haki za binadamu

  1. Nyendo

    Wakili Kilatu atilia shaka uhuru wa tume ya ya haki za binadamu nchi

    Mtaalamu wa Masuala ya Katiba na Sera Wakili Edson Kilatu ameeleza wasiwasi wake, na kutilia shaka kuhusu utendaji wa 'Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB)' Nchini akidai kwamba akidai kwamba uhuru iliyopewa Tume hiyo kwa mujibu wa Katiba na Sheria hautumiki ipasavyo Akihojiwa na...
  2. M

    Mahakama ya Afrika ya haki za binadamu imesema kila jambo la tume ya uchaguzi ni lazima lihojiwe mahakamani!

    Anaandika Jebra Kambole AfCHPR imesema ibara ya 74 (12) Ya Katiba ya Tz na Ibara ya 119(13) ya Katiba ya Zanz zinakiuka ibara ya 3(2) na 7(1)(a) ya Mkataba wa ACHPR kwa sababu ibara hizo zinakataza kufungua kesi ya kupinga ujinga wa INEC na ZEC. Tunashukuru kuwa kwenye Timu ya Mawakili wa kesi...
  3. M

    Giza la Kidigitali Tanzania: Asasi za Kiraia, Wananchi, na Mawakili Tusimame Pamoja Kukataa Aina Hii Mpya ya Udikteta

    Kumbukumbu za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 nchini Tanzania zitaendelea kudumu katika akili za wengi, si tu kwa matokeo yake, bali kwa "giza la kidigitali" lililotanda nchini kote. Uamuzi wa mamlaka kuzima mtandao wa intaneti na kufungia bila kimomo na bila kufuata misingi ya sheria mitandao...
  4. LHRC

    Shiriki katika Tathmini Fupi Kuhusu Hali ya Haki za Binadamu Tanzania

    LHRC inatarajia kutoa taarifa ya hali ya haki za binadamu nchini kama sehemu ya kazi zake za kila siku. Ili kufanikisha ubora wa taarifa hii tunaomba maoni yako ya dhati kuhusiana na mtazamo wako kuhusu hali ya haki za binadamu nchini. Majibu ni ya siri (hayatahusishwa na jina lako) na...
  5. Mindyou

    Kamishna wa Polisi Zanzibar (CP) Kombo Khamis: Polisi heshimuni haki za binadamu

    Wakuu, Ni mara chache sana kusikia mtu mwenye cheo huko Polisi ku-advocate masuala ya haki za binadamu na utawala bora Tunaelekea pazuri? ========== Kamishna wa Polisi Zanzibar (CP) Kombo Khamis Kombo, ametoa wito kwa askari polisi kufanya kazi kwa kuzingatia haki za binadamu. CP Kombo...
  6. Parabolic

    Baraza la Haki za Binadamu UN laipongeza Tanzania kuchunguza matukio ya vurugu Oktoba 29

    Kamishina Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (HRC) Volker Turk ameeleza masikitiko yake kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu duniani, huku akipongeza hatua ya Tanzania kuanzisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akitoa mwelekeo...
  7. Roving Journalist

    LHRC: Wakuu wa Wilaya hawana mamlaka ya Kipolisi kutoa amri ya raia kuwekwa ndani

    https://www.youtube.com/live/wr4EWHjPnuE?si=71vzeEzsoV41J8sS Akitoa taarifa kuhusu hali ya haki za binadamu nchini, Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Wakili Fulgence Massawe, amesema kuwa kumekuwa na ongezeko la matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi...
  8. H

    Hofu ya kuwekewa vikwazo vya kuuza Dhahabu nje, vyasababisha wauze Dhahabu haraka

    Wahusika wamekuwa wakitengeneza hadithi mbalimbali kuuhadaa umma, lakini ukweli ni kwamba watawala wana hofu ya nchi kuwekewa vikwazo vya kuuza dhahabu nje kutokana na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na utawala wa Samia. Kwa kuwa madini ya Dhahabu na Almasi, kutokana na kuwa na...
  9. Kijukuu cha Tanzania

    PostGE2025 Mashirika ya Haki za Binadamu yalivyokumbwa na changamoto wakati wa Uchaguzi wa Tanzania wa Oktoba 29, 2025

    Mashirika ya haki za binadamu nchini Tanzania, yakiwemo Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), yalikumbwa na changamoto za kiutendaji na kiusalama wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika...
  10. W

    Uganda yaamuru mashirika mawili ya Haki za Binadamu kusitisha shughuli zao ikiwa ni siku ya mwisho ya kufanya kampeni

    Serikali ya Serikali ya Uganda imeamuru mashirika mawili ya haki za binadamu ya ndani kusitisha shughuli zao siku chache kabla ya uchaguzi wa Alhamisi, ambao Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa inasema unafanyika katika mazingira ya ukandamizaji na vitisho. Na leo ni siku ya mwisho ya...
  11. B

    Kesi ya uhaini ya Tundu Lissu; Mkurugenzi wa sheria, katiba na haki za binadamu CHADEMA anatoa ufafanuzi wa kilichotokea

    10 January 2026 MAZITO YAFAFANULIWA https://m.youtube.com/watch?v=sVw34Jl61eg Advocate Gaston Shundo Garubindi anajibu masuala mbalimbali ktk interview exclusive na Jambo TV yanayogusia ikiwemo kwa uchache ktk mengi Criminal case / kesi Jinai huwa hazitakiwi kusimama session zake hata kama...
  12. Dalton elijah

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa

    Serikali ya mpito nchini Venezuela imeanza kuwaachilia watu wanaosadikiwa kuwa wafungwa wa kisiasa na mashirika ya kutetea haki za binadamu, katika kile maafisa walichoeleza kuwa ni ishara ya nia njema. Wizara ya mambo ya nje ya Uhispania ilisema raia wake watano, akiwemo raia mmoja aliye na...
  13. M

    Ukiukwaji wa Haki za Binadamu nchini Venezuela chini ya Nicolás Maduro

    Tangu Nicolás Maduro achukue hatamu za uongozi mwaka 2013, Venezuela imepitia misukosuko mikubwa ya kisiasa na kijamii ambayo imesababisha shutuma nzito za ukiukwaji wa haki za binadamu. Mashirika ya kimataifa yamekuwa yakiandika ripoti mbalimbali zinazoonyesha mbinu za kimfumo zinazotumiwa na...
  14. M

    John Locke: Serikali yoyote duniani inayokiuka haki za binadamu lazima ipinduliwe

    Hii ni falsafa ambayo iliandikwa karne ya kumi na sita na mwanafalsa John Locke wa uingereza . Kwamba kwenye kutawala serikali huwekwa madarakani na wananchi . Serikali inapokuwa madarakani inatakiwa kulinda haki za msingi za raia wake; Haki za kuishi, uhuru wa kutoa maoni n.k Huu ndio msingi...
  15. R

    Polisi Uganda wamkamata mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu kuelekea uchaguzi mkuu 2026

    Polisi nchini Uganda wamesema wamemkamata mwanaharakati maarufu wa haki za binadamu, hatua inayokuja wakati serikali ya Rais wa muda mrefu Yoweri Museveni ikiendelea kuimarisha ukandamizaji dhidi ya wapinzani na sauti za upinzani, kuelekea uchaguzi mkuu wa Januari 15, 2026 Kukamatwa kwa Sarah...
  16. Genius Man

    Suala la Lissu kuzuiwa kwa muda mrefu bila kupelekwa mahakamani wakati kesi yeke ni kubwa halikubaliki na ni kinyume cha sheria na haki za binadamu

    Suala la lissu kuzuiwa kwa muda mrefu bila kupelekwa mahakamani wakati kesi yeke ni kubwa halikubaliki na nikinyume cha sheria na haki za binadamu. Sheria za nchi hazipaswi kuchezewa na kupuuzwa na wapumbavu lazima watawajibika kwa matendo yao hakuna atakaye kwepa nguvu ya sheria.
  17. Q

    Tetesi: Mkurugenzi wa Haki za Binadamu UN leo anatarajia kupendekeza vikwazo kwa viongozi wa Tanzania

    GEVEVA: UN Human Rights Chief Volker Turk will hold a press conference on 10 December, at 10:30am CET, addressing human rights challenges around the world. Mtakumbuka 11 November 2025 Turk alisema, Tanzania Election-related killings and other violations must be investigated - Volker Türk...
  18. Q

    NGOs 30 za kimataifa zimeliandikia Baraza la Haki za Binadamu UN kuitisha kikao Maalumu kuzungumzia hali inayoendelea Tanzania

    Kufuatia matukio ya kikatili yaliyofanywa na mamlaka ya Tanzania kwa maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi wa rais na wabunge wa tarehe 29 Oktoba 2025, mashirika ya kiraia yanaitaka jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ili kuzuia unyanyasaji zaidi. Katika barua iliyotolewa leo, mashirika 30...
  19. Waufukweni

    PostGE2025 Mange amwandikia barua Trump kuhusu kufungwa kwa akaunti zake na Meta baada ya kufichua ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

    Mange Kimambi amemuandikia barua Rais wa Marekani, Donald Trump, akimueleza kwamba akaunti zake za Meta—ikiwemo Instagram, ukurasa wa habari anaouendesha, na namba yake ya WhatsApp—zimefungwa baada ya kuzitumia kufichua ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Tanzania, huku akihimiza...
  20. Msanii

    Tuwaorodheshe hapa wahusika wa uvunjaji wa haki za Binadamu

    Wananchi wenzangu, poleni sana kwa unyama tunaoupitia kabla na baada ya uchafunzi mkui. Bila kupoteza muda nawaomba tuwataje wale wote wanaohusika na uvunjwaji wa haki za Binadamu. Lengo ni kiwasaidia wanasheria na watetezi wa haki za binadamu kuwajumuisha kwenye kesi inayotarajiwa mahakama ya...
Back
Top Bottom