za Binadamu: Vitengo vya karakana ndani ya vituo vya polisi ni kwa kazi gani? Uchunguzi huru ufanyike

    Kumekuwepo malalamiko kutoka kwa baadhi ya wahanga wa mateso yatolewayo vituo vya polisi kuhusu uwepo wa KARAKANA za utesaji ndani ya vituo vya polisi nchini. Haya ni sehemu ya maelezo ya kijana SATIVA kupitia mtandao wa X alipokjwa anaelezea kutekwa kwake na jaribio lililoshindwa la kumuua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…