Rhoda Jonathan (46), mkazi wa Kitongoji cha Burunga, Kata ya Uwanja wa Ndege, Wilaya ya Serengeti mkoani Mara, ameripotiwa kuuawa kikatili kwa kukatwa mapanga hadi kufa.
Marehemu alikuwa mke wa Mhandisi Wilson Charles, Meneja wa TARURA - Kagera, ambapo wawili hao wamejaliwa watoto watatu...