haki za binadamu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoe amri Paul Makonda naye akamatwe kwa Tuhuma zake zinazoendana na za Ole Sabaya

    Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi. Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa Rais Samia tafadhali hakikisha...
  2. Hamduni

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Tanzania na mahakama ya haki za binadamu Afrika yaendelea kuimarika

    The Diplomat Kwa siku kadhaa kumekua na Upotoshaji katika Mitandao ya kijamii kuhusu Tanzania kujitoa katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu, Suala ambalo halina ukweli wowote. Jana Mei 27, 2021 Katika muendelezo wa kuonyesha ni kwa jinsi gani masuala ya Haki za Binadamu ni kipaumbele...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Rais wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

  4. L

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwanini nchi za Afrika zinakosoa nchi za Magharibi kuhusu suala la 'Haki za Binadamu' la China?

    Hivi karibuni, watu kutoka sekta mbalimbali barani Afrika wamezikosoa nchi za magharibi kwa kutoa shutuma zisizo na msingi dhidi ya hali ya haki za binadamu nchini China. Hii ni kwa sababu China na nchi za Afrika zina historia ya mateso na maono yanayofanana katika masuala mbalimbali, ndio maana...
  5. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Petra Diamonds kulipa faini ya tsh. Bilioni 14.02 kwa kukiuka haki za binadamu Tanzania

    Ndugu zangu, niwape pongezi sana wale wote ambao walijitokeza kwa ujasiri na kuripoti manyanyaso waliyopitia! Ukipita kwenye migodi na makampuni mengi sana sana zaidi ya 90% kuna uvunjaji mkubwa sana wa haki za binadamu kwa kisingizio cha Wenyeji "kuvamia au kuiba" kwenye maeneo hayo. Mbaya...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa hababari wamekuwa wabaguzi kuripoti habari za uvunjifu wa haki za binadamu. Ila wao yakiwakuta ndio midomo juu

    Kuna habari inatembea kwenye mitandao ya kijamii kuwa mwandishi wa gazeti la mwananchi huko Zanzibar amepigwa na kudhalilishwa na wana usalama huko Zanzibar. Inadaiwa maafande wa KMKM walimvamia na kumpa kichapo kisha kumtesa na kumlazimisha avunje simu yake aliyotumia kuwapiga picha wakati...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

  8. Mtyela Kasanda

    JamiiForums Tanzania Shirika la haki za binadamu Tanzania, kuna haja ya kujipambanua

    Mimi Sio Mataga. Wasalaam ndugu zangu. Shirika la haki za binadamu ni muhimu sana hasa kwa nchi zinazokua na zenye demokrasia changa kama Tanzania Tanzania kumekua na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu; unafanywa na taasisi za serikali kwa sehemu kubwa pamoja na taasisi binafsi. Kwahiyo...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Zimbabwe inazidi kugonga vichwa vya Habari kufuatia ukiukaji wa haki za binadamu

    Serikali ya Zimbabwe inazidi kugonga vichwa vya Habari kufuatia ukiukaji wa haki za binadamu. Ni kulingana na ripoti ya HRW Wanaharakati Zimbabwe wanaishutumu serikali ya Rais Emmerson Mnangagwa kwa kutumia suala la janga la corona kuwakandamiza wapinzani. Kulingana na ripoti iliyotolewa na...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jaji Imani Aboud Achaguliwa Kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

    Jaji Imani D. Aboud ambaye ni jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania aligombea nafasi ya kuwa Jaji wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu Katia Mkutano wa 38 wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Nje ya Umoja wa Afrika, Jaji Imani amechaguliwa kuwa jaji kwa muhula wa pili wa miaka 6, ambapo...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ukweli mtupu: Ni ngumu kudai utawala wa demokrasia na haki za binadamu huku ukiwa ughaibuni

    Unapokuwa Mwanasiasa makini lazima uingie field ili uonje machungu ya kile unachoropoka mara kwa mara kuwa hakipo ili watu wajue kweli na wewe unapata machungu! Mtu yupo Belgium anazungumza habari za wakulima wa Mtwara na Katavi kukopwa mazao yao,hii inaleta sense? Unaposema mtakomaa ili...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tuzo ya Demokrasia na Utetezi wa Haki za Binadamu aliyotunukiwa Tundu Lissu iwe neema kwa chama

    Chadema kwa muda mrefu imesemwa sana kwa kushindwa kujenga majengo yake Kama ofisi kuanzia ofisi ya makao makuu, kanda, mkoa na hata majimbo ya uchaguzi na kata. Nakubaliana na hoja kuwa ruzuku waliyo kuwa wanapokea kama chama isingeweza kujenga ofisi, kulipa mishahara ya wafanyakazi na kufanya...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Ulaya umeamua kukata misaada kwa Serikali ya Burundi kutokana na uvunjwaji wa haki za binadamu

    Umoja wa Ulaya (European Union) imetangaza kukatiza msaada wake kwa nchi ya Burundi kutokana na kile ilitaja kuwa ukiukwaji wa haki za binadamu.
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Baada ya Uingereza kuazimia kuiwekea vikwazo Nigeria juu ya uvunjifu wa haki za binadamu, Nigeria imeenda kuomba isamehewe

    Wiki chache zilizopita Nigeria ilikumbwa na maandamano ya kupinga ukatili wa jeshi la polisi maarufu kama #EndSARS ambapo Jeshi la Nigeria lilituhumiwa kuua watu. Bunge la UK Liliazimia kuwawekea vikwazo maafisa kadhaa wa Nigeria, jeshi la polisi na jeshi la ulinzi kwa uvunjifu wa haki za...
  15. Nebuchadinezzer

    JamiiForums Tanzania Hujuma kubwa ajira za Serikali ya wanyonge

    Nachokizungumza hapa nina uhakika nacho asilimia 100% naombeni msinichukulie kama nalalia mlango wazi bahati za wengine. Kwanini mimi mwenye GPA ya 4.5 ya UDSM sijapangiwa shule japokuwa nina uwezo mzuri wa kufundisha? Huu ni mwaka wa pili nimekaa mtaani. Sawa, sijajitolea. Hebu fikirieni...
  16. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Tamko la kimataifa la haki za binadamu -:( Sehemu ya 2)

    IBARA YA 16: (1)Wanaume na wanawake waliotimiza umri wa utu uzima, bila kujali uasili, uraia au dini wana haki ya kuoa na kuolewa na kuanzisha familia, wanapaswa kuwa na haki sawa katik ndoa.wakati ndoa inaendele au ikivunjika. (2)Ndoa itafungwa tu pale wanandoa watakapokuwa wamekubali kwa hiari...
  17. I

    JamiiForums Tanzania ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    The International Criminal Court (ICC) in The Hague, has confirmed receipt of two formal letters alleging human rights violations by the Tanzania government in the wake of the October 28 election and its aftermath. The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), one of the main...
  18. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Je, unazifahamu vizuri haki zako kama binadamu? Tamko la kimataifa la haki za binadamu -LHRC ( sehemu ya 1)

    Binadamu wote wamezaliwa na haki sawa na uhuru wa kimsingi. Katika tamko la haki za binadamu, umoja wa mataifa umeeleza kwa lugha rahisi kabisa haki ambazo zinampasa kila mtu kuwa nazo na kwa usawa. Hizi haki ni zako. Haki hizi ni mali yako, zijue haki hizi, saidia kuzieneza na kuzitetea kwa...
  19. G Sam

    JamiiForums Tanzania Maria Sarungi apeleka ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa Haki za Binadamu Tanzania wakati wa Uchaguzi Mkuu

    Hatimaye mwandishi wa habari na mwanaharakati huru wa Tanzania Maria Sarungi amethibitisha rasmi leo kupeleka ndani ya ICC nyaraka muhimu za ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi mkuu. Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter amesema kuwa "Namshukuru Mungu kuwa hatimaye nimefanikiwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya ACT-Wazalendo juu ya ukiukwaji wa kutisha haki za binadamu katika uchaguzi wa Zanzibar

    Jana kiongozi mkuu wa chama cha ACT-Wazalenda ndugu Zitto Zubeir Kabwe ameitisha mkutano wa waandishi wa habari na kuelezea mambo mazito ya ukiukwaji wa haki za binadamu wa kutisha uliofanywa na vyombo vya usalama huko Zanzibar. Akieleza waandishi wa habari yaliyojiri, Ndugu Zitto alitoa...
Back
Top Bottom