haki za binadamu

  1. J

    Mkataba wa Haki za Binadamu na haki za watu wa Umoja wa Afrika (Mkataba wa Afrika)

    Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni: 1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa. 2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza mawazo yake kwa kuzingatia misingi ya sheria. Tume ya Haki za Binadamu na Haki za Watu ya Umoja wa...
  2. J

    Uhusiano kati ya tasnia ya habari, uhuru wa kujieleza na dhana ya Haki za Binadamu

    Demokrasia dhidi ya uhuru wa kujieleza/vyombo vya Habari Demokrasia sahihi hutegemea uhuru wa vyombo vya habari vinavyoweza kusimamia maslahi ya jamii. Kimsingi, haki zinazohusiana na uhuru wa kutoa maoni na kujieleza bila ya kuingiliwa, kutafuta, kupokea, na kusambaza taarifa na mawazo ya aina...
  3. J

    Je, unaijua mikataba ya Haki za Binadamu ya Kimataifa ambayo Tanzania imesaini?

    MKATABA WA HAKI ZA BINADAMU NA HAKI ZA WATU WA UMOJA WA AFRIKA (MKATABA WA AFRIKA) Kifungu cha 9 cha Mkataba wa Afrika kinalinda haki ya uhuru wa kujieleza na kutoa maoni: 1. Kila mtu atakuwa na haki ya kupokea taarifa. 2. Kila mtu atakuwa na haki ya kujieleza na kusambaza mawazo yake kwa...
  4. Kifo cha George Floyd: Mashirika ya haki za binadamu yanaiogopa Marekani?

    Tokea tukio la kikatili na kibaguzi lililopelekea kifo cha George Floyd, mashirika ya haki za binadamu yapo kimya sana tofauti na ilivyo upande wa mataifa ya kiafrika. Tumezoea kuona mashirika haya yakikemea vitendo vya uvunjifu wa haki za binadamu katika nchi za ki-Africa lakini leo hii...
  5. Trump na Marekani yake si wanademokrasia wafuate haki za binadamu wasiue Watu kwa kutumia jeshi

    "Kikosi kazi mahiri (Jeshi) kimeenda Minneapolis kufanya kazi ambayo Meya wa Democrat ameshindwa kuifanya, kama tungetumia mbinu hii siku mbili nyuma kusingekuwa na vurugu na uharibifu kiasi hiki, Makao Makuu ya Polisi yasingeharibiwa, Asante” - Rais wa Marekani, Donald Trump • “Asilimia 80 ya...
  6. P

    Kifo cha George Floyd Mmarekani mweusi kuna cha kujifunza dhidi ya ukandamizaji wa haki za binadamu kwa wanaharakati wetu wa Tanzania?

    Kifo cha kusikitisha! aliwekewa goti shingoni kwa takribani dakika 8 na sekunde kadhaa. Akakata roho huku akilalamika hawezi kupumua! Je, wanaharakati wa Tanzania wa kutetea haki za binadamu na ambao siku zote hutumia Nchi ya Marekani kama kigezo cha haki za binadamu wana Cha kuieleza Dunia?
  7. Ujerumani kupunguza idadi ya nchi inazozipa misaada. Kigezo cha Utawala bora na Haki za binadamu kupewa kipaumbele

    Germany plans a shakeup of its foreign aid, limiting its "partner" list to 60 nations and dropping Burundi and Myanmar. Minister Gerd Müller says knock-out criteria will be corruption, rights abuses and poor governance. Germany is planning to heavily restructure its foreign aid agenda...
  8. Umoja wa Mataifa umesema janga la Corona limegeuka kuwa mzozo wa haki za binadamu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema janga la virusi vya corona ni mzozo wa kibinadamu ambao unageuka kwa kasi kuwa mzozo wa haki za binadamu. Katibu Mkuu huyo amesema katika ujumbe alioutoa kwa njia ya vidio leo, kwamba kuna ubaguzi katika utoaji wa huduma za umma...
  9. Rais Magufuli amedhihirisha kuwa ni kinara wa kutetea Haki za Binadamu kwa vitendo kwa jinsi anavyoshughulikia janga la COVID-19

    Hajapanic ametulia, anaangalia hali halisi ya maisha ya watanzania hajakurupuka anawahurumia watu wake ana hofu ya MUÑGU huyu ndiye John mtoto wa Magufuli Waliopiga kelele kuwa anavunja haki za binadamu wamejifunza kwa vitendo sitegemei kusikia tena Mbwa akibweka kuwa kuna uvunjifu wa haki za...
  10. Mike Pompeo ni mnafiki na wala si mtetezi wa haki za binadamu

    Huyu Mike hapo jana amesikika akiituhumu mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (ICC ) ni chombo dhaifu na kisichofaa. Hii yote ni sababu askari wa marekani wanatuhumiwa kufanya ukatiri na ukiukwaji wa haki za binadamu huko Afghanistan na sehemu mbalimbali( Hivyo wanatakiwa wafikishwe Hague)...
  11. Je, ni ukiukwaji upi wa Haki za Binadamu unaofanyika Tanzania?

    Ninauliza hili swali ili ndugu zangu kama Watanzania tupate kufahamu hawa jamaa wamarekani ambao huiona nchi yao kama paradiso wametuwekea zuio la kutusua kuingia nchini kwao. Hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu? Na kama upo ni zipi? Kwa mujibu wa Serikali ya US ni kwamba pamekuwa...
  12. SANOTEP: Rais Magufuli ni miongoni mwa Marais Wachache Duniani wanaoheshimu na kuzilinda haki za binadamu kwa Vitendo

    Kwa Mjibu wa Shirika linaloangaza utekelezwaji wa haki za binadamu Duniani limemtaja Rais Magufuli kama mtetezi wa vitendo wa haki za binadamu huku likijikita kwenye ushahidi wa vipengele vifuatavyo RUSHWA: Katika Serikali na chama, Magufuli amejipambanua kwa vitendo kuwa havumilii Rushwa ba...
  13. Tundu Lissu: Kamati ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Yatoka na Maazimio nane dhidi yake

    Toka: Geneva, Uswisi. Waheshimiwa Wabunge salaam. Poleni sana kwa mapambano na hongereni kwa kazi nzuri mnayoifanya. Naendelea kuifuatilia kazi yenu kwa ukaribu sana. Bila shaka mlisikia kwamba nilipeleka malalamiko juu ya mambo niliyotendewa na Tanzania ya Magufuli kwenye Umoja wa Mabunge...
  14. S

    Kituoa cha Sheria na Haki za Binadamu mmetuangusha!!

  15. N

    Taarifa ya msemaji wa wizara ya mambo ya nje USA: Tanzania ni lazima iheshimu haki za binadamu

    Hiyo hapo inajieleza yenyewe anaitwa Morgan Ortagus, kasema bashite kazuiliwa kuingia USA kwa sababu ya kukandamiza upinzani,haki ya kujieleza (alivyo hovyo bashite akashikia kidedea ka issue cha face swap cha Idris sultan na kusababisha nchi nzima tuchekwe mtandaoni). Mishowe msemaji huyo wa...
  16. Paul Makonda awa kiongozi wa kwanza kuzuiwa kuingia Marekani kwa kuwanyima watanzania HAKI YA KUISHI

    Serikali ya Marekani imemzuia Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuingi nchini humo kutokana na kuhusika kwake kwenye uvunjifu wa Haki za Binadamu unaohusisha kunyima haki ya kuishi, uhuru na ulinzi wa watu. Katika uongozi wake, Makonda ameonesha uonevu kwa wapinzani, kuminya uhuru wa...
  17. China yatajwa kuwa nchi hatari kwa Haki za Binadamu Duniani

    Shirika la kutetea haki za binadamu lililo na makao yake Mjini New York Marekani Human Rights Watch, limesema China inaweka mikakati ya kuidhoofisha mifumo ya kulinda haki za binadamu duniani kote. Shirika hilo limeyasema haya leo tarehe 15/01/2020 Jumatano katika uzinduzi wa ripoti yake ya...
  18. S

    Hospitali ya Taifa Muhimbili yajibu hoja za Wana JamiiForums kuhusu vifo Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila

    TAARIFA KWA UMMA KUHUSU TUHUMA ZINAZOSAMBAA MITANDAONI KWAMBA WAGONJWA WENGI WANAPOTEZA MAISHA KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI-MLOGANZILA. Dar es Salaam. 06 Januari, 2020 Kumekuwa na taarifa kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo Jamii Forum ambazo bila kuchanganua zinatuhumu kwamba...
  19. Desemba 10: Siku ya Haki za Binadamu | Vijana wanasimamia Haki za Binadamu

    Mwaka 1948, Umoja wa Mataifa ulichagua tarehe 10 mwezi 12 kila mwaka kuwa Siku ya Haki za Binadamu ambapo kwa mwaka huu Kaulimbiu ni 'Vijana Wanasimamia #HakiZaBinadamu' Kaulimbiu imeweka vijana kwasababu ushiriki wa vijana ni muhimu kufikia maendeleo kwa wote na Wanaweza kuchukua jukumu muhimu...
  20. Asasi za Kiraia kuishtaki Tanzania kwa kutaka kujitoa kwenye itifaki ya Mahakama ya haki za binadamu Afrika

    Dar es Salaam. Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamesema wanatafakari kuIshtaki Serikali ya Tanzania katika kamisheni ya Umoja wa Afrika kwa kutaka kujitoa kwenye itifaki ya Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika. Katika barua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…