haki za binadamu

  1. L

    Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana alikutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu Bibi Michelle Bachelet mjini Guangzhou, China. Wang Yi amemkaribisha Bachelet kwa ziara yake ya kwanza nchini China, akisema hii ni mara ya kwanza kwa...
  2. Safari ya matumaini na Rais Samia juu ya haki za Binadamu na utawala bora

    Pitia hili japisho kwa utulivu kisha niambie kwa umri wako ni Rais yupi amefanya hata nusu ya haya,
  3. Afrika yaunganisha nguvu kupambana na Ugaidi

    Na Mwandishi Wetu, Ethiopia Mawaziri wa Ulinzi, Amani na Usalama kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Afrika wameazimia kuanzisha jeshi la pamoja na kituo ili kupambana na changamoto ya ugaidi katika nchi wanachama wa jumuiya hiyo. Kauli hiyo imetolewa nchini Ethiopia na Waziri wa Ulinzi na Jeshi...
  4. Dar: Rais Samia awa Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 10 ya Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC)

    Wadau wa haki Nchini Tanzania wanakaribishwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu, leo Mei 13, 2022 kwenye Ukumbi wa PSSSF Jijini Dar es Salaam Shughuli hiyo inatarajiwa pia...
  5. Rais Samia mgeni rasmi miaka 10 ya Haki za Binadamu, mabalozi 15 kuhudhuria

    Wadau wa haki Nchini Tanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuungana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 10 ya Haki za Binadamu mnamo Mei 13, 2022, yakitarajiwa pia kuhudhuriwa na mabalozi kutoka nchi 15 wadau wa maendeleo Akitoa...
  6. Pavu Abdallah: Iundwe Tume ya Kijaji kuchunguza Ukiukwaji Mkubwa wa Haki za Binadamu Nchini

    HOTUBA YA MSEMAJI WA SEKTA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA BORA NDG. PAVU ABDALLAH - 22.04.2022 Tupo katika kipindi ambacho Bunge linaendelea kujadili bajeti za wizara mbalimbali, tarehe 21 April 2022, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora ikiwasilisha hotuba ya bajeti kwa...
  7. M

    Kura ya kuiondoa Urusi kwenye Tume ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa: Tanzania yajitoa (abstain)

    Leo Baraza Kuu la Umoja wa Màtaifa lilipigia kura azimio lililopendekezwa na Marekani kuiondoa Urusi kwenye tume ya hàki za binadamu ya umoja wa mataifa. Sababu ni Urusi kudaiwa kukiuka haki za binadamu ñchini Ukraine wanakopigana vita. Katika kupiga kura Tanzania iliamua kuungana na nchi...
  8. UN yaisimamisha Urusi katika Baraza lake la Haki za Binadamu

    Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limepiga Kura kuisimamisha Urusi katika Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja huo (UNHRC) kama adhabu kwa uvamizi wake dhidi ya Ukraine Kati ya Wajumbe 193 wa Baraza hilo, 93 walipiga Kura ya kuunga mkono kusimamishwa Urusi, 24 walipinga na 58 hawakupiga Kura Hii...
  9. Ngorongoro: Tamko baada ya Diwani, Watetezi wa haki za binadamu kukamatwa na Polisi

    Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeelezewa kusikitishwa na matukio ya kukamatwa kwa watetezi wa haki za binadamu, jana Machi 23, 2022 Wilayani Ngorongoro. ----------------------------------------------------------------------------------------- NGORONGORO: TAMKO...
  10. Waliohusika tukio la askari kumuua raia Kigoma kwa risasi wachukuliwe hatua, Serikali yaombwa Jeshi la Polisi lichunguzwe

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio la mauaji ya Juma Ramadhan (35) kupigwa risasi na askari wakati Jeshi la Polisi Mkoani Kigoma likidhibiti vurugu, Machi 14, 2022 katika Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma. LHRC imetoa wito hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya afisa...
  11. Kamati kuu ya CCM ilipaswa kupendekeza IGP Sirro aondolewe, sio kutathmini mwenendo wa Tanpol. Ukiukwaji wa haki za binadamu umekithiri hapa nchini

    Kila kukicha ni malalamiko ya wananchi juu ya ndugu zao kuumizwa au kuuawa wakiwa mikononi mwa jeshi la polisi. Mbaya zaidi hakuna hatua zinazochukuliwa ili kuwashitaki wanaofanya haya matendo maovu. Rais Samia alishakiri hadharani kuwa kuna nguvu ya ziada inayotumika na inaleta madhara kwa...
  12. Tanzania kurudi Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Namnukuu waziri wa katiba na sheria hapa chini: "Sio vizuri sisi tusiwe ndani ya Mahakama [ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu-AfCHPR] ikiwa ipo kwetu, Rais wake ni Mtanzania. Jambo la msingi tupeni muda serikali tutaonesha kwa matendo."- Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene...
  13. Umoja wa Mataifa: Raia waliouawa Ukraine wafikia 474

    Waziri wa Afya wa Ukraine, Viktor Liashko amesema Vikosi vya Urusi vimeshambulia na kuleta uharibifu kwa Hospitali takriban 61. Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa (UN) inasema Raia wapatao 474 wameuawa tangu uvamizi wa Urusi kuanza Mbali na Vifo, inaelezwa kuwa Raia wengine 861...
  14. L

    Ripoti kuhusu hali ya haki za binadamu duniani inayotolewa na Marekani kila mwaka inaendelea kupoteza maana

    Ofisi ya habari ya baraza la serikali la China wiki hii imetoa ripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani kwa mwaka 2021. Ripoti hii kimsingi haina mambo mapya, kwani imeendelea kuonyesha usugu wa tatizo la haki za binadamu nchini Marekani, ambalo baadhi ya zinazojiita kuwa...
  15. Mwanza: Polisi yamkamata Mfalme Zumaridi. Anatuhumiwa kwa kosa la usafirishaji haramu wa watu wapatao 149

    Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Diana Bundala maarufu kama Mfalme Zumaridi ambaye ni Mchungaji wa kanisa la Zumaridi, kwa tuhuma za usafirishaji haramu wa binadamu 149 wakiwemo watoto wenye umri kati ya miaka 4 hadi 17. Pia soma
  16. Ripoti: Ongezeko la Ufisadi linakandamiza Haki za Binadamu

    Ripoti ya Transparency International inasema janga la COVID-19 limetumiwa na Nchi nyingi kama kisingizio cha kuacha kufanya ukaguzi, ikionya kuwa ipo haja ya kuharakisha mapambano dhidi ya ufisadi ili kudumisha Haki za Binadamu na Demokrasia Imesisitiza Serikali duniani kote zinapaswa kuwa wazi...
  17. Desemba 10: Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu

    Desemba 10 kila mwaka ni Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu, ikiwa ni Siku ya kukumbuka kupitishwa Azimio la #HakiZaBinadamu Duniani. Azimio hilo linaweka msisitizo kwenye Haki ambazo kila mtu anastahili kuwa nazo bila kujali Rangi, Dini, Jinsia, Lugha, Maoni ya Kisiasa, Asili ya Kitaifa...
  18. Ukatili wa kijinsia ni uvunjigu wa haki za Binadamu

    Dunia, mataifa makubwa na mataifa madogo, ulimwengu mzima unakubali kuwa haki za binadamu ni jambo lolote ambalo binadamu anastahili kuwa nalo tangu anapozaliwa bila ya kujali jinsi ya mtu. Kiimani na kiutamaduni pia, inatambulika kuwa haki za binadamu zitaendelea kuwepo hadi pale binadamu...
  19. Waziri Mkuu azindua Kampeni ya Siku 16 za Uanaharakati Kupinga Ukatili wa Kijinsia. Aagiza Shule za Msingi mpaka Vyuo kuwa na madawati ya jinsia

    Habari Wadau, Karibuni katika uzinduzi wa Siku 16 za Uanaharakati Kupinga Ukatili wa Kijinsia unaofanyika leo tarehe 25 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Mlimani City. Kauli mbiu ya kampeni hii mwaka huu ni Ewe mwananchi komesha ukatili wa KIjinsia sasa Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri...
  20. L

    Kususia michezo ya Olimpiki ya Beijing ni kukiuka haki za binadamu

    Na Caroline Nassoro Maandalizi ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi itakayofanyika Beijing yamekamilika, na wanariadha wanaofanya majaribio katika viwanja vitakavyotumika kwa mashindano hayo, wametoa maoni chanya kuhusu maeneo yote yatakayotumika katika mashindano hayo. Si hivyo tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…